yapiga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    Serikali yapiga vita Biashara haramu zinazoigharimu Kenya KSh Bilioni 826 kila Mwaka

    Serikali ya Kenya imezindua mkakati mpya wa kitaifa wa kukabiliana na biashara haramu ambazo zinakadiriwa kusababisha hasara ya takribani KSh bilioni 826 kila mwaka, kiasi kinachowakilisha karibu asilimia 9.3 ya Pato la Taifa (GDP). Wizara ya Biashara ilisema kuwa biashara hizo haramu...
  2. Masauni: Tanzania Yapiga Hatua Soko la Biashara ya Kaboni

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akisalimiana na Waziri wa Mazingira wa Rwanda Dkt. Bernadette Arakwiye mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Masoko ya Kaboni Afrika wa mwaka 2026 unaofanyika kwa siku mbili Kigali nchini Rwanda...
  3. R

    LATRA yapiga Marufuku Mawakala kukamata au kuwachomolea funguo Bodaboda na Bajaji

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) imewapiga marufuku mawakala wake kuwakamata madereva wa bajaji na pikipiki, kuwachomolea funguo au kufanya shughuli za utekelezaji wa sheria. Hatua hiyo inakuja wakati baadhi ya mawakala wakidaiwa kuwavizia madereva katika makutano ya taa za...
  4. Dhoruba ya EL Nino Yapiga Hodi China,Yaporomosha Magorofa na kuleta Mafuriko Makubwa.Huko Canada na Marekani Barabara zajaa maji na magari kusombwa.

    My Take El Nino sio mzaha ,kama wanaojiita wahandisi wa Dunia wamesambaratishwa hivyo huku kwetu tuanze kutia maji. https://www.instagram.com/reel/Dc3I6r-oVX7/?stkn=cmlybWF6dzA3cXVn Ila tusiogope sana Kila Nchi Ina aina zake za Hali ya Hewa na intensity...
  5. L

    Sera ya ushuru sifuri ya China yapiga jeki mnyororo wa thamani wa maparachichi nchini Kenya

    Katika eneo la mashambani lililotanda rangi ya kijani katika Kaunti ya Murang'a katikati mwa Kenya, Jeff Ngigi Mburu alifurahia sana miparachichi yake aina ya Hass, huku akistarehe kwa upepo mwanana wa alasiri. Mkulima huyo kijana alifurahia kuzungumza na wafanyakazi kadhaa kutoka vijiji jirani...
  6. Nigeria: Waziri wa Elimu Tunji Alausa apiga marufuku waliopata shahada za heshima kutumia title ya "Dr"

    Serikali ya Shirikisho la Nigeria imepiga marufuku watu waliotunukiwa shahada za heshima kutumia jina la “Dr” mbele ya majina yao katika matumizi rasmi, kitaaluma au kikazi. Waziri wa Elimu wa Nigeria, Tunji Alausa, alisema kutumia cheo hicho kana kwamba mtu amekipata kupitia masomo rasmi...
  7. R

    Burkina Faso yaifungia Televisheni ya Ufaransa 'TV5 Monde' kwa habari za uongo

    Burkina Faso imeipiga marufuku televisheni ya Ufaransa, TV5 Monde, ikiituhumu kwa kueneza "habari za uongo" kuhusu hali ya ugaidi nchini humo na nchi jirani ya Mali. Uamuzi huo ulitangazwa na mamlaka ya kusimamia vyombo vya habari nchini humo siku ya Jumanne Mei 5, 2026. Hii si mara ya kwanza...
  8. Iran yapiga kiwanda cha Kusafisha Mafuta cha Israeli HAIFA

    Wanaukumbi. Baada ya zaidi ya saa 12, udhibiti wa Israel unasema "iliruhusu" kuchapishwa kwa athari ya kombora la Iran karibu saa 1 asubuhi huko Haifa, https://x.com/aryjeay/status/2035001330511569060?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  9. M

    Mahakama yapiga marufuku mashahidi fiche. Sasa Lissu kupambana nao uso kwa uso. Habari ya kujificha kwenye maboksi kama kuku kwisha

    Ni kinyume na katiba ya JMT shahidi fiche kufichwa kwenye boksi kama kuku.
  10. Viongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wafanya ziara nchini Comoro kwa mwaliko wa Jeshi

    Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imefanya ziara ya kikazi nchini Comoro kwa mwaliko wa Jeshi la Comoro, ikiwa ni hatua ya awali ya kuanzisha ushirikiano wa kimkakati katika kuboresha huduma za afya visiwani humo, hususan hospitali ya jeshi. Ziara hiyo iliongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa...
  11. BASATA: Ma-DJ na MC wasio na kibali kutozwa faini hadi Tsh. 3 Milioni au Kufungiwa

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema kuanzia Februari 06, 2026 waongoza sherehe, burudani na matukio (MCs) pamoja na Manju Muziki (DJs) wote wasio na vibali halali vya BASATA hawataruhusiwa kujishughulisha na kazi hizo hapa nchini. BASATA imesema yeyote atakayekiuka agizo hilo atatozwa...
  12. PostGE2025 Chalamila: Nimeona watu wanaenda mikoani,huu ni msimu wa sikukuu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema kuwa watu wanaosafiri kwenda mikoani ni jambo la kawaida linalotokea kila mwaka, na si kitu cha kushangaza au kuhusishwa na sababu nyingine. “Naomba niwaambie kitu kimoja: kama kweli kuna adui, atakuwa amefanikiwa endapo atagundua kuwa...
  13. PostGE2025 Polisi yapiga marufuku maandamano ya Disemba 9

    Jeshi la Polisi Tanzania limepiga marufuku “maandamano ya amani yasiyo na kikomo,” yaliyotangazwa kufanyika Desemba 9, 2025, likisema yamekosa sifa za kisheria na yanaashiria mipango ya uhalifu unaoweza kuhatarisha usalama wa taifa. Katika taarifa iliyotolewa Desemba 5, 2025 na Msemaji wa Jeshi...
  14. India Yapiga marufuku kampuni za Betting

    India imepiga marufuku kampuni zote za michezo ya kubahatisha mtandaoni zinazohusisha pesa halisi, kuanzia tarehe 21 Agosti 2025 baada ya kupitishwa kwa Sheria ya Kukuza na Kudhibiti Michezo ya Mtandaoni, 2025. Muhtasari wa Sheria Mpya Kimepigwa Marufuku Michezo yote ya mtandaoni yenye...
  15. Serikali ya Zanzibar yapiga marufuku "Shule nyumba"

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepiga marufuku shule ambazo zilo ndani ya nyumba (skuli nyumba) na kuwataka wamiliki kujenga majengo yanayokidhi utoaji wa huduma kwa wanafunzi wao Akizungumza na Walimu katika Mkutano Mkuu wa tisa wa Chama cha Walimu Zanzibar (ZATU) katika Ukumbi wa Taasisi...
  16. URUSI Yapiga Mrufuku Malori ya Kichina kwa kukosa Ubora

    Iwapo Urusi na China ndio marafiki wa damu damu damu imekuwaje Urusi ambayo iko chini ya Vikwazo iyakate malori ya kichina? Wanadai hayana ubora, je hapa kwetu tunaoyatumia magari yao tunaweza kukubaliana na madai ya Urusi? https://www.youtube.com/watch?v=ze_0PmOuzM0&t=179s
  17. R

    Tetemeko Kuu lapiga Mashariki mwa Urusi, Tahadhari ya Tsunami yatolewa Japan, Hawaii na Visiwa vya Pasifiki

    Mapema Julai 30, 2025, imeripotiwa tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 8.8 Magnitude lilikumba bahari ya Pasifiki karibu na pwani ya mashariki ya Urusi, likiathiri zaidi eneo la Kamchatka na Visiwa vya Kuril. Kwa mujibu wa wanasayansi wa Chuo cha Sayansi cha Urusi, hili ni tetemeko kubwa...
  18. Vita nchini Ukraine: Droni yapiga jengo la orofa nyingi Odessa

    Meya wa Odessa Gennady Trukhanov amethibitisha kuwa "shahed" za Urusi ziliingia katika jengo la makazi la ghorofa nyingi. Waokoaji wamepata miili ya wanandoa waliokufa wakati ndege isiyo na rubani ya Urusi ilipogonga - jengo la ghorofa nyingi, Meya wa Odessa Gennady Trukhanov aliripoti...
  19. Hatimaye Simba yapiga treble ya kukosa makombe

    Msimamo wa makombe msimu huu kwa kilabu ya 5imba mpaka sasa Ngao ya jamii ❌ Cafcc ❌ Muungano ❌ CRDB cc ❌ NBC Premier League ❌
  20. Kanisa Katoliki limepiga Marufuku Viongozi wa Serikali/Wanasiasa kuhutubia/kusimama mbele ya madhabahu na kutoa neno

    Kanisa Katoliki latoa tangazo la kuzuia wanasiasa kuhutubia makanisani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…