wimbo

Dappled Cities (formerly "Dappled Cities Fly") are an indie rock band from Sydney, Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Sitasahau nilivokula kichapo kitakatifu mbele ya shule nzima pamoja na kuimbishwa wimbo wa taifa

    Daah life la shule bhana so powa aisee. Wakati nipo form 3 shule moja hivi kusini mwa Tanzania tena mkoa wenye baridi kali nilikutwa na hii fedhea ambayo ni ngumu kuisahau alooo. Nakumbuka siku hiyo tulikuwa asemble tunajiandaa kuimba wimbo wa Taifa sasa mimi mikono niliiweka mfukoni ko hadi...
  2. Mkuu wa Wilaya agoma kuingia kikaoni baada ya Wimbo wa Taifa kuanza akiwa nje

    Hii imetokea huko Mbulu mkoani Manyara hii leo baada ya mkuu wa Wilaya hiyo kugoma kuingia kwenye mkutano wa Baraza la Madiwani kwa sababu Madiwani wameimba Wimbo wa Taifa kabla hajaingia. Kazi kwelikweli nchi hii mambo ni mengi. Hapo tayari ni mgogoro wa DC na DED na madiwani wake. Kisa ni...
  3. Upi wimbo bora wa Gospel kwa kati ya hizi nne?

    Ni muda sasa tumepata kuona mabadiliko makubwa sana kwenye nyimbo za dini (gospel) haswa katika upande wa lugha ya kiswahili, Kuna kwaya kadhaa zimepata kuondoka na upepo mkubwa sana ndani ya jamii, Zabron Singer, Shangwe Voices, Agape Gospel Band, pamoja na The Survivors Gospel Choir...
  4. Wimbo: Mbuga za wanyama

    Wanafunzi wa kizazi hiki wanakosa mambo muhimu hususani kujifunza kuhusu uzalendo na utaifa wao. Miaka ya 90 kulikuwa na nyimbo nyingi ambazo wanafunzi waliimba shuleni. Mnakumbuka wimbo huu? Mbuga za wanyama Tanzania, ya Kwanza ni Serengeti, Ngorongoro na Manyara na Mikumi oooh Tanzania...
  5. Kilaza ni wimbo utakaowafungua wazazi wenye vipato vya kawaida, wanaohangaika kulipa mamilioni ili kusomesha watoto Shule ya Kiingereza

    Is it coincidence? Au dunia imeamua KUNIKUTANISHA na watu wenye mtazamo kama wangu? Au dunia imeamua kuni - prove right kuhusu mtazamo wangu kuhusu English Mediums za Tanzania? Only God knows, hivyo ndivyo unavyoweza kusema but all in all, watu wameanza kuamka sasa. Back to the topic 👇👇...
  6. Mungu wa kwenye wimbo wa taifa ni Allah au God?

    Wakuu Kwenye wimbo wa taifa anatajwa Mungu yupi Je viongozi wetu ni waumini wa Mungu, Je matendo yao yanaakisi uwepo wa Mungu ndani yao? Tujadili
  7. W

    Ni wimbo gani unahisi unaweza kutumia kuelezea Maisha yako?

    NARINGA- ZUCHU Mh-mmh Nani Roney? Ah, Roney (he-hey, yoh Tron) Sing, mmh, eeh Let sing, come on, eeh Sioni aibu Kwa kila linalo nifika Maana kukosea ni wajibu Mola ameshaandika Na sianguki, mimi nimechaguliwa Nnae mtegemea hachoki Hajawahi kupitiwa Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza Vinanipa...
  8. KWELI Shakira aliiga ala ya muziki katika wimbo wake wa Waka Waka?

    Mwaka 2010 FIFA walimpatia nafasi Shakira ya kuandaa na kuimba wimbo maalumu kwa ajili ya michuano ya kombe la Dunia ya mwaka 2010 iliyofanyika Afrika ya Kusini. Kwa taarifa za juu ni kwamba Shakira Isabel Mebarak alitupiga na kitu kizito kwani alifanya sampling na kuiba melody ya wimbo wa...
  9. Ney Wamitego ameendelea kupigilia msumari kauli ya vijana inayosema kataa ndoa kupitia wimbo wake wa bachela

    Ney Wamitego ameendelea kupigilia msumari kauli ya kataa ndoa kupitia wimbo wake wa bachela Katika wimbo wake chorus inasema "sisi ndio mabachela hatutaki ndoa mabachela tunakula ujana mabachela waache waoane" https://youtu.be/mzQ-K56cCDc?si=0FPFHb3wTrkPoM9f
  10. Hivi ndiyo mnataka kusema kuwa Watanzania huu Wimbo mpya na Mtamu wa Twanga Pepeta uitwa Mmbea hamjausikia na Kuusifia?

    Bado sijaona kama Twanga Pepeta kwa Tanzania hii na bado sijaona Muimbaji mzuri kama Charles Baba Kingunge. Kitu kikipendwa na GENTAMYCINE jua hadi Malaika wa Mbinguni nao Wameshakipenda. Shikamooni Twanga Pepeta.
  11. M

    Kondeboy kwanini wimbo wako huu kwa Yanga hukutaja wachezaji wote

    Wimbo mzuri sana ila umewataja tu kina Yao, Bacca, Zingeli, Aucho, Chama, Aziz, Dube na Baleke. Kipa wetu bora kabisa Diara hujamtaja. Huyo Aziz uliyemtaja ungemalizia Ki maana haijulikani ni yupi kati ya wawili tulionao. Hivi unamuachaje Musonda. Kwanini usiwakumbuke wachezaji wazawa kama...
  12. Huu ndiyo wimbo wa Taifa la Zanzibar

    Nimeusikiliza leo kwa mara ya kwanza, lakini sijaufaidi vilivyo kwa sababu siyajui maneno yake. Tafadhali anayeyafahamu anisaidie. Asante.
  13. Watu wa nyimbo za dini mkuje mnisaidie jina la huu wimbo

    Nimetafuta kwa youtube shida zinakuja nyingi. Nimejalibu kuuimba hapo mnaweza nisaidia kupitia hiyo sauti hapo chini. Wimbo Bwana ndie mchungaji wangu mimi Sitapungukiwa na kitu katika maisha yangu Wandameza mbele yangu bwana machoni pa watesi wangu umenipaka mafuta bwana.
  14. W

    Wimbo wa Lady JayDee aliouimba kwa lugha 7

    Distance: Lady Jaydee Nakupenda, nakutaka, nakuhitaji-ii-iiii Moyo wangu wakuwaza, mpenzi uko mbali nami Nakupenda, nakutaka, nakuhitaji-ii-iiii Moyo wangu wakuwaza, mpenzi uko mbali nami Ngiyakuthanda, ngiyakufuna, ngiyakudinga Nhliziyo yami, ngicabanga ngawe, kodwa ukude nami mpenzi I love...
  15. Watu wa zamani (malegendary) mkuje mnisaidie jina la huu wimbo

  16. Mfahamu aliyetunga wimbo wa taifa wa Tanzania

    Wimbo wa taifa wa Tanzania "Mungu ibariki Afrika" ulibuniwa na mtunzi kutoka Afrika Kusini Enoch Sontonga. Wimbo huu asili yake ni wimbo Nkosi Sikelel’i Afrika aliotunga mwaka 1897. Tafsiri ya jina hilo kwa kiswahili ni Mungu ibariki Afrika. Ni wimbo maarufu zaidi Afrika ukitumika pia katika...
  17. Watu wa Blues mkuje mnisaide natafuta jina la huu wimbo wa kizungu

    Wimbo kaimba mdada ila nakumbuka tu kwenye kiitikio, Anaimba aie ieeee aeee eha Apolo apolo aeee eha Aie ieeee aeee eha apolo apolo aeee eha Sijui kaimba nani
  18. Aliyeimba huu wimbo wa "Huu mwaka" mi naona kakosea huu mwaka 2024?

    Pita pita mtaani yaani watu wamechoka sana hakuna cha maana maisha yao yamekuwa magumu. Nuru za watu zimepotea na kama watu wamejikatia tamaa. Kweli ni nyimbo nzuri ila imekosea kuingia 2024
  19. Lyrics za Wimbo wa "Utanipenda" wa Diamond Platnumz

    Tanta lala la Ooh la la la la la Mmh Ooh Ghafla visenti sina nimerudi Tandale Nimeshindwa kulipa BIMA nimeuza Madale Radio nyimbo wamezima Tv ndio hataree Umeneja umebaki jina Hanitaki hata Tale Oooh wale shabiki zangu Walionisifu kwa maneno matamu Leo maadui zangu Ni mitusi tu kwa instagram...
  20. W

    Ulikuwa wapi wimbo huu ulipotoka?

    Nibebe - Nyota Ndogo “Nibebe” from the album “Mpenzi” Nyota Ndogo featuring Nonini Nonini Ngoma kali hufanya niwakumbushe wakenya Vile Swahili ni kitamu Au sio Nyota aa, Nyota aa Ndogo oo, Ndogo oo Nakupenda sana sitoficha Kama kukupenda ni makosa Sitaki kuwa sawa duniani Kwani nakupenda sio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…