yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. C

    Fadlu davis ameanza na ushindi na yanga

    Kocha mpya wa Yanga, Fadlu Davids, ameanza maisha yake ndani ya kikosi hicho kwa ushindi baada ya timu hiyo kuichapa KVZ mabao 3-1 katika mchezo wa kirafiki wa kujipima nguvu. Katika mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja wa Maisala, Unguja, leo Jumamosi Novemba 14, 2026, Yanga ililazimika kutoka...
  2. C

    Kiungo wa Yanga Maxi Nzengeli amepata majeraha yanayomuweka nje ya uwanja wiki sita

    Klabu ya Yanga SC imepata pigo baada ya kiungo wake muhimu, Maxi Nzengeli, kupata jeraha la goti litakalomweka nje ya uwanja kwa takribani wiki sita. Meneja wa Habari wa klabu hiyo, Ally Kamwe, amethibitisha taarifa hizo, akibainisha kuwa nyota huyo alipata maumivu hayo kwenye mchezo wa mwisho...
  3. Eng. Hersi Said Ameipasua Yanga Katikati: Je, Mafanikio ya Pesa Yanatosha Kuficha Makosa ya Kiuongozi?

    Nianze kwa kukiri wazi: mimi sijawahi kuongoza timu yoyote ya mpira wa miguu. Lakini nimekuwa mfuatiliaji wa karibu sana wa klabu ya Yanga na maamuzi yanayofanywa na viongozi wake kwa muda mrefu sasa. Sote tunajua kuwa maamuzi na matendo ya kiongozi ndio kioo cha uwezo wake wa kufikiri na picha...
  4. Tetesi: Fadlu Davids ndiye kocha wa Yanga baada ya dili la Saed Ramovic kufeli

    Fadlu Davids ndiye kocha wa yanga baada ya dili la saed ramovic kufeli uongozi wa yanga umefanikiwa kumpata kocha fadlu Davids Ikumbukwe fadlu Davids alitakiea ajiunge na yanga mwanzoni mwa msimu huu lakini Kuna baadhi ya vipengere walishindwana na yanga wakaangukia kwa manqoba manqith lakini...
  5. Hilda huyu jamani! Hata Mnyika na Nshala hawana map^mbu? Ukimya wa Heche ni sawa na "silence means YES"

    Ukimzoea sana mbwa atakufuata hata msikitini ukisujudu. Uongozi wa sasa wa chadema waliwaamini, kuwaheshimu na kuwategemea sana wanaharakati akina mange, sarungi na hilda. Hata hivyo sasa hivi mbwa wameingia nae kwenye mimbari; hawana mapumbu wote kasoro Heche na lissu. Yaani hata Katibu wa...
  6. Simba kuifunga Yanga mara moja tu kusitumike kumfukuza Mangungu. Serikali inusurini Simba.

    Eti baada ya Simba kuifunga Yanga ndio mumfunge mikono, miguu na mdomo mangungu asiseme wala kuiongoza Simba kama mwenyekiti kwa mujibu wa Katiba ya Simba sports club. Kuna haja ya kuchunguza na kumulika kwanini familia ya Dewji inaitaka Simba kwa hali na mali (do or die) hata ikibidi kumuua...
  7. Huyu Kilaza kutwa kuiponda Yanga , tulishamdharau hana deal kwa sasa

  8. C

    Kama ambavyo yanga wanaitumia serikali kufanikisha mambo yao,vivyo hivyo wanaitumia serikali kuibomoa Simba

    Mangungu ana watu wazito nyuma yake na agenda yao kubwa ni kuimilikisha Simba kwa familia ya gsm. Hawajali Mo akiondoka ,wala Simba ikiyumba.Agenda yao hii wanaipigania kupitia kwa mangungo na baadhi ya watu wajinga wanaotaka kumrudisha manara. Siasa zinaharibu sana mpira wetu,maana kuna watu...
  9. Nafikiri Mangungu yupo kwenye payroll ya Yanga kutuvuruga Simba Sc

    Kila wakati Simba inapoaanza safari ya mafanikio anaanza chokochoko. Kwani hana kazi zingine za kufanya za kumuingizia kipato zaidi ya kuwa Simba SC? Hizi ndio changamoto za kuwapa nafasi kubwa waswahili wasio na vision yeyote kwenye maisha. Ifike wakati mashabiki tupige mstari huyu mzee...
  10. Yanga mfanyeni Aziz Ki awe kocha

    Ukocha ndiyo nadhani Aziz Ki anaupenda kuliko kuwa mchezaji wa Yanga. Matukio mengi ya Aziz ndani na nje ya uwanja yanaonesha anapenda zaidi kuelekeza wachezaji wenzake kuliko kucheza. Nasikia yeye na Manqoba walikuwa hawaivi kisa kufanya kazi ya ukocha badala ya uchezaji.
  11. Simba kukutana na Orlando Pirates, Yanga kukutana na Waarabu

    Wazee Yanga ana kibalua
  12. G

    Ukiondoa Azam fc, Yanga, Simba na Singida zinabebwa na ufisadi/mafisadi

    Siku nchi ikirudi mikononi mwa wananchi, mpira wa Tanzania ambao umekua haraka kama uyoga, hakika utaporomoka. Wenye akili kubwa tu ndio watanielewa
  13. M

    Yanga wamtimua kocha Mangqoba.

  14. Yanga wamfurusha Kocha Manqoba na kocha wa Viungo

    Klabu ya Yanga imeamua kuvunja mkataba na kocha wake mkuu, Manqoba Mngqithi, kufuatia kukosekana kwa mwendelezo wa matokeo mazuri ya timu hiyo. Aidha, Yanga imevunja pia mkataba na kocha wake wa viungo, Chyna Mokaila. Kupitia taarifa yake, klabu hiyo imesema mchakato wa kumpata kocha mpya...
  15. Yanga na Manqoba imeisha hiyooo

    TAARIFA KWA UMMA OKTOBA 24, 2026 Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutaarifu umma kuwa umefikia uamuzi wa kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa timu ya kwanza, Mangoba Mngqithi. Vile vile, Uongozi wa Young Africans Sports Club umesitisha mkataba na Kocha wa Viungo wa timu ya kwanza...
  16. Hersi acha ubishi, Yanga haina kocha pia umefanya usajili wa ovyo

    Huyu jamaa sio kocha, mara 100 mumtafute hata Mwambusi au Boniface Mkwasa kuliko huyu bwege. Hizo ni laana za Gamondi kwako Hersi Said kwa kumkosea heshima. Timu ikiendelea hivi makombe yote tunapoteza kmmk.
  17. Wanateka, wanaua, wanachangia ujenzi wa kanisa, misa viti vya mbele,changia yatima, changia Simba na Yanga, kesho wanateka tena, wanaua tena

    Teka, ua, hubiri amani Teka, ua, changia ujenzi wa kanisa Teka, ua, jichomeke kwenye mipira Teka, ua, changia yatima Teka, ua, hakikisha media hazireport, teka, ua tena Jiteteeni mababu zenu hawakuipigania hii ardhi ili leo hatma ya uhai wenu uamuliwe na watu kadhaa
  18. Yanga bora tumchukue Mzee wa Jambia awe msemaji. Hiki kituko kinachosha, hakina Mvuto

    Ukikitazama ki Ally Komwe hakina Haiba kabisa ya kuwa msemaji. Atafutwe Msemaji heavy duty ambaye akizungumza watu watamsimkiliza. Hiki kidogo watu wamekuwa wakikidharau na kusema maneno mengi. Kinajaribu kuiga usemaji wa Kidwanzi wa yule msemaji bogus wa Simba kinapwaya. Kinashindwa kuwa...
  19. Yanga tuchukue hili la Simba nasi tuwaige. Nimependa wanachofanya hapa.

    Sisi hatuna wachezaji wetu Legends? Tuwakusanye nasi tufanye kama Mikia wanavyofanya. Inapendeza sana.
  20. Live From Sumbawanga: Kilele Wiki ya Vijana, Kuzimwa Mwenge na Nyerere Day, Sumbawanga Kuchele!, Ila Rangi ni Yanga!, As If ni Tukio la Chama Flani!

    Wanabodi, Mimi mwana Bodi mwenzenu niko hapa mjini Sumbawanga kwenye kilele cha Wiki ya Vijana, Kuzimwa kwa Mwenge wa Uhuru na Sikukuu ya Mapumziko ya Nyerere Day. https://www.youtube.com/live/7Skt4UMDoVs?si=WEikF_1rmCQaZX2k Karibuni Tufuatilie, Mzee Pasco Rejea; Hili la Vijana wa Chama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…