wizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sababu Kanda ya Ziwa kuwa kinara wizi wa watoto

    Mnatia aibu kina Ngosa madhara ya kudharau elimu ndio haya mnatia aibu taifa letu. Najua itawagusa lakini huo ndio ukweli watani zangu Acheni ujinga huu mungu amewapa utajiri wa asili utumieni ila shule nayo ni muhimu sana Chanzo cha kichwa cha habari ni gazeti la mwananchi la leo
  2. B

    TANESCO hiki mnachofanya tuite wizi, ukwapuaji, unyang'anyi, au uhujumu uchumi

    TANESCO kwa nini mbona mnakwapua pesa za wanyonge bila huruma. Mwanzo wananchi walipiga kelele kuwa mmepandisha kodi ya jengo kutoka 15,000/= hadi 2,000/=lakini mlikuja kukanusha huku ukweli mkiujua. Sasa hivi kuna uhuni unaofanywa wakati wa kununua umeme kuliko hapo awali. Sasa hivi karibu...
  3. Benki yabariki wizi fedha za chuo cha Kanisa la Biblia Moshi

    Mgogoro wa madaraka Katika kanisa la Biblia Tanzania Kanda ya Kaskazini ,Sasa umefikia pabaya baada ya kundi linaloongozwa na Legius Nchimbi kuwasilisha nyaraka za kughushi za mabadiriko ya watia saini kwenye benki moja hapa Moshi na kuchota kiasi kikubwa cha fedha. Kundi hilo kwa kumtumia...
  4. R

    Kukomesha wizi wa kura wa NAPE, kwanini tusipige kura kwa utaratibu wa kujipanga nyuma ya mgombea

    Kila mgombea wafuasi wake wajipange nyuma yake. (means kuwe na mwakilishi wake kila kituo ambaye atasimama mbele wanaomuunga mkono mgombea wajipange nyuma yake. Hakuna wizi hapo. Kila mgombea anakuwa na box lake la kutumbukiza kura. Hivyo hakuna kura zitakazo toka nje. Kuhesabu tunahesabu wote...
  5. N

    Tanesco kuendelea kukata Tsh 2000 kwenye LUKU kama tozo ya serikali ni wizi wa pesa za Watanzania.

    Hivi karibuni Watanzania kupitia mitandao mbalimbali walionesha ghadhabu juu ya ongezeko la kodi kwenye LUKU kutoka Tsh 1500 mpaka 2000 pasipo kutoa notice kwa umma. Baadae TANESCO walitoa maelezo kwamba ongezeko hilo ni deni la nyuma kwa baadhi ya wateja, cha kushangaza mambo yamekuwa tofauti...
  6. RC Makonda: Anayemjua mwizi aje ofisini kwangu kusema, nitampa laki moja

    Ili kuendelea kupinga vitendo vya uvunjifu wa amani mkoani Arusha Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda amewaahidi wananchi wa mkoa huo hususani Bodaboda kuwa yeyote anayemjua mwizi na mwenye viashiria vya wizi basi akifika katika ofisi yake (yaani ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha) atapatiwa Tsh...
  7. KERO Nimepiga simu Tanesco kuhusu makato kodi ya Jengo, hata wenyewe hawajui kwanini wamenikata. Huu wizi!

    Nimepiga simu Tanesco, wamesema mita yangu ilikuwa inadaiwa 18,000 kwa mwaka wa fedha ulioisha(2023/24) hivyo wamekata pesa hiyo niliponunua umeme leo. Nikawauliza mbona wamekuwa wakinikata kila mwezi, hili deni wanalosema sijalipa mwaka mzima limetokea wapi? Majibu(TANESCO ): Hizi taarifa...
  8. A

    KERO Responded Wizi wa mita za maji Mbezi Mtaa wa Luis (Upendo)

    Habari za leo, Ninatokea Mbezi mtaa wa Luis kitongoji cha Upendo. Hivi karibuni kumeibuka wizi wa mita za maji hapa mtaani kwetu bila kujua wanaoiba wanazipeleka wapi, Dawasa tumewapa taarifa lakini hawana majibu. Sasa cha kushangaza hizi mita zina namba zake ambazo ni za usajili. Je, hawa...
  9. KERO Askari wa kituo cha Dumila Morogoro wamulikwe.

    Mkuu wa police Tanzania,hawa askari wako wa kituo cha police Dumila,Morogoro weredi wa kazi umekuwa jiwe kwao. Kwanza Dumila ni sehemu ambayo askari wake rushwa imetawala sana,dumila ni mji wenye wizi usio na mfano,bangi inavutwa hadharani tu. Achilia mbali matukio hayo,sehemu ya njia tatu...
  10. R

    Masheik mahubiri ya maadili yasiishie kwenye ushoga, jumuisha HAKI, WIZI WA MALI ZAUMMA- REPORT ZA CAG, siasa safi, uongozi bora na mambo kama hayo

    Mahubiri yenu yanaikumbatia serikali. Hubirini HAKI, wizi wa mali za Umma , uuzwaji wa rasilimali za nchi, MaDc, RC, kuwaonea watu , report za CAG na vitu kama hivyo. Maadili si ushoga/ubakaji tu. Hubiri na kusema uongo si maadili ( Magufuli yuko ofisini anachapa kazi, kumbe yuko mortuary)...
  11. A

    KERO tiGO Mbagala Zakhiem branch kuna wizi unafanyika kupata namba ya Lipa kwa simu

    Kuna mchezo mchafu unafanyika kwenye branch ya Mbagala Zakhiem upande wa Lipa kwa simu, HQ wanasema ni bure kupata number ya Lipa kwa simu ila ukifika kwenye hii branch Wanatoza 10,000 kwa ajili ya hii huduma. Je, huu wizi umebarikiwa na manager wa branch?
  12. SI KWELI Hakuna wizi Serikalini kama alivyosema Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba

    Waziri wa fedha alisema hakuna wizi serikalini ndio maana maendeleo yanaonekana. Je, ni kweli hakuna wizi Serikalini? Kauli yake ina ukweli kiasi gani? Jamiicheck tunaomba mhakiki suala hili.
  13. J

    Kulikuwa na haja gani kusomba utitiri wa watu wasiokuwa na impact kwenda Korea kutumia kodi za watanzania masikini kwa ajili tu ya kusaini mikopo?

    Naomba kujuzwa wadau hivi kuna haja gani ya kusomba umati wote ule kwenda nao Korea na wakati maisha huko Bongo ni magumu ajabu Nimewashuhudia hapa mpaka mama lishe sijui wa wapi huko, kwa weli naanza kuona Trump alikuwa sahihi kabisa kusema waafrika ni lazima tutawaliwe upya.
  14. Wizi na ufisadi unaonaofanywa na dstv. Serikali mtusaidie wanyonge kwa kuondoa ukiritimba.

    Wadau kwa mara nyengine tena jana tarehe mosi ya mwezi June 2024, kampuni ya DSTV inayomiliki haki ya kipekee ya kuonyesha matangazo ya moja ya mashindano ya ligi barani ulaya ,na khususan Uingereza na ligi ya mabingwa wa ulaya, wamefanya tena wizi wao dhidi ya walala hoi wa Tanganyika na Zenj...
  15. U

    SoC04 Ushushushu wizi wa ujuzi kutoka nje ya nchi

    Miaka 5 mbele inaonekana kuwa wazi kabisa kwa binadamu yeyote anaefuatilia muenendo wa nchi yetu mama nchi ya Tanzania. Mimi ni miongoni mwa vijana wanaotamani kusoma masomo yake nchi zilizoendelea tangu utotoni lakini mpaka wakati huu nafasi imekua ngumu kupatikana inaezekana kwa sababu ya...
  16. S

    PreGE2025 Wizi na ufisadi wa fedha za serikali uliokithiri katika awamu hii, suluhisho haliko ndani ya CCM wala upinzani kuwa mbadala wa CCM

    Tumefikia mahali ambapo hali ya wizi na ufisadi wa fedha za serikali inatisha. Si Tamisemi tu, bali hata vyombo vya usalama na taasisi za serikali ugonjwa ni huo huo. Udanganyifu katika mifumo ya malipo imekuwa ndio habari ya mjini, kuanzia tozo za kupaki magari, fine za trafiki, miamara ya...
  17. PreGE2025 Wizi wa kura katika chaguzi na athari katika ustawi wa nchi

    ✅Je ni kweli kura zinaibwa wakati wa Uchaguzi mkuu? ✅Mbinu gani hutumika? Zinaibwaje kura husika? ✅Wahusika wa wizi ni nani hasa? ✅Wanaoshiriki na kufanikisha wizi wa kura wwnatunukiwa nini? ✅Je ni kweli kuna asante ya vyeo kwa wanaofanikisha wizi? ✅Wanao iba kura wanawezaje kujizuia...
  18. TAKUKURU chunguzeni Wizara ya fedha (Hazina) huenda imetengeneza mfumo wa kuiba hela ya mafao ya watumishi wa umma

    Huko Mbeya tumeona watumishi wa TRA wakichepusha hela ya umma kuingia kwenye mtandao wa watu binafsi na kupiga hela. Huko Arusha tumeona mkutano wa Makonda mwananchi mlipa kodi (Halmashauri ya Arusha) akilalamika kodi zinachepushwa na kuingia katika mtandao wa wapigaji na wala haziingii serikali...
  19. Abdullah Mwinyi ailalamikia Vodacom kwa wizi wa Data, 50000 bila matumizi yeyote imeisha

    Labda hawa viongozi wakisema tutasikilizwa ila kiukweli hii mitandao imekua ni kero.
  20. Serikali ina cheka na nyani: Wizi wa kimtandao Arusha inaelekea ni nchi nzima!

    Msimamo wa kula kwa urefu wa kamba imepata maana mpya na mbaya. Serikali ikiwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama katika kila mkoa, itaibiwaje kibwege hivi? Yes, serikali inaibiwa kibwege na wateule walewale wa Rais. Tumesikia kuwa kule Mbeya mtandao kama huo ulikuwepo. Hapo tusimung'unye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…