wizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CHADEMA kuchangisha michango kununua gari jipya la Lissu ni wizi

    Kwa akili ya kawaida ili swala la kumchangia gari lissu ni wizi na ufisadi, kwa hali ya kawaida wanae mchangia ndiye anasema anataka kuondoa umasikini kwa watz ila bado anaomba msaada kwa masikini hao ambao wanamtegemea yeye kuja kuwatoa katika wimbi la umasikini hii imekaaje kaaje? Lissu acha...
  2. Wizi unaendelea kutawala serikalini?

    Wadau milioni 50 kwenye zimetafunwa na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba mkoani Kagera na serikali Ipo kimya. Ona kibanda hiki hata mil 4 hazifiki.
  3. Siri iliyojificha nyuma ya wizi wa 'unga' wa Exhaust za magari (Masega)

    'Unga' wa Exhaust za magari unatokana na madini ya palladium. Kwa jina Masega Palladium ni chuma adimu chenye thamani kubwa kwa sababu ya matumizi yake muhimu katika sekta mbalimbali, hususan kwenye magari na teknolojia nyingine. Thamani yake inatokana na katika utengenezaji wa vifaa vya...
  4. Wizi unaofanywa na makampuni ya kusafirisha watu kwa ajili ya kazi nje ya Tanzania

    Habari wana JF, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, sasa hivi kutokana na uhaba wa ajira ndani ya nchi yetu ya Tanzania, kuna makampuni ambayo yanatangaza yanatoa ajira nje ya nchi, hasa nchi za uarabuni. Makampuni hayo yameanzisha mchezo wa kutangaza kuwa kuna kazi fulani, lakini...
  5. P

    Hizi sheria za kuwa na kifurushi kinacho-expire ni za wizi

    Utaratibu uliowekwa na mitandao ya simu kuwa kifurushi kinaisha muda wake siyo rafiki. Hii inamlazimisha mtu kupiga simu au kuangalia vitu vingine ambavyo siyo vya lazima ili tu awe amemaliza dakika zake au MB. Kwa nini vifurushi visiendane na matumizi ya mtu. Vifurushi vyote vilitakiwa kuwa...
  6. M

    KERO Wezi wamezidi usiku Arusha. Wizi wa vifaa vya magari majumbani mwa watu UMEZIDI. Mamlaka chukueni hatua

    Kumekuwa na wizi unaendelea majumbani mwa watu nyakati za usiku wa manane hapa Arusha , wanaiba haswa side mirrows za Land Cruisers, Exels za Land Cruisers na vifaa vingine vya magari ya Watalii! Vifaa hivyo huuzwa kwa Wadau ambao huviuza tena kwa wahanga!! Vilio ni vingi mno! Sakina, Kwa...
  7. KERO Ushuru wa maegesho umegeuka kuwa wizi usiotumia mabavu wa serikali dhidi wananchi wake

    Tangu utaratibu wa ushuru wa maegesho uondolewe TARURA na kupelekwa katika halmashauri umegeuka kuwa wizi wa wazi wa serikali dhidi ya wananchi wake. Mawakala wa halmashauri wanaohusika na kukusanya ushuru huo kwa kuvitoza vyombo vya moto vilivyoegeshwa wanafanya hivyo kimyakimya bila kuacha...
  8. T

    ORYX Gas mnatujazia mchanganyiko wa Gas na Maji? Je, ni wizi au utapeli?

    Tumekuwa tunahimizwa kutumia Gas badala ya mkaa ili kulinda mazingira. Lakini nashindwa neno sahihi la kukiita sijui ni wizi au ni Utapeli Kwa kujaziwa sijui ni mchanganyiko wa Maji na gas katika mitungi ya gas. Nimenunua mtungi wa ORIX gas wiki iliyopita na kutumia lakini chakushangaza badala...
  9. Mbona kama tatizo la wateja katika benki kupata noti pungufu wanapotoa hela linaota mizizi?

    Salamu Wakuu, Nimegundua Suala la uaminifu bado ni changamoto kubwa sana hapa nchini Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko mengi ya watu kupatiwa fedha pungufu kila wakichukua hela kupitia kwa benki tellers Katika mjadala unaondelea huko X inaonesha kuna benki ambazo zinahusishwa na tabia hii...
  10. Ujamaa ni sababu mojawapo kubwa ya umasikini na uharibifu wa nchi nyingi za Afrika

    Wanahistoria, wachambuzi na watu wengine wengi mnaopenda kufuatilia maendeleo katika bara la Africa mnapaswa kutilia maanani madhara, hasara na legacy ya ujamaa katika kufifisha maendeleo ya nchi za Africa zilizofuatisha mfumo huo wa uchumi. Nchi nyingi za Africa wakati zinapata uhuru miaka ya...
  11. R

    Nape Moses Nnauye hakuna unachokifanya, mitandao ya simu inafanya wizi as if hawana regulatory aithority

    Tumelalamka wizi wa mitandao ya simu especialy kuhusu internt data. hakuna hatua wanayochukuliwa kurekebisha wizi huu. Unaweka data , muda mwingine bila kuitumia unakuta imeisha. Ukiwapigia simu customers care nobody responds. Nape unafanya nini ofisini?
  12. Tahadhari: Mbinu mpya wizi wa pesa vijana wanaosajili laini za simu

    Kama unasoma uzi huu basi u buheri, pole kwa wenye changamoto. Hawa vijana wanaosajili laini za simu mitaani wamekuja na mbinu mpya kukuibia pesa. Wanatumia app za kampuni husika, TIGO PESA APP AU MPESA APP n.k. Wanawahadaa wateja kuwaunga 5G wapate intaneti yenye kasi bure kama ofa...
  13. S

    Wizi

  14. B

    Mbunge Msukuma Kasheku alilia wizi wa fedha za Umma

    Kasheku amelilalamikia Bunge kwa nini haliwezi kutoa maamuzi ya kufanyiwa kazi. Anapendekeza bora hoja bungeni zisipelekwe kuliko kupoteza muda. Ktk clip inayosambazwa anatoa mifano kuwa kuna Mwizi ktk halimashari alipeleka jina lake kwa Waziri Bashingwa na hakuona mwitikio na hatua...
  15. Je, kuchukua pesa ya Serikali ni wizi?

    Wakuu nina swali je kuchukua pesa ya serikali ni Wizi na ni dhambi? Na je pesa za serikali zina mwenyewe?
  16. Mbinu watumiazo Mafundi Ujenzi kuibia mabosi zao

    Kwenye hii thread tutakuwa tuna share Mbinu za wizi za mafundi ujenzi ili kusaidia wale wanaotaka kujenga "wasipigwe ". Wengi tumepigwa sana hadi kuzijua hizi mbinu. Karibuni.
  17. TCRA mmeshindwa kufuatilia uhuni unaofanywa na Vodacom upande wa M-Pesa?

    Ni wiki ya pili sasa nimekuwa nikifuatilia hiki kitu kwa namba tofauti tofauti. Iko hivi: Sasa hivi ukiweka pesa kwa wakala yeyote yule, iwe unamtumia mtu, ama unaweka kwako hautumiwi sms kuonesha ya kwamba umewekewa kiasi fulani, wala kwa mpokeaji! Wakala anachoweza kukwambia ni kwamba...
  18. C

    Ni lini serikali itaingilia kati huu wizi wa mitandao ya simu kuunganisha watu kwenye huduma wasizohitaji?

    Ni Jambo linakwaza sana. Unanunua vocha kujiunga na kifurushi unachopenda mara unapata ujumbe kuwa Salio lako halitoshi. Unafuatilia unaambiwa umejiunga na huduma za kidijitali kama vile "afya call" ,"Tikisa ushinde" n.k. Huna taarifa na huduma hizo,hujui umejiungaje na wala hujui zinahusu...
  19. K

    Nimeibiwa vitu vyangu Uwanja wa Julias Kambarage Terminal 3

    Nimetumia huu uwanja Tar 28.03.2024 nikienda Qatar. Nafika Qatar mashine yangu ya Pressure na perfume havimo kwenye bag ambalo nili check in. Aibu sana kwa Kweli.
  20. Simu za mkopo ni wizi mtupu

    Ni wizi kama wizi mwingine tu Emerging simu ya 400k unakopa kila mwezi utoe 100k. Salio anzio ni 120k. Kwa mwaka 12 month x 100k 100000 x 12 = 1.200.000 Makato 12 months ni 1.2 milioni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…