yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Issue ya Gamondi na Yanga ipo hivi

    Wengi wanajiuliza kuporomoka ghafla kwa uwezo wa Yanga msimu huu kumetokana na nini. Kuna mvutano mmoja umekuwa unaendelea kati ya Gamondi na uongozi wa Yanga. Ni kwamba, Yanga imekuwa inamlazimisha Gamondi kuzipa mbinu na maelekezo timu pinzani zinazocheza na Simba na Gamondi amekuwa...
  2. Tetesi: Uongozi wa Yanga kumfuta kazi Kocha Gamondi muda wowote kuanzia sasa

    Hii ni baada ya kuitwa kwenye kikao na Master Gamondi kugoma kutokea. Uongozi umechoshwa na jeuri ya kocha huyo na sasa muda wowote ndani ya masaa 24 yajayo Gamondi atafutwa kazi
  3. Kenya asilimia 80 ya mijadala yao ni Siasa, Tanzania asilimia 96 ni mijadala ya Yanga na Simba.

    Kwenye Socia media za Kenya na hata vyombo vyao vya habari kama Tv na Radio station asilimia 80 ya mijadala na Mada zao ni siasa za Kenya. Asubuhi ukifungulia station zao Radio na Tv ni mada za siasa za Kenya. Tanzania asilimia 95 mada ni Yanga na Simha hizi ni mada za kutwa nzima asubuhi hadi...
  4. Wakati CCM na Serikali yao wanabaka Demokrasia Watanzania tuko busy sana na Yanga na Simba

    Kama kuna kitu CCM wanajivunia nacho kwa sasa ni kuweza kuwaingiza mamilion ya wajinga wa hii nchi kwenye mfumo wao wa Yanga na Simba. Haya ni mafanikio makubwa kabisa ya Serikali ya CCM ya wakati wote tangu Nchu kuasisiwa. Kwa sasa hata nchi inavyo pigwa hakuna mtu anajadili make wajinga wako...
  5. Mechi ya Yanga vs Tabora imenifanya nitambue jinsi watawala wanavyotumia michezo na burudani kupumbaza jamii

    Jana jioni nilikaa eneo fulani nikiwa napambana na hamu ya kunywa bia (nimeacha ulevi ila day by day sio rahisi kusema kweli) nikasikia makelele Bar ya jirani. Ingawa sio mpenzi sana wa mpira, nikasema nijongee nione nini kinaendelea. Nikiwa pale, nikaambiwa Yanga ipo ICU, hivyo nikakaa kuona...
  6. Mshabiki wa Simba waamka na Yanga, waanzisha dozi ya 'Kulamba Asali' kutwa mara tatu

    Wakuu, Mmwaona huko mashabiki wa Simba? Waazisha dozi ya kulamba ASALI kutwa mara tatu wakiendeleza masimango kwa Watani za Yanga baada ya kupiwa bao 3-1 na Tabora United hapo jana. Pia, Soma: + Rais Samia aipongeza Tabora United kwa kuifunga Yanga bao 3-1 + Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora...
  7. Ubinafsi wa Gamondi ni anguko la Yanga

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Binafsi Jana sijashangazwa na matokeo na kipigo kikali kutoka Kwa Tabora United,hilo nililitarajia baada ya kuona Line up kabla ya mechi!,Kitendo Cha kumuanzisha Aziz Ki kwenye mechi ile niliamini kabisa kipigo hakiepukiki! Gamondi ni Kocha mwenye...
  8. Nashauri coach Gamondi atupishe

    Mimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga nguli kabisa, Napendekeza Gamondi apishe fasta Gamondi ulikuwa moto wa mabua Sasa makocha wa bongo wamestukia mbinu zake, itakuwA ngumu kushinda 1. Gamondi ni kocha wa mbinu Moja. Kila siku anakuja na hiyo mbinu ya kupitisha penetration pass, Ukimbana...
  9. TFF mulikeni refa wa jana hafai kuchezesha mechi za yanga hakuficha mapenzi yake kwa yanga hadharani!

    Watu wasisahaulishwe na yanga kufungwa jana ila yule refa hafai katika ligi kuu haswa mechi zinazohusisha timu yake ya yanga tangu dakika ya kwanza mpaka inafika 44 refa amekwisha wapa nusu ya timu ya tabora united kadi za njano na kuizawadia yanga penati baki ya faulo kama kumi na baki ya hapo...
  10. M

    Yanga ya sasa ikikutana na Simba hii itafungwa goli hata 11

    Nimeangalia mwenendo wa Yanga inaonyesha kiwango kinazidi kushuka kwa kasi kubwa sana, hata inaposhinda unakuta inashinda kwa kupambaaaaana kama bao la mzee, kagoli kamoja. Hata game ile aliyocheza na Simba tuwe wa kweli maana ingechezeshwa na refa makini kama Aragija Simba ingeshinda kwa goli...
  11. Yanga Yaitisha Kikao Cha Dharura Usiku Huu, Gamondi Kikangaoni

    Saa chache baada ya Yanga kupoteza kwa mabao 3-1 dhidi ya Tabora United, kimeitishwa kikao kizito cha Kamati ya Utendaji cha pili kwa siku kikimjadili kocha wa timu hiyo Miguel Gamondi. Mapema leo asubuhi Yanga ilikuwa na kikao cha Kamati ya Utendaji lakini kimelazimika kurudiwa tena usiku kwa...
  12. Kaizer Chiefs Wanaitaka Yanga ya 22/23 kwa Nguvu Zote

    Kaizer Chiefs wameshamchukua Nabi, na sasa Kaze na bado wanamtaka sana Mayele na Aziz Ki kwa gharama zozote zile. Inaelekea Yanga ya 22/23 ilitisha sana
  13. Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

    Mechi: Yanga SC VS Tabora United Ligi: NBC Premier League Uwanja: Azam Complex Tarehe: November 7,024 Muda: 🕖 6:00PM Dakika, 11 Si Yanga wala Tabora hakuna timu iliyopata goli hadi sasa. Dakika, 15 Mchezo umendelea kuwa mzuri timu zote zinacheza kwa utulivu sana. Dakika, 19 Tabora...
  14. Mtego umewanasa, Yanga tukianza kushinda hatutaki visingizio

    Visingizio vilizidi, naamini Sasa Kwa huu mtego tulioutega wabaya wamenasa Lawama za GSM anadhamini timu nyingi, Yanga ananunua mechi, Kujidunga shindano, Kuhonga marefa Sasa mmeona wenyewe Yanga tunafungwa mara mbili mfululizo. Tumepewa kasi zimetugharimu Majeraha n.k Haya yote yametokea...
  15. C

    Apongezwe Mtu wa Yanga SC aliyetoa siri kwa Watu wa Azam TV kuwa Yanga SC inatumia Dawa za Kuongeza Nguvu katika mechi zake

    Na leo waliogopa kuzitumia kwakuwa Watu wa Yanga SC walitonywa kuwa huenda TFF ikawashtukiza kupitia Watumishi wake kadhaa kufanya Uchunguzi Wachezaji wao. Kitendo cha mwana Yanga SC huyo mwenye Ushawishi mkubwa katika mpira wa Tanzania kuchoka Kutengwa na Mtu aliyemuamini (Rais wa Yanga SC)...
  16. Mchezaji gani kwa Sasa unadhani hafai kuendelea kuichezea Yanga?

    Kwangu Mimi hawa wachezaji Yanga iachane nao. 1. Baleke 2. Dube 3. Diarra 4. Aziz Ki 5. Nkane
  17. Yanga jifunzeni Kwa meli ya Titanic. Mungu huchukia maapizo.

    Wakati meli ya Titanic inazinduliwa, walioijenga walisema kuwa ile meli haitazama Kamwe (unsinkable) Historia inaonesha kila aliyepanda ile meli alikuwa na Imani nayo kubwa Sana kuwa haitazama. Lakini mwisho wa siku ilizama na kuua watu kadhaa. Yanga nao mpaka wakatuga na wimbo kabisa kuwa...
  18. Mjadala wa kina kwanini Yanga amefungwa mechi mbili mfululizo na kucheza chini ya kiwango

    Yanga wanaonekana wana wachezaji wazuri lakini pia wana kocha mzuri. Ni sababu zipi zimepelekea afungwe mechi mbili mfululizo. Alifungwa na Azam goli 1 kwa 0 mechi ya tarehe 2 November 2024. Leo tarehe 7 November 2024 tumeshuhudia Yanga anafungwa goli 3 kwa 0 zidi ya Tabora United. Hili jambo...
  19. K

    Rai Kwa Yanga kuwakemea Baadhi ya Wachezaji, Nidhamu ni Tatizo

    Hii ni Rai kwa wanywa 'thupu' Yanga kuwakemea baadhi ya Wachezaji kwani nidhamu inaonekana ni Tatizo Hili ni angalizo La Mapema kwa Yanga. Eneo La nidhamu Limeonekana kulegalega katika Michezo ya hivi karibuni kwa baadhi ya Wachezaji wameonyesha Kiwango cha chini Sana cha Nidhamu. Jambo hilo...
  20. Matawi ya Simba na Yanga kugeuka vikundi vya kufa na kuzikana, imekaa vizuri

    Aliyebuni hiki kitu,mbinguni moja kwa moja Sehemu ninayoishi kuna mashabiki wengi sana wa Simba,mashabiki wa Simba kwa pamoja wana kikundi chao kiingilio ni 5000 na michango ya 1000 kwa mwezi. Mwamba mmoja miongoni mwao alifariki na hana ndugu huku. Simba waliubeba msiba kama wao hakuna kitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…