yanga sc

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. Full Time: JKU 0 - 1 Yanga SC | Fainali Kombe la Muungano | Mei 1, 2025 | Yanga Bingwa

    JKU VS Yanga SC | Fainali Kombe la Muungano | Mei 1, 2025 Mchezo unaendelea Goooooooooooooo! Max Mpia anawapatia goli la kwanza Yanga Yanga anakuwa bingwa wa kombe la Muungano 2025 Go
  2. N

    Yanga yadondokea pua CAS, dabi ipo palepale

    Klabu ya Yanga ya Dar es Salaam imeshindwa kwenye kesi yake ya awali iliyoifungua kwenye Mahakama ya Usuluhishi Michezoni (CAS). Yanga SC katika kesi ya msingi ikiyoifungua dhidi ya TFF, Bodi ya Ligi na Simba SC imeomba kupewa alama 3 na mabao 3, lakini ikaiomba CAS pia izuie tarehe ya 'DABİ'...
  3. Full Time: Zimamoto FC 1 - 1 Yanga SC (Pen:1-3) | Nusu fainali kombe la Muungano | Aprili 29, 2025

    Zimamoto FC 0 - 1 Yanga SC | Nusu fainali kombe la Muungano | Aprili 29, 2025 #MuunganoCup2025: Wananchi wametinga fainali kwa mikwaju ya penati 3-1 FT’: Zimamoto 1-1 Yanga SC (Pen:1-3)
  4. R

    Kinachowauma Yanga ni Kombe la shirikisho kufutwa huku Simba ikienda kuhitimisha kwa kuipa nchi Kombe kwa mara ya kwanza, Medali zitakuwa takataka

    Kombe la shirikisho limefutwa rasmi. https://www.jamiiforums.com/threads/caf-kuyafuta-mashindano-ya-kombe-ya-shirikisho.2309878/ Simba ina chance ya kulihitimisha kombe hili kwa kuiheshimisha nchi kwa kushinda na kuwa timu ya kwanza nchini kuleta kombe la kimataifa la CAF. Yanga waliwahi...
  5. Tusilinganishe CAFCC Ile Yanga alochukua medali na hii ya Simba

    Naona baadhi ya wachambuzi na mashabiki wa Simba wasio na ufahamu wa masuala ya Soka wanalinganisha kufuzu Kwa Simba Leo kuwa amefika record ya Yanga Tukumbuke mashindano ya CAFCC ambayo alishiriki zilikuwemo nchi ambayo ni mabingwa wa mataifa Yao kama Yanga, Rivers united, Club Africain n.k...
  6. Hawa wafukuzwe Yanga SC haraka sana

    Mwamnyeto huyu uwezo wake umeshuka sana, limekuwa beki la hovyo mnoo..hili pazia likicheza watu wanafinya mbupu mwanzo mwisho..Lifukuzwe Ikangalombo Wakati mwingine sio lazima timu iwe nawachezaji wote 12 wakigeni , niheri kutosajili kabisa ikiwa hakuna mchezaji wa maana sokoni ..hili jamaa...
  7. Full Time: KVZ FC 0 - 2 Yanga SC | Robo Fainali ya Kombe la Muungano | Aprili 26, 2025

    KVZ FC 0 - 0 Yanga SC | Robo Fainali ya Kombe la Muungano | Aprili 26, 2025
  8. Hersi uwanja uliotuahidi kutujengea wakati wa kampeni, umefikia asilimia ngapi?

    Nasikia uko mbioni kukamilika wote, hivyo GENTAMYCINE kama mwana Yanga SC lia lia naomba kujua ulikofikia kwa sasa.
  9. M

    Timu zote ligi kuu ziwafukuze wachezaji na makocha maana zote zimetandikwa ipasavyo na Yanga kwa nini kipa Noble alaumiwe?

    Mimi nashangaa sana kuona wajinga wajinga wasiotaka kukubali uwezo wa Yanga kiubora, kiufundi, na kiftness! Leo hii mtu anakurupuka uko ameshiba makande yake anasema kipa wa fountain kauza mechi kawapa yanga magoli wakati fountain gate hao hao ndio timu iliyoruhusu magoli mengi kuliko timu...
  10. Yanga haikuwahi kushiriki Kombe la shirikisho?

    Naona kejeli zimekuwa nyingi. Hivi Yanga haijawahi kushiriki mashindano ya Kombe la shirikisho CAF? Tena Yanga si ilishiriki shirikisho kama Luza (looser) toka mashindano ya Klabu Bingwa ilikoshindwa kufuzu kwenda hatua ya Makundi Klabu Bingwa?
  11. Rasmi Yanga imefuzu kushiriki tena mashindano ya wakubwa CAFCL 2025/2026

    "Sijaskia Wachambuzi na Waandishi wakiliongelea hili lakini Young Africans SC mpaka sasa imeshakata tiketi ya kushiriki Mashindano ya Klabu bingwa Afrika msimu ujao na ndio malengo na shauku ya kila mwanayanga ilipo, sisi Yanga hatuwezi kujiliza kwenye Kombe la Shirikisho ni Kombe ambalo...
  12. Tuitazame Yanga ya msimu ujao, watu watakimbia mno

    Yanga anaenda kutimizaa malengo yake yote ikiwa ni pamoja na kutwa ubingwa wa 1. NBC PL 2. CRDB confederation cup 3. Yanga ashatwaa ngao ya jamii akimpiga mtani Simba goli 2 Nusu final, huku akimtwanga Azam Goli 4 Wachezaji wanaotoka 1 Kennedy Musonda 2 Aziz ki 3 Clement Mzize 4 Aboubukar...
  13. Yanga SC 8-1 Stand United FC | CRDB Bank Federation Cup | KMC Stadium | 15.04.2025

    Wakuu! Majira ya saa 10kamili jioni ya leo, Mabingwa watetezi wa kombe la CRDB FEDERATION CUP,YOUNG AFRICAN SC Leo watashuka katika dimba la KMC kuwakaribisha STAND UNITED ya mkoani shinyanga katika hatua ya mtoano ya robo fainali. Ni matokeo ya aina moja tu ndiyo yanahitajika katika mchezo...
  14. Tushangilie kumfunga Mwarabu ila tujue tu kuwa Yanga SC kwa 99% Bingwa tena Ligi Kuu

    Tupambane tu huko CAFCC na CRDB FA, ila huku katika Ligi Kuu imeshaisha hiyo sawa? Sina uwezo wa Kumfunga Yanga SC kwa sasa sana sana nikijitahidi mno Sare / Suluhu nae. Ni bora / kheri upewe Dawa iliyo Chungu ili Upone kuliko Dawa Tamu ambayo haitakuponyesha.
  15. Simba wanaweza kucheza ligi ya Egypt na kutoa upinzani, Azam FC wahamie ligi ya Zanzibar

    Simba wakisema wahamie ligi ya Egypt hawawezi kukosa tano bora.mpira wa Simba na timu za Egypt unarandana sana. Azam natamani wahamie ligi ya Zanzibar. Huku bara ibaki Yanga na nduguze
  16. Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said mbona humsaidii Haji Manara na linalomkumba sasa wakati Yeye alikusaidia katika Suala la Kutocheza na Simba SC?

    Hebu nawe msaidie Rafiki yako wa wasiwasi kwani ANAUMBUKA tu sasa Mitandaoni japo huwa Unamtumia kama Condom. hasa katika Kukufanikishia mambo yako ya Yanga SC na akishayatimiza kwa 100% na Wewe kuona Ufanisi wake huwa Unamtupa na hata Kumpiga Majungu na Rafiki yangu mwana Yanga SC lia lia...
  17. Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally: Yanga SC ilifuzu Fainali CAFCC kwa kupita katika Migongo ya Maiti ila Simba SC imefuzu kwa Kucheza na Wanaume wa Kweli

    "Ukitaka kujua kuwa Yanga SC ilifika Fainali ya CAFCC kwa kupita katika Migongo ya Maiti kazitafute zile Timu zote alizocheza nazo kisha njoo uniambie kama hata kwa sasa zinafanya vizuri katika Ligi Kuu za Kwao au hata zimeweza tena kuwepo CAFCC kwa Msimu huu. Simba SC tuna haki ya Kujivunia...
  18. Mzee Dalali nakuheshimu sana na acha kabisa kutaka Kuwadanganya wana Simba SC kuwa sijui Yanga SC wanatuhujumu ili tufungwe Keshokutwa na Al Masry

    “Kuna watu hawataki tuendelee hivyo wanawatumia baadhi ya watu wetu wa ndani. Wanasimba wote njoeni uwanjani, na jamaa pia njoeni muone, hata wakitaka wavae misuli njoeni kushangilia timu yetu. Lakini nawambia tarehe 9 mwarabu atatafuta sehemu ya kupitia.”- Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Hassan...
  19. Kocha Edna Lema ajumuisha kwenye bechi la ufundi la Yanga kubwa

    Edna Lema watu wa Mpira tulijua baada ya Kukufukuza mwaka jana sababu ilikuwa ni nini ila umemkubali nae anakujali.
  20. Simba SC, Sisi Yanga tulifika fainali , Nadhani nyie habari yenu imeishia Misri, what a shame

    Mpira ni TECHNICO kama kwenye Vita. SSC ameingia uwanjani with bad technic , kitendo cha kufunguka pale MISRI na kujizolea possession ya 59% ….. ni failure ya technique na kumdharau adui. Hakuna timu iliyofungwà zaidi ya goli moja except SSC. Ni kama kocha hana expérience na Hii michuano. Ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…