wizara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso awasweka ndani wahandisi, mkandarasi Handeni

    Handeni. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameliagiza jeshi la polisi wilayani Handeni kuwakamata na kuwaweka ndani watumishi wawili wa wizara hiyo na mkandarasi anayejenga bwawa la Kwenkambala kwa kushindwa kumpa taarifa sahihi kuhusu ujenzi wa bwawa hilo. Waziri Aweso ametoa agizo hilo leo Jumanne...
  2. JamiiForums Tanzania Livingstone Lusinde anafaa kuwa Waziri wa Wizara ngumu na nyeti nchini

    Huyu mtu ana akili nyingi sana na ni mzalendo wa dhati mwenye maono mazito juu ya nchi yake. Ni nadra sana kuwa na watu wa aina hii. Tatizo letu watanzania ni kushindwa kuwatumia vizuri watu wa aina hii kwa maendeleo ya taifa letu. Tangia awe mbunge zaidi ya miaka 10 mfululizo, michango yake...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi Rais Samia ameunda Wizara 2 tu?

    Ukiondoa Wizara zinazoongozwa na Nape na Makamba, hakuna Waziri mwingine anayesikika popote akiongelea chochote tofauti na tulivyozoea atleast. Sisikii Waziri wa Viwanda, Elimu, Miundombinu hata WM mwenyewe ni nadra kumsikia, kwa nini ? Je, hawana morali ya kazi ? Hata Wizara ya Maji au ardhi...
  4. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina kudaiwa kudhulumu ardhi ya Kijiji ekari 1000 Morogoro, Wizara ya Ardhi iingilie kati

    Serikali ndio mtetezi wa wanyonge dhidi ya matapeli papa wanaodhulumu wanakijiji ardhi yao, hawa ndio wanazua migogoro mikubwa sana kati ya wananchi, na kati ya serikali na wananchi. Nashauri wizara ya ardhi iunde timu ikachunguze na Kisha ichukue hatua ya kurudisha ardhi hiyo kwa wanakijiji...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso na Wizara ya Maji wizi umekithiri

    Tutaendelea kusema hata kama hakuna hatua lakini wizara ya maji ni wezi na viongozi wa wizara ndo vinara wa wizi. Waziri Aweso na katibu mkuu wake ni wezi wa pesa za wizara kwa kushirikiana na watendaji walioko ktk ofisi za mabonde. Kuna pesa nyingi zinapelekwa ktk ofisi za mabonde na kurudishwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi na Makazi; Mkopo wa nyumba uliishia wapi?

    Nakumbuka mwezi mei mwaka 2020 , Wizara ya Ardhi iliweka tangazo kwenye tovuti yake walitangaza watumishi wa umma wanaotaka mkopo kwa ajili ya ujenzi wa nyumba kufanya maombi na fomu ziliwekwa, watu tulijitokeza na kuingia gharama kubwa katika kukamilisha masharti, miongoni mwa masharti ilikuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Wizara ya Utalii ni kaa la moto, kunani? Uchambuzi huu hapa…

    Mabadiliko madogo ya mawaziri yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan, jana Machi 31, 2022 yamemuweka Waziri Pindi Chana kwenye wizara yenye “moto”. Wizara hiyo yenye historia ya “kuwakaanga” mawaziri kwa kashfa na wengine kushindwa hata kumaliza mwaka mmoja si nyingine ni ya Maliasili na...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi yamwaga Ajira 1440+

    Ingien ajira.go.tz Land valuation, surveyors, cartographers, geographist,GIS, town planners and alike. Data recorder kwa Level ya degree.
  9. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi mbovu wa Profesa Manyele, NEMC mko wapi? Waziri Jaffo huitendei haki wizara, JIUZULU

    Natoa wito Waziri Jaffo ajiuzulu. Mstaafu Mwinyi aliwahi kusema kichaa akichukua nguo zako, busara ni kuchutama (loosely) Waziri Jaffo na watalaamu wake wa mto Mara wanagoma kuchutama, na kadri wanavyogeuza ripoti wizara inazidi kupoteza pesa kwa waandishi habari na kuanza kueleza mambo ambayo...
  10. JamiiForums Tanzania Wizara ya Nishati igawanywe mara mbili ili kuongeza ufanisi

    Wizara ya nishati ina mambo mengi makubwa, Kuna mafuta yanayo endesha uchumi wetu. Kuna gesi, sekta iliyo na matrillioni ya gesi ambayo ikiiuzwa mapema hatuta hangaika pesa za kuendeshea nchi. Mwisho kuna umeme, unaoimulika Tanzania. Napendekeza hii wizara ili kuharakisha haya mambo tuigawe...
  11. JamiiForums Tanzania Wizara ya Maji yaangalieni haya kabla ya kukimbilia mfumo wa kulipia bili ya maji kabla ya matumizi (prepaid bill system)

    Habari wanajamii!.. Naona mfumo huu wa kulipia huduma kabla ya matumizi umeanza kuwa mfumo pendwa licha ya kuwa mfumo unaomuumiza zaidi mtumiaji au mlaji hususani huduma inapokosa ubora. Ni kweli wananchi tunapaswa kulipia huduma tunazopatiwa na Serikali ili kusaidia suala zima la uendeshaji na...
  12. JamiiForums Tanzania Wizara ya Kilimo yashirikiana na JKT kumaliza tatizo la mbegu kwa wakulima

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amezungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi Machi 24, 2022: “Tutashirikiana na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) katika uzalishaji wa mbegu za mazao mbalimbali, ili kuhakikisha nchi inajitosheleza kwa uzalishaji wa mbegu bora. “Lengo letu ni kumaliza tatizo la...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Amini usiamini, hii ndio thamani ya kichoma taka inayodaiwa na mafundi wa Wizara ya Afya

    Mafundi wa Wizara ya Afya wanaidai kata ya Ipera kiasi cha Tsh. 16,900,000 baada ya kujenga kichoma taka yaani "Medical waste incinerator" Katika Kituo cha afya Ipera. Kituo hiki kipo Kata ya Ipera wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma. Kwa mujibu wa maelezo ya Diwani wa kata ya Ipera Mh...
  14. JamiiForums Tanzania Afisa Kilimo Daraja la II Wizara ya Kilimo - Nafasi 3

    POST AFISA KILIMO DARAJA LA II - 3 POST POST CATEGORY(S) FARMING AND AGRIBUSINESS EMPLOYER Wizara ya Kilimo APPLICATION TIMELINE: 2022-03-15 2022-03-28 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES Kudhibiti visumbufu vya mazao na mimea Kukusanya takwimu za bei na mazao kila Wiki na...
  15. JamiiForums Tanzania Msimu huu wa joto kali ni vizuri wizara ya afya ikahimiza wananchi kunywa maji mengi/matunda

    Mikoa mingi hapa nchini kwa sasa inapitia katika kipindi cha jua kali na lenye joto kali kupindukia, si usiku si mchana joto ni kali. Bado wananchi mfumo wao wa maisha ni ule ule kutokana na wengi kutokujua umuhimu wa kunywa maji mara kwa mara hususani kipindi kama hiki. Kipindi kama hiki...
  16. JamiiForums Tanzania Mtandao wa Zoom Tanzania wizara ya habari na mawasiliano muumulike

    Kuna mdogo wangu alifanya application ya kazi aliona tangazo la kazi ktk website tajwa hapo juu, sasa jana dogo katumiwa Sms anaambiwa atume 25k Akanishirikisha ilo swala basi nikaona ngoja niule ktk hii platform, credibility ya huu mtandao na ni vyema serikali ukau mulika ili.wamiliki waonywe
  17. JamiiForums Tanzania Mkataba wa Wizara ya Nishati na Mawasiliano kusambaza Mkongo wa Taifa kwa nguzo za TANESCO umeishia wapi?

    Juzi jirani na nyumbani ninapoishi nimeona watu wanachimba mashimo kuweka nguzo za miti zile za tanesco. Nikawauliza kwani tanesco bado mnaweka nguzo za miti maana juzi tu nimeona hapo jirani mumereplace nguzo iliyoanguka kwa nguzo ya zege. Jibu lilikua wao sio tanesco ila wanaweka mtandao kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Biteko: Mchango wa sekta ya Madini umekua hadi kufikia asilimia 7.3 ya Pato la Taifa, katika kipindi cha Mwaka Mmoja wa Rais Samia

    HOTUBA YA WAZIRI WA MADINI MHE. DKT. DOTO BITEKO (MB) AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI WAKATI WA MAADHIMISHO YA MWAKA MMOJA WA SERIKALI YA AWAMU YA SITA MADARAKANI TAREHE 10 MACHI, 2022 KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WIZARA YA MADINI, DODOMA Bw. Adolf Nadunguru, Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini...
  19. JamiiForums Tanzania Nnauye: Viongozi wakielewa Uchumi wa Kidijitali, wataendesha vema taasisi za Serikali ili kuendana na ukuaji wa uchumi

    SERIKALI YAENDESHA MAFUNZO YA KUJENGA UELEWA KUHUSU UCHUMI WA KIDIJITALI Na Prisca Ulomi na Semu Mwakyanjala, WHMTH, Zanzibar Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendesha mafunzo ya kujenga uelewa kwa viongozi wa Serikali kuhusu uchumi wa kidijitali Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna Wizara Inatia Shaka Kiutendaji

    Huyu anayesema miradi mbalimbali ipo kwenye blanketi!?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…