yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. M

    Yanga Mliona mbali sana Mapinduzi Cup

    Baada ya Mlandege kupita jana na Simba kupita leo nusu fainali, sasa ndipo naelewa ni kwanini timu ya Yanga haikuyapa UMUHIMU MASHINDANO Haya. Yanga mliona mbali sana
  2. FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

    Tupo tayari kwa mchezo wa robo fainali mechi ni saa 2:15 usiku Mungu ibariki Yanga SC Takwimu za kipindi cha kwanza.
  3. Yanga vs APR, tuchezeshe kikosi B ama C?

    Niko Zanzibar kwa ajili ya robo fainali. Niliikuwa na baadhi ya viongozi wa Yanga asubuhi moja ya mambo yanawaumiza kichwa ni hawa APR tuwape kikosi B ama C? Nkasema si mbaya kupata ushauri wenu pia. Muda badoo unaruhusu weka maoni yako tuweze kuona tunawapa APR ladha ipi.
  4. Jinsi mzungu alivyoiba idea ya Yanga

    πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Hivi Utopolo mnawachukuliaje mashabiki wenu?
  5. Ilikuawaje Yanga wakaweka bango la kuonesha kwamba wameifunga Simba 5 -???

    Kwa zaidi ya mwezi sasa nafanya utafiti kuona kama kuna timu nyingine duniani zaidi ya Yanga, iliwahi kubandika bango barabarani kuonesha kwamba wameifunga timu nyingine, mpaka sasa bado sijapata!! Kiliwatokea nini wana Yanga kuja na wazo kama lile!!
  6. FT: Yanga SC 0 - 0 KVZ FC | Mapinduzi Cup | New Amaan Stadium | 04.01.2024

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #mapinduzicup ⚽️ Young Africans SC Vs KVZ FC πŸ“† 04.01.2024 🏟 Amaan, Zanzibar πŸ•– 2:15 Usiku Ni Match ya Round ya Tatu. Yanga Tayari ameshaingia Robo fainali, Mechi inachezwa kukamilisha ratiba tu. Tunategemea kupata burudani kweli kweli kutoka kwa Wananchi. KIKOSI CHA YANGA...
  7. Yanga ndio timu pekee iliyotoa wachezaji wengi kucheza AFCON 2024, timu bora inaendana na usajili bora

    Ni ngumu sana kupenya kwenye vikosi vya timu za taifa kwenda kucheza michuano mikubwa barani afrika, ubora pekee wa mchezaji husika ndio umpelekea kocha kumjumuisha mchezaji kwenye kikosi chake Cha mapambano! Kwa Tanzania ni klabu moja pekee iliyofanikiwa kupeleka wachezaji wengi kwenye timu za...
  8. K

    Ushauri kwa Yanga kuhusu usajili wa Msuva

    Nimesoma kupitia mitandao kuwa Yanga wanataka kumsajili Simon Msuva. Ushauri wangu kwa Yanga kuwa waachane na Msuva. Mpira wake umekwisha. Msuva umri umeenda. Waendeee kumwamini Skudu ni mchezaji mzuri na hatari. Hakuna haja kumtosa Skudu.
  9. FT: Yanga SC 2-1 Jamus FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 02/01/2024

    Tupo tayari kwa mchezo wetu wa pili wa kombe la Mapinduzi hapo baadae ni saa 2:15 usiku Mungu ibariki Yanga SC Kila la kheri Yanga SC
  10. Kwa nini Yanga wanatafuta Straika wakati Crispin Ngushi yupo?

    Straika wa Yanga Crispin Ngushi Jana katupia mbili kwenye mchezo wa Yanga dhidi ya Jamhuri,lakini kakosa bao tano za wazi na kumpoteza mipira mingi sana, Je Ngushi anafaa kuwa straika tegemeo la Yanga!? Je Mayele alikuwa akiyafanya kwa ufasaha mkubwa sana na bado tulimponda, ndio tulihitaji...
  11. Okra kutuvalia kata K watu wa Yanga alimaanisha nini?

    Unajua adabu ya mtu unaijua toka mwanzoni. Okra mchezaji mzuri sana, najua atatusaidia. Jana sikupenda allivyovyaa kwa kweli ile jeans yake, Yanga watu wa heshima siku zote. Kuna kipindi alikuwa anatembea huku anavuta jeans juu means jeans ilikuwa inashuka huu sio ustaarabu wa yanga. Msaidien...
  12. M

    Yanga kumsajili Okrah ni sawa na kuweka kiraka kikuu kwenye nguo mpya!

    Ni suala la muda tu itakapodhihirika kuwa walichokifanya ni sawa na kuweka kiraka kikukuu kwenye nguo mpya! Ni hayo hayo Bernard Morrison! Soka la kisasa nidhamu inapewa kipau mbele kuliko kipaji!! Nidhamu mbovu huua kipaji na kuleta hasara kwa timu na mchezani, yetu macho!!
  13. FT: Yanga SC 5-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 31.12.2023

    Yanga tunajiandaa kuwakabili Jamhuri SC muda ni saa 2:15 usiku. mungu ibariki Yanga SC Kila la kheri Yanga SC Wafungaji Ngushi 10', 17', Kibwana 22', Mzize 38', Skudu 45'
  14. Ni kweli Simon Msuva anakuja Yanga?

    Habari za hivi karibuni zilizopo hadi sasa zinaeleza kuwa kuja kwa Simon Msuva kujiunga na Yanga SC bado ni taarifa rasmi haijathibitishwa na klabu zenyewe. Kwa sasa inaonekana kama tetesi tu na hakuna tangazo rasmi kutoka kwa pande zote mbili. Tutafuatilia kwa karibu na kutoa taarifa za...
  15. Yanga ikiingia robo fainali inaweza kuipaisha Simba katika rank za CAF na FIFA

    Huu unaweza kuwa uzi wangu wa mwisho kwa mwaka 2023 na nataka nimalize mwaka kwa ujumbe chanya. Wenye akili zao watausoma na yale watakayoona ni mazuri wataenda kuyafanyia kazi. Yanga na Simba bado wako kwenye mbio za kufuzu kwenda katika robo fainali ya klabu bingwa ya Afrika. Yanga hajacheza...
  16. D

    Msuva Yanga wanapoteza pesa za wanachama na tajiri wao. KAISHA KACHAKAA

    Kuna rumours that Msuva amesign youn Africans baada ya kutemwa na js kabylie. leo kacheza vibaya sana. kiwango amna kitu. yanga mkimbieni huyu mtu. atakuja kupoteza mda na nafasi za kinda hapo yanga. Kaisha timu ya taifa pia tumteme time is up. Afcon pelegrino ndani Msuva hapana. Hamna...
  17. Mapinduzi cup Milioni 100 bado ni ndogo kwa simba na Yanga, Waongeze dau lifike walau 300

    Kwa Yanga na Simba kila timu hapo ina sponsorships deals zenye kuingiza takribani bilioni 5 kila mwaka Kombe la Ligi kuu bingwa anapewa milioni 500 lakini hio bado ni pesa ndogo, Malengo huwa ni kuvuta mpunga wa kimataifa, msimu wa mwaka jana pekee Simba kakunga bilioni 2 kasoro caf na bilioni...
  18. Kwa upuuzi wa Viongozi wa Simba. Yanga inajipenyeza na kuchukua kilakitu alichokipigania Mo kwa Miaka mingi

    Waache waendelee tu kujenga majungu huku watani wanajenga timu. Madhaifu ya yanga yanatibika na Siku wakisimama Africa watahodhi vitu vingi sana. Uongozi wa kutafutana na Akina Chama, Phiri na Okra. Wa kijinga sana. Wachezaji sio gari kwamba utaliuza utanunua lingine zuri. Uongozi utafukuza...
  19. Mashabiki wa Yanga ndiyo wanunuzi wa habari za michezo Tanzania

    Ukitaka habari zako za michezo ziuze hapa Tanzania, andika au toa habari za kuisifia au kuitukuza Yanga. Hakuna mashabiki wanaonunua habari za michezo hapa Tanzania kuliko mashabiki wa Yanga. Kwa hili mashabiki wa Yanga mheshimiwe.
  20. M

    Yanga bingwa tena msimu huu wa 2023/2024 , wanasimba tujiandae kisaikolojia

    Nikiwa kama shabiki kindakindaki wa klabu ya Simba sc ,nathubutu kusema kwa kinywa kipana kuwa Yanga atatwaa tena ubingwa wa ligi kuu ya NBC msimu wa 2023/2024. Naitazama Yanga kwa jicho la kimpira naona kabisa kuwa wameizidi simba kwa vitu vingi sana. Wachezaji wa Yanga wana ari na shauku ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…