yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Yanga SC 3-0 Tabora United | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 25.05.2024

    Leo ndio ile siku ya mabingwa wa nchi Yanga Afrika kukabidhiwa kombe la ubingwa wa ligi ya Nbc. Ikumbukwe huu ni ubingwa wa 30 kwa Yanga Afrika. Kuwa nami paka mwisho ili kujua kile kinachojili kuanzia shamrashamra za kulitembeza kombe kwenye viunga mbalimbali vya jiji la DareSalaam paka hapo...
  2. Afande Muliro: Ukivuruga paredi la Yanga tutakushughulikia

    Safari hii makolo mmeingia cha kike, yaani tukikuona tu unazurula na jezi lako la Mo Xtra kwenye paredi la ubingwa wa Yanga tutakushughulikia ipasavyo maana utakuwa unahatarisha furaha ya wananchii. Ubuntu bothoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
  3. Yanga kesho kufanya balaa kukabidhiwa kombe lao la 3 la NBCPL

    Klabu ya Yanga sc kesho ya mei 25 2024 watakabidhiwa kombe lao la Ligi kuu ya NBCPL ikiwa ni mara ya 3 mfululizo na timu pekee ambayo imelibeba kombe hilo tangu bank ya NBC kuwa wa dhamini wa Ligi kuu ya Tanzania. Kombe hilo linatalajiwa kushuka na helikopta kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa...
  4. D

    Hivi kila shabiki wa Yanga akachanga Tsh. 1,000 tu, timu haipati Tsh. Bilioni 1 na ushee?

    Yanga yenye kauli mbiu ya Daima mbele, Kurudi nyuma mwiko, Why tushindwe kuichangia Klabu yetu isajili wachezaji bora?
  5. Kwanini TFF mnaipeleka fainali Zanzibar?

    Acheni siasa mnaharibu soka letu mechi ya bara mnapeleka visiwani ili mgundue nini? TFF mnaipeleka Fainali Zanzibar, sehemu ya nje ya utawala wa FA husika? Lini mmewahi kuona FA ya Uingereza imepeleka fainali Ireland, au Scotland? Lini mmewahi kuona FA ya Ujerumani imepeleka fainali zao...
  6. Simba kuamisha mechi yenu na KMC Tarehe 25 na kuipeleka arusha mnakwepa shamra shamra za ubingwa wa Yanga siku iyo?

    Nimepata taarifa za Simba kuomba mechi yake na KMC ikapigwe Arusha badala ya uwanja wa awali uliotakiwa ipigwe mechi husika wa meja isamuyo kule mbweni! Ninachokiona hapa kina jaribu tena wameona mashabiki watakuwa wachache na ikichochewa na jambo la yanga inayotegemea kufanya sherehe zake za...
  7. G

    Yanga kutumia helikopta na basi la kisasa zaidi kwenye Parade

    β€œHelikopta ya parade la ubingwa itaanza safari yake majira ya saa nne asubuhi ikiwa imebeba kombe, itapita maeneo mbalimbali jiji la Dar Es Salaam. Tumempa Rubani maelekezo kuna maeneo akifika pale Kariakoo, aishushe chini kidogo ili kila mtu ashuhudie parade la angani. Baadae mchana Helikopta...
  8. Tetesi: Aziz Ki anaondoka Yanga

    Aziz Ki hatimaye amemalizana na Yanga na sasa anaenda kucheza South Africa. Bado sijapata uhakika ni timu gani ila kati ya Kaizer Chiefs au Orlando. Yanga wameshindwa mpa ofa anayotaka. Sad part Aziz anaondoka kama mchezaji huru. Its over, ila mbadala wake Yanga wanakaribia kumalizana nae...
  9. Tetesi: Aziz Ki anataka Dola laki tano kubaki Yanga

    Kiuongo Mshambuliaji wa Yanga Aziz Ki amewambia viongozi wake kama wanamuhitaji kuendelea kusalia klabu hapo basi wanapaswa kumpa mkataba wenye thamani wa Dola laki 5. Ofa ya Yanga kwa Aziz Ki ni dola laki tatu na nusu pekee. Vipi sasa wadau na mashabiki wa Yanga, Aziz Ki abaki au asepe tu?
  10. M

    TFF hakikisheni Simba inakuwa ya pili ili iungane na Yanga kuiletea nchi heshima. Sio Azam

    Kwa manufaa na heshima ya nchi ni vema TFF ikahakikisha Simba inaungana na Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa. Nasema hivi kwasababu ndizo timu pekee zilizo serious na mpira wa miguu. Azam ni timu ya ubabaishaji sana na inaelekea ni timu ambayo lengo lake sio ushingani. NAFASI YA PILI KWA SIMBA...
  11. Yanga Ifungue Chuo Kikuu cha Soka

    Najua maboss wa Yanga mko humu, tafadhali fungueni chuo kikuu cha soka ili kuzisaidia club mbalimbali za soka duniani kama vile Arsenal na Simba. Asante
  12. Taja mambo 3 Yanga wayafanye katika kusherekea Ubingwa wao ambao watakabidhiwa mei 25,2024

    Taja mambo 3 Yanga wayafanye katika kusherekea Ubingwa wao ambao watakabidhiwa mei 25,2024
  13. Yanga imekuja na Gamondi day mchezo wao dhidi ya Dodoma Jiji mei 22

    "Kesho tunasafiri majira ya saa nne asubuhi kuelekea pale mkoani Dodoma kucheza dhidi ya Dodoma Jiji. Mchezo huo utafanyika tarehe 22 Mei 2024. Mechi hii ya Dodoma tumeifanya mechi ya kushukuru benchi la ufundi. Hivyo itakuwa ni π†π€πŒπŽππƒπˆ πƒπ€π˜ Kwenye π†π€πŒπŽππƒπˆ πƒπ€π˜ itakapofika 𝐝𝐚𝐀𝐒𝐀𝐚 𝐲𝐚 πŸ‘πŸŽ, wana...
  14. Safari hii Yanga atuendi bungeni naona wabunge watatuchoka kila mwaka

    Najua mtatuchoka lakini hakuna jinsi ndio Yanga tamu Tunaomba tukicheza na Dodoma tualikwe hata nje tu bungen tupate chai na spika na pongezi zenu
  15. Baada Ya Yanga Kunyimwa Goli La Wazi Kabisa Dhidi Ya Mamelodi Na Refa Kukataa Kureview VAR Niliikosa Mantiki Ya Huu Mfumo. Mdau We Unasemaje

    Mdau we unasemaje? Waingereza nao huu mfumo umewachosha. https://www.bbc.com/sport/football/articles/c4n1ndlknk1o
  16. C

    Carlo Ancelotti Kuja kujifunza Yanga

    Carlo Ancelotti Kuja kujifunza Yanga. habari za sasa hivi ni Kuwa Carlo Ancelotti kuja Yanga ,kupata course ya Kuchukua Makombe mara 3
  17. D

    Miguel Gamondi kwenda Kaizer Chiefs?

    Furaha iwe na mipango. === Kaizer Chiefs are set to announce new coach and two signings on Wednesday? On Monday, a statement indicating that Kaizer Chiefs will unveil a new coach and players on Wednesday appeared on the club’s official website. β€œKaizer Chiefs MD Kaizer Motaung says the...
  18. S

    Rufaa ya Yanga dhidi ya Mamelodi, majibu yanapaswa kutoka lini?

    Habari Wadau, Naomba kujua rufaa waliyokata Yanga dhidi ya Mamelodi kuhusiana na maamuzi ya Mwamuzi kukataa goli la Azizi K kwenye mechi ya robo fainali mkondo wa pili huko Afrika Kusini kati ya Yanda na Mamelodi, majibu yake yanapaswa kutolewa lini kwa mujibu wa sheria na kanuni za CAF? Japo...
  19. Yanga Bingwa 2024

    Bado mechi tatu za NBC Premier league kumalizika Yanga Bingwa. Kinachofuata Yanga watakuwa wanacheza mechi zilizobaki kama wanafanya mazoezi!
  20. Yanga bingwa 2023-2024:Yaifunga Mtibwa 3-1 | NBC Premier League | Manungu Stadium | 13.05.2024

    Karibuni Kwa Live updates za mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara kati ya Mtibwa Sugar (wenyeji) dhidi ya Mabingwa watetezi , Young Africans sc. Mchezo utaanza leo saa kumi jioni, Katika uwanja wa Namungu Complex, Morogoro. Endapo Yanga atashinda mchezo huu atafikisha alama 71 ambayo haitaweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…