yanga sc

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. FT | Al Ahly 2-0 Yanga SC | CAF Champions League | Borg El Arab Stadium | Jan 23, 2026

    AL Ahly vs Yanga Leo Saa moja usiku kwa saa za Afrika Mashariki Afrika itasimama yote kupisha mtanange mkubwa zaidi kati ya Al Ahly SC na Yanga SC Kaa nami katika Uzi huu kwa update zaidi Kikosi kazi dhidi ya Al Ahly #cafcl #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko Mpira umeanza Dakika ya 14...
  2. FT | Azam FC 0-0 Yanga SC (Pen 4-5) | Mapinduzi Cup | Gombani Stadium | Fainali | 13.01.2026

    Fainali ya Michuano ya NMB Mapinduzi Cup 2026, kupigwa katika Uwanja Mpya wa Gombani Kisiwani Pemba, Mechi kali kati ya Azam FC dhidi ya Yanga SC Kikosi kazi dhidi ya Azam FC #MapinduziCup2026Final Mpira umeanza Dakika ya 10 Yanga SC wanafanya mashambulizi Dakika ya 15 Dube anakosa nafasi...
  3. Yanga imenipa jibu kua hali ya Mtanzania ni mbaya kiuchumi

    Wasaalam Juzi siku ya mechi ya Yanga nikiwa mitaa ya mandela road kuelekea ubungo nilikutana na makund ya vijana yakitembea kwa mguu kutoka taifa had ubungo mbele mbele vifua waz jasho la kutosha Nikawahoji mnatoka wap wakajibu taifa Kwanini msipande daladala wakati ni buku tu wakasema broo...
  4. WAFUATAO WAFUKUZWE YANGA SC HARAKA SANA

    Edmund john - anacheza kama kondoo Offen Chikola - sio level ya yanga Aziz adambwile - vivu,zembe , chawi Prince Dube- huyu apigwe kabla yakufukuzwa Mo doumbia _ mchezaji mvivu na mjinga Kocha mabedi - Hana uwezo wakuifundisha yanga Mwamnyeto - mchawi
  5. FT: Yanga SC 2 - 0 Silver Strikers | CAFCL | Second Preliminary Round | Second Leg | Mkapa Stadium | 25/10/2025

    Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya CAFCL, Yanga SC jioni ya leo wataingia uwanjani kurudiana na timu ya Silver Strikers kutoka Malawi Katika mechi ya kwanza iliyofanyika jijini Lilongwe nchini Malawi, Silver Strikers waliibuka na ushindi wa goli moja kwa bila Je Yanga leo watapindua...
  6. Jumamosi Yanga SC 2-1 atashinda

    Wapenzi wa Yanga SC huzuni sasa basi, utabiri wangu nawapa nyinyi hapo jumamosi. Gemu itisha kwa mwenyeji kuibuka na ushindi wa goli mbili kwa moja.
  7. Mashabiki Yanga SC waomba waletewe wali na maji siku ya mechi ya bure

    Tunawaomba viongozi wetu wa Yanga siku ya mechi yetu ya marudiano na Silver tupate chakula pilau, soda na maji wakati mechi inaendelea tunakula, na baada mechi kuisha tupate tena tukiwa tunasherekea ushindi wetu Amesema GodYanga
  8. Ali Kamwe: Kiingilio bure isipokuwa VIP A na VIP B

    “Tumekubaliana kuwa mechi hii imeondolewa viingilio majukwaa yote isipokuwa jukwaa la VIP A na VIP B yamekuwa Reserved kwa waalikwa maalum ambao ni Wageni wetu pamoja na wanachama wa Yanga wa Black Card. Ombi hili la kuweka mechi hii isiwe na viingilio lilikuwa Gumu sana kukubaliwa kwakuwa...
  9. FT: Silver Strikers 1-0 Yanga SC | CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Bingu National Stadium| 18.10.2025 | Saa 10:00 Jioni

    Silver Strikers vs Yanga SC Saa 10:00 jioni Leo ni siku nyingine ya Wananchi kufurahi #CAFCL Soma Pia>> Rasmi ndoa ya yanga na Folz yafikia ukomo
  10. Moloko aliyekuwa nyota na akiimbwa Yanga SC leo Kapigika hivi Kimaisha hadi analia ili tu aonane na Mayele na amtoe kwa chochote kitu?

    Ushauri wangu jamani Mwenyezi Mungu anapotupa nafasi ya Kuzikamata basi tuwe na Nidhamu ya Kuzitumia lakini Kubwa tujikite mno katika Kuwekeza ili tusije Kuumbuka baadae / mbeleni kama aliyewahi kuwa Mchezaji nyota / mahiri wa Yanga SC Jesus Kololo. Ila Moloko nawe leo ngoja Nikuchane kwani...
  11. FT: Yanga SC 2-0 Wiliete | CAFCL | Second Preliminary Round | Second Leg | Mkapa Stadium | 27/09/2025

    Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya CAFCL, Young Africans (Yanga) jioni ya leo wanaingia uwanjani kukipiga na Timu ya Wiliete kutoka Angola katika mechi ya marudiano. Katika mechi ya kwanza iliyofanyika Angola, Yanga walitoka na ushindi wa goli 3-0 dhidi ya wawakilishi hao wa Angola Je...
  12. Kinachofanyika kwenye soka la Tanzania ni sawa na kusema,Yanga anawezeshwa kumshinda Simba kama wanamke anavyowezeshwa kwenye mambo mbalimbali

    Hapo vip!! Mpira ni mchezo wa wazi na uzuri watu wengi sasa hivi wanajua mpira hauwezi kuwadananya. Jana kila mtu ameona yanga akipewa goli la offside tena bila aibu na Arajiga. Nafikiri pia ilikuwa nimpango mkakati wa kusihukuru yanga kwa kuchangia chama na kwa upande mwingine ilikuwa ni...
  13. Yaani Michezaji yetu haina Viwango tunafungwa tunataka Mangungu aondoke hivi wana Simba SC wenzangu tuna Akili sawa sawa kweli?

    Kwahiyo Mangungu ndiyo aliwaambia akina Kibu Denis na Nuksi Shomary Kapombe wakose yale Magoli ya wazi na ndiyo pia aliwaambia Mabeki wawe Wazembe katika Kukaba kiumakini hadi Pacome akatufunga? Yanga inacheza Kitimu Simba kizembe.
  14. Simba, Yanga waanza safari kuelekea Angola na Botswana kwa michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika

    Baada ya kumalizana na mchezo wa Ngao ya Jamii, vikosi vya Simba na Yanga, vimeanza safari kuelekea kwenye michezo yao ya Kimataifa katika nchi tofauti. Kikosi cha Yanga kimeondoka alfajiri ya leo Jumatano Septemba 17, 2025 Dar es Salaam kuelekea Angola kwa ajili ya mchezo wa Raundi ya Kwanza...
  15. SI KWELI Simba imetoa taarifa kwa umma kuomba radhi mashabiki wake kushindwa kuvumilia utani wa Yanga SC

  16. B

    Kuna haja ya hivi vilabu Simba na Yanga kubadili mentality zao kiuendeshaji

    Niliangalia matamasha ya Simba day na Yanga day ya mwaka huu nikaendelea kushuhudia kitu ambacho nilidhani hakikupaswa kufanyika kutokana na ukubwa wa vilabu hivi kwa sasa na umaarufu wa matamasha haya kwa sasa barani afrika na duniani kwa ujumla. Msanii kiongozi kwenye tamasha la simba day...
  17. Rais Samia: Nimekaa kwenye TV tangu saa 10 jioni nikifutilia sherehe za Yanga

    Rais Samia: Nimekaa kwenye tv tangu saa 10 jioni nikifutilia sherehe za Yanga. Niwatikie kila la kheri Yanga katika siku wenu hii.
  18. Full Time: Yanga SC 1-0 Bandari FC | Siku ya Wananchi 2025 | Mkapa Stadium

    Klabu ya Yanga inatarajia kukipiga dhidi ya Bandari FC kutokea nchini kenya katika uwanja wa Benjamin Mkapa leo Septemba 12, 2025 katika kuadhimisha siku yao ya Mwananchi. Yanga yauza tiketi zote (Full house) Uwanjani (Benjamini Mkapa) kukiwa kunameremeta kuelekea sikukuu ya wananchi...
  19. Nashukuru kwa Mo Dewji kumuondoa Msaliti Mkuu na Mtu aliyetuumiza sana Simba SC kwa Yanga SC Salim Abdallah 'Try Again' katika Bodi

    Sasa anaweza kwenda huko huko Yanga SC alikokuwa akilipwa kwa Kuisaliti Simba SC kwa Kutoa kila aina ya Siri tuumie.
  20. Haya wana Yanga SC mjibuni Mandala Simba kwa hii Hoja yake ninayoiunga mkono 100%

    Haya na Wewe mwana Yanga SC uliyeko hapa JamiiForums je, nawe pia ukiivaa hiyo Jezi yenu HAUPENDEZI MBELE NA BADALA YAKE NAWE PIA UNAPENDEZA NYUMA Kwako?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…