yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Yanga kulamba Milioni 500 wakiifunga TP Mazembe

    Wakati benchi la ufundi likijipanga kupata Ushindi, VIGOGO na matajiri wa klabu ya Yanga nao hawalali wakiendelea na mipango ya nje na sasa wachezaji wa timu hiyo wamewekewa mzigo wa Sh 500milioni mezani kama njia ya kuongeza mzuka wa kupata ushindi mbele ya Mazembe. Matajiri na vigogo hao...
  2. S

    Haji Manara Yuko Wasafi FM, Ally Kamwe kaenda Crown FM kwa hasimu wa Haji Jemedari Said, Yanga is very unprofessional

    Cjui wanayanga mumsikilize nani, Manara Yuko Wasafi badala ya kuhamasisha watu waende uwanjani kesho yeye anatamba Simba haitofunga Yanga hadi mwaka 2030, huyu mwenzake naye kavalia bukta na mjezi wa Yanga akiwa na wapambe wake wameingilia Crown FM ambayo Manara hawezi kwenda kwa sababu Yuko...
  3. Tuwakumbushe Yanga, mwaka huu tumekataza kujieleza sana

    Nimeshaona dalili hawa Yanga mwaka huu watakuwa na tantalila nyingi. Embu ona mifano michache ya timu kubwa na hata zile ndogo zilivyosherehekea mwaka mpya. Wenzetu wakaamua kutuangushia gazeti la kurasa mbili. Halafu wanasema 2024 wamecheza mara mbili hatua ya makundi. Huu ni udanganyifu...
  4. Yanga ni timu ya kuogopwa, Benard Morrison yupo Ken Gold, Djuma Shaban atupiwa virago Namungo FC

    Katoka AS vita katua Jangwani akiwa na uwezo mkubwa sana ndani ya miaka mitatu hata Namungo hawataki kumuongezea mkataba, wanemtupia virago, wanadai uwezo wake ndogo ,huyo ni Djuma Shaban, hana timu ya kucheza kwa sasa. Kwingineko Benard Morisson ametua KenGold timu inayoekekea kushuka daraja...
  5. M

    Ligi yetu ingekuwa ni ya haki kuna muda Simba na Yanga zisingeongoza ligi

    Nikifuatilia ligi kuu ya Uingereza naona matimu makubwa kama Man utd, Chelsea, Man City , Arsenal nk yanavyoteseka bila kujali ukubwa wao kwa wingi wa Mashabiki na Fedha . NImegundua wenzetu wa Ulaya HAKUNA MAELEKEZO KWA MAREFA KUWA MECHI HII LAZIMA FULANI ASHINDE WENZETU WAMENYOOKA SANA...
  6. Yanga imefilisika, hivi sasa inatumia wachezaji wake kukusanya pesa kulipa madeni

    Wote tunajua Yanga Afrika iko hali mbaya sana kifedha. Imefukuzwa Azam Complex kwa malimbikizo ya madeni. Huko FIFA na TFF imefungiwa kufanya usajili kwa sababu ya madeni sugu. Sasa hivi wachezaji wameambiwa nao wachangie kwenye kibubu cha klabu ili kuokoa jahazi. Juzi ilikuwa zamu ya...
  7. Yanga bado inavuja mnooo!

    Umafia waungwana! Binafsi napata mashaka na wapinzani wa Yanga kama vile Fountain Gate, Dodoma n.k Timu inacheza huoni kama inataka matokeo na kuna wakati wanajipigia pass fupi fupi karibu na lango Lao ambapo inakuwa rahisi kwa Yanga kuchukuwa mpira na kufunga. Yanga bado inavuja sana game...
  8. M

    Yanga hawabebwi, wana timu nzuri na ya ushindani ndani ya uwanja na wana mikakati ya maana sana nje ya uwanja

    Mpira ni mchezo wa wazi, jamaa wanavyocheza na aina ya wachezaji wao kusema kuwa wanabebwa sio ukweli Iła ni propaganda zinazoletwa na watu wetu ndani ya Simba kutuandaa kisaikolojia, hii vita ya ubingwa kwa watu wangu navowajua, nyie subirini mzunguko wa pili ławama zitakuwa kibao. Kunambia...
  9. Goli tano za Yanga zimeenda na Watu : Klabu ya Fountain Gate yalivunja benchi lake la ufundi

    Dunia haina huruma aisee! Poleni sana! Uongozi wa timu yetu ya Fountain Gate Football Club umeamua kulivunja benchi lote la ufundi lililokuwa likiongozwa na kocha wetu mkuu Mohamed Muya. Soma Pia: Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024...
  10. Machache yaliyoonekana Yanga ikiibuka na ushindi mnono dhidi ya Fountain Gate

    1. Yanga imecheza vizuri mno, hii ni salamu tosha kuelekea mechi yao na Tp mazembe. 2. Nadhani fountain gate ndio timu yenye safu mbovu kabisa ya ulinzi, wamechagua kupishana na Yanga wakaadhibiwa. 3. Pacome zouzou amestahili tuzo ya mchezaji bora wa mchezo, ule uwezo wake uliopotea mechi...
  11. M

    Wachezaji hawa wa Singida Black Stars wanaweza kuanza kikosi cha Simba Yanga au Azam bila wasiwasi wowote ule

    Wa kwanza ni beki Trab, kuna Maroun Tchakei, Ibrahim Likeyeke, Arthur, Elvas Rupia na Damaro. Hawa jamaa wamekamilika sanaaaaa.
  12. Jioni ya leo tunakwenda kushuhudia yanga akicheza na tawi lake tusubirie mchezo mbovu na upangaji mbaya wa kikosi mechi isiyo na upinzani!

    Fouintain gate ni singida big stars ya mwigulu nchemba doto ya singida black stars hili nalo ni tawi jingine la yanga wala hawezi pata upinzani ni maelekezo na simu moja kutoka kwa mwenye timu hivyo ni yanga kijizolea point na kocha kupanga kikosi cha wachezaji wa akiba tutegemee magoli ya...
  13. Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024

    🔰 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 Day🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SC🆚Fountain Gate 📆 29.12.2024 🏟 KMC Complex 🕖 10:00 Jioni #Daimambelenyumamwiko# Gusa achia, twende kwao, tukawafunge nyingi. KIKOSI CHETU CHA LEO Updates Mechi imeanza DK 1 Mpira unaanza kwa kasi. Yanga wanaumiliki mpira, 0-0 DK 12 Game...
  14. FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

    Mtanange mkali Leo. Kinyanganyiro: Ligi Kuu Tanzania Bara - NBC Mwenyeji: Singida Black Stars ya Singida Vs Mgeni : Simba SC ya Dar es salaam Uwanja: CCM Liti Singida. Muda : Saa 10Jioni. Tukutane saa 10 Jioni kwa Maelezo ya mchezo huu. VIKOSI VYA LEO. Updates... 00' Mpira umeanza...
  15. Leo jioni CCM Liti tunakwenda kushuhudia game bora ya msimu kati ya Simba na Yanga B

    Simba itashinda lakini si kwa urahisi yanga B wamepewa maagizo wameahidiwa fedha gizani na mfadhili wao Gsm wana maagizo kutoka kwa waziri wa fedha na mjumbe wa baraza la wadhamini yanga A Simba ipo kwenye wakati mgumu wachezaji wawe makini wanakwenda kuhujumiwa kwa kutiwa majeraha ili...
  16. Nimeacha Rasmi Kutazama Mechi za Yanga NBC PL

    Happy Holiday! Natumaini mnaendelea vizuri wana-Jamiiforums. Msukumo wa kuandika andiko hili umetokana kuangalia mechi tatu, pale ambapo Yanga amekutana na Mashujaa, Tanzania Prisons na hii mechi yake ya mwisho dhidi ya Dodoma Jiji. Nimekua shabiki kindaki ndaki wa mpira wa Tanzania...
  17. Hii Yanga ya sasa ikikutana na Real Madrid, Barcelona, Liverpool isipozifunga hizo team nipigwe ban milele

    Hii Yanga unaifungaje? Dube gari limewaka moto. Majini yote yametoka baada ya kuombewa na wachezaji wengine wamemwelewa kocha. Aziz Ki mnamwona? Hatari sana Chama je? Ikitokea Yanga hii inacheza na Real Madrid au Liverpool au Barca. Isiposhinda Yanga nipigwe ban. Sifai kabisa kuwemo humu. Hizo...
  18. Yanga tukatae hawa waamuzi wenye nia ya kutuchafua Kuna kitu wanatengeneza

    Lilianza goal la mkono jamaa alipiga ngumi kabisa. Mwamuzi akatupa lile goal. Jana ile haikuwa penalty kabisa. Kabisa haikuwa penalty tuseme tu ukweli bila ushabiki. Mwamuzi akatupa penalty. Lengo ilikuwa jana tushinde bao 5. Tunapambana kuwafikia mikia. Lakini tucheze na kushinda kwa halali.
  19. Haji Manara ni nani hapa Tanzania hadi kuwadhalilisha Askari Magereza na wafungwa bila kuchukuliwa hatua?

    Huyu haji manara mdomo wake ni mchafu anajikuta ana mamlaka ya kumtusi na kumdhalilisha yeyote kama kesi ilikuwa na magereza wafungwa wamefuata nini anasahau naye kesho anaweza kuwa mfungwa. Na hao kituo cha sheria za haki za binadamu hatusikii wakikemea kitu wafungwa wapo kutumikia makosa yao...
  20. M

    Yanga inarudi kwa kasi ya Kimondo: Hivi punde zile kelele za GSM anaharibu Ligi zitarudi, wanautwanga si mchezo!

    Naona kabisa kuna watu matumbo yashaanza kuuma kwa maumivu, hawawezi kusema lakini wana hofu kubwa mioyoni mwao juu ya Yanga hii inayorudi kwa kasi ya kimondo! Yanga wanautwanga, wanakasi, wanagusa, wanaachia, wanakuja kwako. Ni mabadiliko makubwa ambayo kocha Ramovich ameanza kuyaonyesha. Timu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…