Katika kufuatilia safari ya Yanga ya siku ya leo kuelekea Tunisia kwa mchezo wa marudiano, msafara huo unahusisha watu 41 huku wachezaji wakiwa 22 na waliobaki ni 'wengine'. Nimekumbuka timu zetu za Olympic ambapo viongozi huwa ni wengi kuliko wachezaji.
Sijaelewa watu 19 ni kina nani ila...