Wapenzi wa hii tamthilia humu ndani mpo? Unafagilia penzi la Ramon na Sofia au Ramon na Fabiola? Mimi kuna muda Fabiola ananiboa balaa na angoje Fransisco ampige na kitu kizito baada ya kumpa hela za mirathi.
Jana sijaicheki, vipi walipata signal na kufanikiwa kurudi mjini? Dalya naye anaanza...