yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. FT: Yanga SC 1-0 Kagera sugar Fc | NBC Premier League | Azam Complex | 08.5.2024

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡ πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Young AfricansπŸ†šKagera sugar FC πŸ“† 08.05.2024 🏟 Azam complex πŸ•–01:00 usiku Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar mpira umeanza dakika ya 5 0-0 dakika ya 10 0-0 dakika 13 yanga sc wanafanya shambulizi aziz k ananaswa kwenye mtego wa offside dakika...
  2. Yanga inawafukuzia Philip Kinzumbi na Ellie Mpanzu, imeshaweka offa mezani

    Mpaka sasa Elie Mpanzu Kibisawala (striker) ana asilimia nyingi za kutua Yanga. Philip Kinzumbi (winga) ameshawekewa ofa ila Raja nao wameweka ofa mezani. Mpaka sasa kila kitu kipo kwenye mazungumzo bado hakuna aliyesaini.
  3. Jonas Mkude ameshakula zaidi ya Tsh mil 300 za Yanga mpaka sasa na amecheza mechi 3 tu msimu mzima

    Wachezaji ni kama kausha damu tu, msimu mzima ucheze mechi tatu na uikamue klabu milioni 300 za mshahara, usajiri na bonus, wastani wa milioni 100 kwa kila mechi. Je, huu ni uungwana? Kwanini timu zisisajili wachezaji 24 kila mtu acheze kuliko kurundika watumishi hewa vilabuni
  4. Wana Yanga SC kwa huu Utani wenu mbele ya Kocha wa muda wa Simba SC Mgunda mmeniacha Hoi mno

    Yanga SC (Mashabiki) wanasema kuwa Kocha Juma Mgunda hana hata Wiki Simba SC tayari Nazi zimepanda Bei nchini! ==== Pia soma: Juma Mgunda ameridhika kuwasaidia kufundisha Simba SC na kusahau kuwa ana 'profile' kubwa katika Ligi ya Tanzania
  5. Rais wa Yanga atangaza atakavyo watambulisha Chama na Kibu

    Rais wa Yanga atangaza atakavyo watambulisha Chama na Kibu Rais wa Yanga amesema watamtambulisha mchezaji mpya ambapo kwa taarifa za ndani ni kati ya Kibu au Chama kabla ya msimu huu kutamatika Ameyasema hayo katika live ilikuwa katika page ya Instagram ya Ali Kamwe jana jioni ambapo wameacha...
  6. Kwenu Mashabiki wa Simba na Yanga wenye Viherehere

    Tukiwa tunaelekea mwishoni kabisa kukamilisha duru ya mzunguko wa pili wa ligi kuu ya Tanzania,almaarufu kama NBC PREMIER LEAGUE,naomba niwakumbushe mashabiki wa Simba na Yanga ili ikiwezekana waondoe tongo tongo za ujinga ndani ya bongo zao! Klabu za Simba na Yanga ili zijiendeshe zinahitaji...
  7. Yanga Kumsajili Mchezaji nyota wa timu kubwa, Bango lake kuwekwa kwenye Jengo linalotazamana na Timu hiyo

    Kutoka insta live ya ally Kamwe , Leo engineer HERSI ametupa wananchi breaking news ya moto πŸ˜…πŸ˜… Engineer HERSI amesema kuwa katika msimu huu wa usajili dirisha kubwa , Kuna mchezaji mmoja uyo fundi akisajiliwa , itatengenezwa bango kubwa lenye picha ya mchezaji huyo alafu litabandikwa opposite...
  8. Watu katili katika football Simba vs Yanga

    Football ya Tz ina mambo mengi sana nje na ndani ya uwanja, kwa sasa yanga wana watu bora sana nje ya uwanja na ndani ya uwanja, wana pesa na nguvu pia katika serikali. Ikitokea mchezaji mzuri simba wanataka kumsaini na wao hizo taarifa wakazipata basi watafanya kila njia wao ndio wampate, kwa...
  9. Tetesi: Dube amesaini Yanga tayari

    Habari nilizonazo tayari Prince Dube amesaini mkataba na Yanga wa miaka miwili. Tutegemee kumuona Dube akikiwasha Jangwani msimu ujao.
  10. Ina maana mikataba yote waliyosaini Yanga sc wamekosa pesa ya kumlipa Kambole au ni mikataba hewa?

    nimesikitika kuona Yanga sc kufungiwa kusajili kwa sababu ya kutomlipa pesa aliyekua mchezaji wa Yanga sc LAZARO kAMBOLE , kwa maelezo niliyoyapata ni kuwa FIFA waliiandikia barua YANGA mapema tu kuwa wamlipe pesa kambole lakini yanga walikaidi na kujisahaulisha SWALI LANGU: ina maana mikataba...
  11. Kutokana na matatizo ya kifamilia nimehamia yanga

    Hizi familia zina nini. Alieondoka kadai familia, Benchika nae familia problem. Na mimi nimeamua kuhamia rasmi Yanga kutokana na matatizo ya kifamilia.
  12. Dawa ya simba kusonga mbele ni kukubali yanga wapo mbele zaidi yao.!

    Bodies of jamii forum I salute you..! Hii team inayoitwa simba kwa kweli inasikitisha.! Wana matatizo mengi sana lakini kwa uchache tunayajua na wao hawataki kuyakabili ili wasonge mbele! Inasikitisha WACHEZAJI!. SIMBA miaka hii inafeli upande wa usajiri, Sijui ni nani anawaletea wachezaji...
  13. Tetesi: Simba kuibomoa Yanga, Azam

    Kwa taarifa ambazo nimepenyezewa nikuwa Simba imejipanga kufanya kufuru kwa KUIBOMOA YANGA huku ikipanga Kuondoka na wachezaji wanne kutoka Yanga na wachezaji wawili kutoka Azam. Simba inajiandaa kunasa saini za wachezaji Hawa kutoka Yanga ambao wamepangiwa Dau Nono la usajili pamoja na...
  14. Yanga yafungiwa tena kutokusajili mpaka walipe madai ya Lazarus Kombole

  15. Tangu Yanga wafungiwe usajili na FIFA & CAF Pacome hakucheza tena

    Yanga walipopata barua toka kwa FIFA, CAF na TFF Pacome akapata injury, TFF imeficha jina la mchezaji aliyechezeshwa na Yanga wakati usajili wake wa utata. Wameamua wasimchezeshe kabisa, sheria inajulikana kila mechi aliyochezeshwa points 3 zinatakiwa zikatwe. TFF simamieni sheria acheni...
  16. Ukweli lazima usemwe Yanga SC iachane na kuingia mikataba ya udhamini ya kitoto maana ishakua taasisi kubwa Afrika

    Nimeshangazwa kuona Yanga sc inaingia na mkataba na kampuni inayofahamika kinondoni ilala na temeke tu na bidhaa zake inauzia palepale Daresalaam tu tena kuna baadhi ya maeneo ya Daresalaam haifahmiki na haiuzi kiufupi hii kampunu ni janja janja tu Wanajiita SILVER INVESTMENT walingia mkataba...
  17. M

    Simba ni mabingwa wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Yanga ni Bingwa wa Tanzania Bara tu, msijitoe ufahamu

    Simba wamewakatia denge Yanga, wao ss hv ni mabingwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yaani Simba ni bingwa nchi hii. Sijui kama nimeekeweka, simba ni bingwa wa hapa bara na kule visiwani.
  18. Hili la bwana mdogo chasambi likawe funzo kwa wachezaji chipukizi wa ndani wanaotaka kucheza simba na yanga

    Simba na Yanga walishwahi kumtaka Abdul Suleiman Sopu lakini bwana mdogo alikataa ofa za mapacha na kukimbilia chamazi (azam ) siyo kwamba labda bwana mdogo alikua hataki exposure za mapacha hapana ila alijua timu za kariakoo hazina muda wa kumvumilia mtu zinataka ukivaa jezi tu basi ukafunge...
  19. Viongozi wa Yanga SC ni muda wenu sasa kutoa ufafanuzi kwa mashabiki kwa nini Pacoume hachezi na wakati alishapona majeraha

    Pacoume ni moja kati ya mchezaji pendwa katika kikosi cha Yanga SC, siyo pendwa kwa kocha bali hata kwa mashabiki kutokana na kipaji chake cha kusakata kabumbu . Cha kushangaza kumetokea sintofahau kila kukicha msemaji wa yanga Ally kamwe ansema kuwa Pakome yupo tayali na ni mzima wa afya...
  20. Wana Yanga tuna cha kujivunia leo.

    Lazima tujipongeze bhana πŸ˜‚πŸ˜‚
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…