yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Bodi ya Ligi: Yanga wametangaza uwanja wa KMC kabla ya approval, wanaweza kukataliwa

    https://www.youtube.com/watch?v=k5QFX2fgpjI Msikilize Boimanda ambaye ni Afisa Habari wa Bodi ya Ligi. Watapewa majibu kwa mujibu wa kanuni ya 9. Kanuni imeeleza sababu za msingi za kuhama uwanja, lazima kuwe na sababu nzito. Sababu zilizotolewa na Uto ni kufungwa na Azam na Nyuki. Amesema...
  2. Ukubwa au ukongwe wa Simba na Yanga ni upi?

    Sijawahi kuelewa ukubwa wa hizi timu mbili za Simba na Yanga, Hivi timu kubwa zenye miaka 90 zinashindwaje kujenga uwanja hata mdogo Tanzania yenye ardhi kubwa na gharama ndogo za ujenzi?! Au umasikini wa watanzania unatafsiriwa kwenye hizi timu pia? Huwa nasikia watu wanaziita timu kubwa au...
  3. POTOSHI Manara alisema hakuna jipya wanalofanya Yanga ambalo Simba haijafanya

    Nimekutana na hii Video inasambaa huko Instagram ikimhusu aliyekuwa Msemaji wa Yanga, Haji Sunday Manara ikiwa na maneno kuwa Yanga haifanyi lolote jipya ambalo halikuwahi kufanywa na Simba! Imenishangaza hii kauli kama ni kweli Manara aliongea hivyo au imechezewa?
  4. Ali Kamwe: Azizi Ki aliona jiwe akipiga penati

    Taarifa Rasmi ya Yanga kupitia msemaji wake. My Take Hivi huyu jamaa anawaonaje fans wa Yanga?
  5. Tukubali tukatae Yanga ni Walozi wakubwa

    Hapo juzi kulitoka Taarifa kwa Umma kwamba Yanga wamehama Chamazi kuja KMC Complex , hiyo ni baada ya Baadhi ya Video zao za Ulozi nje ya Uwanja kusambaa, na hata Zile Bomba za Sindano pia kusambazwa kwa Wingi. Unajua kwanini naamini kwamba Yanga ni Walozi, mechi za Simba Lazima aje kitofauti...
  6. Yanga: Dube akikaribia goli, taa inapunguzwa mwanga asione goli

    Dube wetu ilikuwa akilikaribia Goli wenye ule uwanja wanatuma mtu wao apunguze mwanga wa Taa ili asione vizuri. Tumevumilia Mengi sana sisi. Haya ni maneno ya msemaji wa Yanga Ally Kamwe, akitoa taarifa kwa niaba ya club My Take Hata mimi niliona Azizi Ki alipopiga penati wakahamisha magoli
  7. U

    Furaha ya Simba ni Gamondi kuondoka Yanga

    Kocha Muargentina Miguel Gamond, a.k.a Mzee wa "FOR ME" amesababisha tatizo la kisaikolojia Kwa Mashabiki na Viongozi wa Simba , ambao wao wanaamini mafanikio ya club yao mchawi wao ni Miguel Gamond, Mzee wa For Me. Miguel Gamond anatengenezewa Zengwe na Simba ili afukuzwe , na tegemeo lao ni...
  8. Tetesi: Djigui Diara aomba kuondoka Yanga dirisha dogo, adai hana furaha Jangwani

    Yule mdaka mishale kipa mahiri kabisa barani Africa,Djigui Diara amemwandikia wakala wake akitaka kumtafutia timu haraka dirisha hili dogo. Lakini wanasheria wake pamoja na wakala waliguna maana gharama za kuvunja mkataba ni zaidi ya milioni 500. Diara anadai hana furaha jangwani sababu ya...
  9. Kuna anayejua sababu za Yanga kahama uwanja wa Azam Complex?

    Ki ubora tumeona na tunaujua huu uwanja ukitumiwa hata kwa mechi za CAF Champions league na CAF confederation cup. Lakini vilabu vingi vya NBC premier vimeutumia, ni nini hasa sababu ya timu ya Yanga kuuhama katikati ya msimu? Kwenye hii barua hakuna sababu yoyote imewekwa.
  10. Yanga kuna ombwe kubwa la uongozi,maamuzi yao ni dhahiri wenye akili ni wawili watuweke wazi ni hujuma gani ziliwakimbiza Chamazi!

    Yanga wamefanya maamuzi ya kitoto sana yote yamesababishwa na ombwe la uongozi sababu mpaka sasa hazijawekwa wazi wanachama na mashabiki wao kwakuwa ni empty up stairs wameshindwa kuhoji wala kutaka kujua sababu. Tuionayo wengi ni kupoteza michezo miwili mfululizo wamesahau msimu uliopita...
  11. Yanga kwanini msijenge uwanja wenu (Stadium) kwenye eneo mlilopewa na Rc Makonda enzi hizo?

    Yanga mlipewaga eneo na Rc Makonda akiwa mkuu wa mkoa wa Dar. https://www.mwananchi.co.tz/mw/michezo/yanga-kujenga-viwanja-vitatu-eneo-la-makonda-2976210 Hilo eneo bado lipo. Hayo mabilioni ya kununua wachezaji wazee mngetumia kuendeleza eneo alilowapa Makonda, huko Kigamboni. Na mgekuwa na...
  12. S

    Yanga akishinda mechi zake zijazo ikiwamo ya kimataifa, turarajie kusikia nini kutoka kwao?

    Binafsi najua hiki ndio kinakwenda kutokea siku si nyingi kwenye mechi za ligi pamoja na ile ya Club Bingwa dhidi ya Al hilal ya Sudan. Swali: Kwakuwa hawa mabwana huwa hawakosi sababu, safari hii tutarajie kusikia nini kutoka kwao? Je, wataendelea kusema GSM ananunua marefa? GSM ananunua...
  13. Yanga yatumia mtego wa Manara tena, na wengi wamejaa

    Yanga tumefungwa mara nne mfululizo na tulikuwa tunapata pressure kutoka Kwa media na mashabiki wengi Sasa tumewapa mtego wa Manara amkane Eng Hersi na wengi wamejaa Na Sasa uongozi una Fanya mabadiliko madogo bila s pressure Mosi, Timu imehamia KMC complex ila wengi hawajali wapo busy na...
  14. Yanga yahamishia makazi katika Uwanja wa KMC Complex

    Hiyo ni baada ya vipigo viwili mfululizo. Hapa sasa ndio kuna kitu ambacho uongozi wa Yanga unatuacha njia panda sisi wadau wa soka. Kama management iliona tatizo la wao kupoteza mechi mbili lilisababishwa na uwanja, kwanini wamuwekee vikao Gamondi usiku wa manane? Tushike lipi sasa? Tatizo...
  15. Inawezekana Manara akaondoka na wachezaji "wake" Walioko Yanga, wakahamia Azam?

    Set up inapangwq vizuri tu, na inawezekana siku "atakayoongea" Tutajua mengi, kwa sasa ni suala la pasenti atakayopata kutoka kwa tajiri na kila mchezaji, Manara "anawadalalia" Wachezaji wa Yanga kwa big boss mzee wa aiskrim. Kwa sasa Vita imehamia kwa Hashim, maana kwa Ally, Dua zake zake za...
  16. S

    Endeleeniu kuijadili Yanga badala ya kuboresha vikosi vyenu ila msije kusema GSM ananunua marefa

    Makolo wako busy kuijadili Yanga badala ya ku-focus madhaifu ya timu yao ambayo bado inaendelea kujitafuta na haina uhakika wa matokeo mazuri. Maneno ni mengi ila yote msingi wake ni kujifariji wakijiaminisha Yanga sasa basi na kwamba imeshuka kitu ambacho sio kweli. Wakati wao wako busy...
  17. T

    Angalizo: Yanga kumtimua Gamondi wategemee ya Benchika kutokea

    Iwapo Young Africa Wana wazo la kumfuta Kazi kocha Wao GAMONDI basi na Wategemee kocha ajae ataja sema Yale Yale ya BENCHIKA kuwa wachezaji hawafundishiki!
  18. Mbona Wachambuzi wa Soka la Tanzania katika Redio na Runinga sasa hawatuambii tena Timu bora kati ya Simba na Yanga ni ipi?

    Na walivyokuwa Wendawazimu na Watu wa kupewa Fedha na MSG watasema bado aliyefungwa Mechi Mbili katika Ligi Kuu ya NBC ndiyo Timu bora huku yule ambaye Kafungwa Mechi moja tu na sasa ndiyo anaongoza Ligi na huenda akaongoza hadi Ubingwa siyo Timu bora. GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely...
  19. Yanga agalieni uwezekano wa kumrudisha Youssef Ammar, na kusajiri mshambuliaji mmoja mzuri kijana jahazi linazama

    Mimi siyo mtaalamu wa soka wala siyo daktari wa michezo. Hapa nitaweka mtazamo wangu kwa hisia tu hivyo mkiona nipo sahihi fuateni, mkiona sina hoja puuzeni tu. Nikiangalia muenendo wa viwango vya wachezaji kiafya na viwango vyao wanaporudi toka majeruhi na kurudia kupata majeraha na utimamu wa...
  20. Issue ya Gamondi na Yanga ipo hivi

    Wengi wanajiuliza kuporomoka ghafla kwa uwezo wa Yanga msimu huu kumetokana na nini. Kuna mvutano mmoja umekuwa unaendelea kati ya Gamondi na uongozi wa Yanga. Ni kwamba, Yanga imekuwa inamlazimisha Gamondi kuzipa mbinu na maelekezo timu pinzani zinazocheza na Simba na Gamondi amekuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…