yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Kikosi cha Feitoto kina wachezaji 7 kutoka Yanga

    Feisal Faila kuff kama wanavyomuita watangazaji wa Azam rafiki za lawena msonda mzee wa makongorosi ametaja kikosi chake Bora Cha msimu ulioisha kupitia gazeti pendwa la michezo mwanaspoti ambapo humo ndani ameweka wachezaji 7 kutoka kikosi Bora Cha yanga wachezaji hao ni 1. Diara 2. Yao 3...
  2. Aziz Ki amekata mzizi wa fitina juu ya mustakabali wake ndani ya Yanga

    Aziz Ki amesema"Nawashukuru kwa sababu ni jambo dogo sana ninaloweza kufanya kuwashukuru nyinyi ambao mnanisaidia kila siku, SIO KWAHERI NIKO HAPA MSIJALI”
  3. Khalid Aucho awapasha mashabiki wa Yanga wanaomzomea Fei Toto

    Haya ni maneno mazito ya Khalid Aucho, Mchezaji wa Yanga kwenda kwa mashabiki wa Soka Tanzania akiongea na Waandishi wa Habari baada ya kukabidhiwa Kombe la Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League. Aucho aliulizwa baadhi ya maswali ikiwemo ni nani anatamani kucheza naye na kumtaja kiungo...
  4. D

    Tetesi: Gamondi and Yanga business is over. Yanga seeking a new manager

    Well Gamondi and Yanga part away. it's over. Yanga will have a new manager next season as tonight: Gamondi refused a long term contract Gamondi is still in contact with other big teams. Gamondi has a contract but he is yet to sign. these are Gamondi words a few minutes before yanga...
  5. Hii Yanga ukiinyamazisha tu lazima ikulambe!

    Hiooo ni Fei Toto vs Yanga hukoo Zanzibar alipofanya hivyo tukampa dozi. Pemben ni Kibu Denis mechi ya vs Yanga, aliporudisha ikawa moja moja akaleta dharau tukamuadhibu. #Nisameheniibureeepls
  6. D

    Simba contracted Gamondi after amazing season with Yanga

    Simba has offered Gamondi a contract to be their next manager after Young Africans season contract ended. Gamondi is yet to make decisions. 🤔 😂😂
  7. Je, Simba tunajifunza Nini upinzani huu wa Yanga na Azam?

    Hapa miaka ya karibuni kumeibuka upinzani mkubwa wa kisoka kati ya Azam na Yanga kiasi Kwamba derby ya watani imekuwa Haina mvuto kisa Simba kuonekana underdog but currently mzizima derby (Yanga na Azam) ndio hatari zaid Je Simba tunajifunza Nini a) sisi Simba ni level ya Al ahly.....japo...
  8. Yanga yavuruga vikao vya bajeti baraza la wawakilishi, hii si sawa

    Kulikuwa na haja gani kwa timu ya kigeni kuingilia mijadala ya Baraza la wawakilishi na kupotezea muda Wawakilishi? Kama hilo jambo ni muhimu si waende kwao huko Dodoma, Karibu Wawakilishi wote walihudhuria mechi ya Yanga na Azam pale Aman Complex, na waliona kila kitu, Sasa kiherehere cha...
  9. Rasmi Lomalisa amalizana na Yanga anaenda kucheza soka Uarabuni kuanzia msimu ujao

    Beki huyo wa kushoto wa Yanga amemalizana na klabu yake hiyo baada ya kumalizika kwa msimu wa 2023\2024 Ambapo uongozi wa Yanga walitaka kumpa mkataba mpya wa mwaka mmoja lakini Lomalisa aliomba kuondoka klabu hapo nakwenda kutafuta changamoto mpya. Lomalisa ambaye amecheza kwa mafanikio ndani...
  10. Kama kuna kombe jingine uko la maana yanga waambiwe maana ndio kazi zao hapa mjini

    Ni vyema timu ya wananchi ikajulishwa Kama kunakuwepo na makombe yanayoeleweka ili waende kuyabeba kwani wamethibitisha ubora wao kwenye eneo ilo! Timu kubwa siku zote inabeba makombe na timu ndogo inakamia mechi, Azam ilishachagua kukamia mechi pindi wanapocheza na yanga lakini wakicheza na...
  11. D

    Yeison David Fuentes Mendoza mcolombia wa azam fc ni defender mkali sana, huyu mtu na nusu

    Mimi nilikuwa mechi nilikuwa naanglia nani ni best players. so far nimeoma huyu mcolombia atasumbua sana. next season simba na yanga. Zinaweza amia Colombia. Huyu jamaa ni very intelligent. apotezi pasi ana calmness ya defender mzuri. Wacha tumuone caf champions league. Hicho ndo kipimo cha...
  12. Yanga waajiri kocha wa free kicks, na penalty shoots

    Kama Yanga wanataka kubeba kombe la Club Bingwa Africa lazima wafanyie kazi udhaifu uliopo kwenye upigaji penati na mipira ya adhabu. Gamond ni bonge la kocha lakini si mzuri kwenye hizo sehemu nilizotaja. Kama timu inataka kuingia kwenye kuwa professional football club iliyo kamilika inabidi...
  13. Nisaidieni namna ya kulipia siku nione mechi ya Yanga akimuua Azam FC kwenye Azam tv

    Wakuu nisaidieni namna gani naweza lipia kifurushi cha siku kwenye Azam tv alafu nione mechi ya final Yanga vs Azam.
  14. Yanga inaweza kutengeneza milioni 600 kwa mwezi wa 6 na 7

    Endapo yanga watachagua team nzuri ya watu wakazungusha haya makombe mawili NBC na Crdb kuanzia dar hadi kigoma na Rukwa na kutoa offer ya Kila shabiki kupiga picha na kombe kwa sh.2000=1000 KILA kombe basi hakitakosa watu 300000 watakaotaka kupiga picha na makombe hayo kwa kiasi hicho
  15. Hamisa Mobetto penzini na Kigogo wa Yanga!

    Mwanadada mrembo, mwanamuziki, mwigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga. Mwanadada huyo na Kigogo wapo katika penzi la kificho kwa takribani mwezi wa pili sasa. Penzi lilimea SA, Ubuntu Botho! Wawili hao walikutana kwenye...
  16. Gamond "Young Africans na Azam FC wamekuwa na michezo bora msimu huu"

    Young Africans na Azam FC wamekuwa na michezo bora msimu huu, najua kesho kutakuwa na upinzani mkubwa na sisi tumejiandaa na hilo Mchezo huo wa Fainali utapigwa katika uwanjwa wa New Amaan Complex Zanzibar saa mbili na dakika 15 usiku Nani kusepa na kombe hilo?
  17. Kila la kheri kwa yanga kesho

    Naiombea klabu yangu ya yanga ushindi kesho
  18. Naishauri Yanga na wachezaji kususia siku itakayopangwa na TFF kutoa tuzo za masharti

    Ndugu zangu wa Yanga kama nilivyoandika kwenye kichwa changu cha habari. Siku itakayopangwa na hao wahuni kwa lengo la kutoa hizo tuzo zao, msihudhurie. Maana itakuwa haileti mantiki. Mkifanya hivyo, litakuwa ni funzo kubwa kwao. Ila mkihudhuria, basi mtambue fika hawataacha kuendelea...
  19. Kauli ya Feitoto kusema ili arudi Yanga sharti Eng. Hersi aondoke ilikuwa ya ovyo ndiyo maana kaishia magoli 19

    Huyu jamaa anatakiwa aombe radhi ili afanikiwe. Kati ya vitu nililaani hatochukua kiatu ni yale maneno aliulizwa eti unaongeleaje kurudi Yanga akasema yeye kurudi Yanga labda Eng. Hersi aondoke. Wewe una akili kweli? Eng. Hersi aondoke kabisa, kha pole sana Feitoto utaishia hivihivi kupambana...
  20. Hivi vitu akifanya Mangungu au Try Again tutawakuta muhimbili wamelazwa

    Huyu hapa Raisi wa Ball Eng. Hers na Azizi Ki (the top scorer) wakichezezea mpira na mpira ukiwatii kama wameutengeneza WAO. NB: Kwa ball hili la hers Mwakani Kolozidad bila 3.5 bilion hatuwapi Hers.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…