wimbo

Dappled Cities (formerly "Dappled Cities Fly") are an indie rock band from Sydney, Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. Taja album unayoweza kuisikiliza mwanzo mwisho bila kurika wimbo wowote

    Kwa upande wangu... 1. Good Kid Maad City - Kendrick Lamar 2. The Verteller - Dizasta Vina 3. Damn - Kendrick Lamar 4. Doo-Whoop & Hooligans - Bruno Mars 5. Bad - Michael Jackson
  2. Tunaotumia ringtone za dini kwenye simu yetu tukutane hapa. Je unatumia wimbo gani?

    Watu wengi hutumia ringtone zilizokuja na simu, na tupo sisi tunaotumia ringtone za miziki na nyimbo tuzipendazo. Mimi natumia ringtone za nyimbo za injili, nyimbo ni sehemu yangu ya ibada, je wewe unatumia wimbo gani? NI DAMU IDONDOKAYO Wimbo: There is a fountain R.L.175, S.S. & S. 129, N.K...
  3. Huu wimbo wa Zuwena unautakia nini huu utawala?

    Mdogoangu Chibu umeyakanyaga kwa hasira zako za kupigwa moja pointi saba bilioni na wewe ukaamua kuwasema kiaina hivi na kusahau kwamba na huko utawalani kuna watu wenye miakili mingi kama wewe au hata wakakuzidi kabisa kiakili? Anyway, umetuwakilisha vizuri sisi walala hoi kumsema Zuena huenda...
  4. Wimbo yatapita wa mwanamuziki Diamond unavyotukumbusha msoto tuliopitia ( mwendazake government)

    Duh haya mashairi mazuri ya mwanamuziki Diamond kwenye wimbo yatapita yanatukumbusha msoto majeraha kipindi cha mwendazake aisee watu waliteseka balaa matajiri wakafirisiwa, watu waliuawa hovyoo na kutupwa baharini kama vifurushi, wasomi walikosa matumaini na elimu zao zilikosa thamani kabisa.
  5. Waovu husutwa na dhamiri zao. Wimbo huu ulipigwa marufuku na UVCCM. Je, uliwaudhi nini?

    BOMOA TUTAJENGA KESHO WOTE- Bomoae Bomoae Bomoa mama tutajenga kesho imaa, Tujajenga kesho imaa x2 JENIFA NDESILE-Imaao enyi watoto wazuri wote, njoni tucheze leo bomoa WOTE- Bomoae Bomoae Bomoa mama tutajenga kesho imaa, Tutajenga kesho imaaa ASSOSSA- O betu bayai yoyoyo bomoa WOTE- Bomoae...
  6. Historia ya wimbo "Usinipite Mwokozi" tenzi namba 10

    Na Vincent Mwakisyala Wimbo huu wa usinipite ni moja kati ya nyimbo za kikristo maarufu sana Duniani. Na wimbo huu unaimbwa Na madhehebu karibu yote. Ni wimbo wa maombi, una ujumbe uliotulia, Na una tafakari itakayokuvuta kwa Mungu moja kwa moja. Nikitafakari wimbo huu namkumbuka yule mgonjwa...
  7. Kumbe Kontawa kakopi na kupaste wimbo wake Champion kutoka kwa Fireboy

    Nimeskiliza wimbo wa Champion wa FireBoy DML & D Smoke, kuanzia beat, melody na kila kitu ni kama Champion wa Kontawa, hivi wasanii wetu wanafeli wapi?
  8. W

    BASATA upatieni tuzo wimbo wa Tongolanga unaoitwa 'Sanura'!

    Aisee yule mmakonde alikuwa hatari bwana. Leo na hii mvua ya tangu jana usiku nikaona ngoja nijisikilizie nyimbo zetu za utuvu ndipo nikakutana na hii kitu 'Sanura' kutoka kwa huyu Tongolanga, aisee! Hiki kibao acha kabisa, kinavuta hisia balaa, unaweza kujikuta umekumbatiana tu na mpenzi wako...
  9. Kurekodi na kusikiliza mazungumzo na mpenzo wako kama wimbo

    Ni kipi chema kama upendo? Wakati nilipokua niko mbali na mwandani wangu, nilikua kila tukiongea narekodi mazungumzo, kisha nikikaa nasikikiza bas nafarijika sana. Unakua unahisi kama vile yuko karibu au mnaongea, now we are together, i am her and she is me.
  10. Naombeni tafsiri ya huu wimbo

    Unaitwa "Tizita" na ameimba mwanamama anaitwa Aster Aweke. Naupenda sana kwenye melody yake na unanipaisha sana. Sasa usijekuta anazungumzia kilimo au baa la njaa huko kwao nami naweka fantasy zangu. Tizita
  11. Shakira avunja rekodi Youtube kwa wimbo aliomchana Ex wake (Gerard Pique)

    Wimbo wa Shakira kuhusu mpenzi wake wa zamani Gerard Pique kwa kumdanganya umevunja rekodi ya kutazamwa zaidi kupitia YouTube. Video ya Out of Your League imetazamwa zaidi ya mara milioni 63 ndani ya saa 24, na kuifanya kuwa wimbo wa Kilatini uliotazamwa zaidi katika kipindi hicho. Shakira...
  12. Jamaa kutoka kahama katisha Sana na huu wimbo

    Jamaa ana ujumbe mzuri sana, Japo kachanganya na kilugha huu wimbo ni elimu tosha. Sema tu binadamu wagumu. Kuelewa.
  13. Naomba ule Wimbo wa Zablon Singers wa Umetutoa mbali uwaendee waliochukizwa na Ushindi wangu

    Naomba mkiwa mnausikiliza huku mkiwa mmenuna mjipige Makofi Makali.ya Usoni mjiongezee Maumivu sawa?
  14. Utaje ni wimbo kutoka kwa members wa JF ambao unafunga mwaka 2022 -2023

    Ni wimbo gani unahisi unafunga mwaka 2022 vizuri.. Majukwaa yote Matusi au kejeri au dhihaka haziruhusiwi twendeeeeeee ENTERTAINMENT mshindi ni comment ya mwisho au itakayokuwa na maombi mengi zaidi yatayotakayopatikana au itakayogota saa 00.00(saa 6 kamili usiku) tar 01 /01/2023 zawadi...
  15. Nani kaimba huu wimbo?

    Kwenye hii clip kuna wimbo unapigwa hapo anayefahamu msanii na jina la wimbo atusaidie tafadhali.
  16. Wimbo bora kwa mwaka 2022

    kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mwaka ndiyo unamalizika naamini kila mmoja kuna wimbo ambao ni bora kwake kutokana labda na verse fulani inamgusa. Kwa upande wangu ni "Champion" by Kontawa, verse: "Mlo mmoja na bado tulibeba nondo na maisha bado yakasonga." #uziuendelee
  17. Anayefahamu jina la huu wimbo naomba anijuze

    Natanguliza shukrani
  18. L

    Kiukweli hiki ndiyo kimefanya Ney wa Mitego na Harmonize waonekane wameuharibu wimbo wa Kontawa "Champion"

    Wimbo wa champion at first time niliuona kwenye status ya rafiki yangu, maneno yake yalinivutia hasa pale anaposema "tumeishi na watu wanaoamini kuwa bahati bahati zote alipangiwa Bukuku" enewei kila neno aliloimba Kontawa linavutia. Wengi waliskiliza kipande cha Kontawa ila walipofika sehemu...
  19. Nimetoa wimbo wangu, naomba support yako

    Nimetoa wimbo, naomba u subscribe na u like. Naomba support yako mwana JamiiForums mwenzangu
  20. M

    Swali: Ni timu ya nchi gani inayoimba wimbo wao wa Taifa kwa HAMASA kubwa? Na ipi haiimbi kwa hamasa?

    Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya uzalendo na hamasa ya kuimba wimbo wa Taifa, na kati ya kujiamini na kuimba wimbo wa Taifa. Je ni timu ipi inaimba wimbo wake wa Taifa kwa hamasa kubwa? Nadhani huiyo inaweza kuwasaidia kubeba kombe la dunia! Kwa maoni yangu Ureno ina hamasa kubwa sana katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…