Kocha mkuu wa Yanga SC, Faldu Davis, ameanza kazi kibabe ndani ya timu hiyo baada ya kuiongoza kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Ushirika, Moshi.
Matokeo hayo yanaifanya Yanga kuendelea kushikilia nafasi ya pili...