yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Imedhihirika: Yanga Vs Mamelodi Sundowns ndiyo mechi kubwa kuliko zote hatua ya robo fainali, Simba ni kama wamejikatia tamaa kabisa

    Kuanzia mtaani hadi mitandaoni, mechi iliyowajaa midomoni wapenzi na mashabiki wa soka ni ile ya Yanga. Kuna wanaoiamini Yanga na kuona itaibuka kidedea Benjamin Mkapa na hata mwisho wa mechi mbili. Kuna wanaoibeza na kuona imefikia mwisho. Lakini, Yanga ameteka mazungumzo. Kuanzia wachambuzi...
  2. Jana nimeota mechi ya ugenini Yanga anashinda 1-2 na nyumbani 2-1

    Wadau, jana nimeota kuwa Yanga atashinda nje ndani kwa idadi ya magoli 4-2 huku Mudathiri, Pacome na Aucho wakishinda kwenye magoli hayo 2, mara nyingi huwa naota ndoto za kweli huenda ikawa idadi ya magoli ni tofauti ila Yanga anapita hatua inayofata na huenda Watakutana fainali yeye na...
  3. Ukubwa wa Mechi ya Yanga na Mamelodi ni matokeo ya kiwango bora cha Yanga msimu uliopita na uwekezaji wa Mamelodi

    Nukta yangu naiweka hapa YANGA imekuwa ni moja ya timu tishio barani Afrika kwa sasa hii inatokana na kiwango kikubwa ambacho amekionesha kuanzia Makundi ya Shirikisho mpaka kufikia finali mwaka wa jana 2023,Kiwango hichi kimewashtusha wengi hasa ukiangalia yanga Alimpiga TP Mazembe na Waarabu...
  4. Mganga atabiri matokea ya Simba na yanga yatakavyokuwa dhidi ya wapinzani wao mwishoni mwa week hii

    Wadao wa simba na yanga mnasemaje? 😃😀
  5. S

    Azam wameigharimu sana Yanga kuelekea mchezo wao na Mamelodi

    Mechi baina ya Yanga na Azam, imezaa majeruhi wawili ambao ni wachezaji muhimu sana kwa Yanga.Wachezaji hawa ni Pacome na Yao Kouassi. Tunachojiuliza hii ni bahati mbaya tu au kulikuwa na nia ovu? Anyway, Yanga tujipange tu kutokana na hali halisi kiuelekea mechi yetu na Mamelodi.
  6. Yanga mliolipiwa mnakalia wapi?

    Ndio nimefika Dar jana. Asubuhi nikafika vijiweni vya soka na kagawa. Nataka kujua kina nani wamelipiwa. Kila mwana Yanga ukimuuliza kama amelipiwa anasema yakhee niombe radhi mimi siwezi kulipiwa. Inaonekana kulipiwa kuna shida, kwa nini waliokwisha lipiwa wajifiche. Au kuna masharti mmepewa...
  7. Damas Ndumbaro: Marufuku kuvaa jezi ya Mamelodi au Al Ahly kwa Mkapa kwenye michezo ya Simba na Yanga

    Ukija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua ukapumzike” Damas Ndumbaro, Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo. Yapi maoni yako?
  8. Yanga vs Mamelodi ni Faida kwa taifa

    Mnamo 17 May, 2023 klabu ya Mamelodi Sundowns ilitangaza kwenye mechi ya MAMELODI vs WYDAD AC kuwa Mashabiki watakaovaa jezi za Sundowns watapatiwa tiketi bure yaani tiketi itakuwa ni jezi ya njano katika uwanjani wa Loftus Versfeld. Baada ya Mamelodi kutangaza hivyo hakuna Mwandishi au Media...
  9. Yanga tupeni mrejesho mechi ijayo ni ya mchezaji gani? Simba nani atakuwa mgeni Rasmi? Naona mmetangaza viingilio tu

    Imeshakuwa mila na desturi kwa timu hizi za jadi kuwapa presha wachezaji katika mechi za kimataifa ingawaje nayo huleta hamasa kwa timu, kwa timu zote mbili mechi za mwisho za makundi tumeshuhudia mechi ya yanga ilipewa jina la Pacome huku Simba mgeni Rasmi akiwa Enonga Baka na kufanikiwa...
  10. Wewe kama Mwana Yanga unalipi la kumshauri Admin wa EATV?

  11. L

    Hongereni Yanga kwa kukataa kutoza fedha msibani

    Siku ya tarehe 30/3/2024 kutakuwa na msiba mzito pale kwa Lupaso, Mamelodi wamejipanga kufanya kitu kibaya mnoooo, sasa wajanja na wenye akili pale Jangwani wameona kwa vile siku hiyo itakuwa ni siku ya msiba, hakuna sababu ya kuchukua viingilio vya watu, watu waende msibani bure.Huo ndio...
  12. Priva ajichanganya kuelekea mechi ya Yanga

    Msimamizi Mkuu wa Digitali na Maudhui wa Yanga, Priva Abiud maarufu Privaldinho kupitia akaunti yake "X" amejisahau na kutumia picha ya Klabu ya Simba kwenye kuhamasisha mechi yao dhidi ya Mamelodi. Baada ya kugundua makosa, Priva aliifuta picha yenye mashabiki wa Simba na kuweka Picha yenye...
  13. Rais Eng. Hersi Said hili suala la kuweka kiingilio bure linaweza hujuma kubwa sana kwa Yanga. Vinginevyo jambo hili lifanyike

    Taarifa inasema kiingilio kwenye mechi yetu na Mamelody itakuwa bure Mzunguko. Sababu za uongozi zina mashiko pasi na shaka yoyote. Kwanza mechi itachezwa usiku sana halafu pili ni mwezi mtukufu wa Ramadhwani etc. But hatuoni kuwa Simba wanaweza kuingia pia uwanjani kwa wingi yakaja kuwa...
  14. Mashabiki wa Yanga bila dezo hawaendi uwanjani

    Ni aibu mashabiki mechi kubwa kuingia dezo,uongozi wa Yanga umekuwa ukiamini mashabiki wao bila kiingilio kuwa bure hawezi kuingia uwanjani, kwanini wanapenda bure? Mechi kubwa kama hii kama ni bure je kwenye mechi ndogo ndogo hawa mashabiki wataenda uwanjani? Kitu ukitolea jasho na gharama...
  15. EATV: Wakandaji wa Yanga kuwasili Machi 28

    Kupitia ukurasa wao wa X zamani Twitter, East Africa TV wametuarifu kuwa wakandaji wa Yanga (Mamelodi Sundowns) watawasili nchini Machi 28 kwaajili ya mchezo wao wa kwanza wa robo fainali ya ligi ya mabingwa Afrika. Mhariri wa EATV ameshawapa nafasi na kuwasapoti Mamelodi kwanini mimi nizuiwe...
  16. Video: Karia ajichanganya kuelekea mechi za kimataifa za Simba na Yanga

    "Mawaziri tutaongoza Watanzania, tutakuwepo kiwanjani na siku hiyo mimi na Waziri tutavaa jezi za hiyo timu inayocheza siku hiyo, kama ni Simba tutavaa Simba kama ni Yanga tutavaa Simba."
  17. Natabiri Yanga vs Mamelod kukosa watazamaji uwanja wa Mkapa

    Kama kawaida sisi mashabiki wa Yanga sio watu wa kwenda uwanjani ni wazuri wa kelele barabarani na kwenye vijiwe. Wakati wenzetu Simba wakijaza uwanja kama kawaida yao sisi hatutajaza na tutakuja na visingizio kibao na lawama kwa uongozi. Daima mbele nyuma mwiko.
  18. Yanga, siwaoni humu watani

    Yanga kunani? Siwaoni humu watani. Mpo kimyaaaaa 🤣🤣 Watani, nasikia feisal anarudi jangwani 🤣🤣🤣 WAZEE WA MABLICHI. 🤣🤣🤣🤣
  19. D

    Yanga fans msipoteze muda na pesa kuangalia match ya sundowns. You will be disappointed

    with how guede and gamondi plans works. don't waste you hard earn money kwa hii game. 1. GAMONDI WILL DISAPPOINT YOU. amini atakuja na plan mbovu . unbelievable plans. with guede up front mtashangaa.. he will lose the game. pathetic of a manager. no tactics. brainless guede mind guy if we are...
  20. D

    Gamondi hamna kocha, Yanga ligi hachukui, atapoteza mechi zote kubwa, today I have seen the light

    GAMONDI IS PATHETIC OF A MANAGER. #FACTS Sababu ni hizi 1. AKILI ZA SUBSTITUTION HANA KABISA, leo nimejua hata ajui wachezaji wake completely ni kama he lost his mind adding to that, he has no tactics kabisa, nothing new. off position play kwa players is what he knows. useless manager to be...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…