wezi

WEZI (102.9 MHz "Easy 102.9") is a commercial FM radio station in Jacksonville, Florida. It airs an adult contemporary radio format and is owned by Atlanta-based Cox Media Group.
The station's studios and offices are located on Belfort Parkway in Jacksonville's Southside district. The transmitter is off Hogan Road in the Arlington neighborhood. WEZI is a Class C FM station, running at an effective radiated power (ERP) of 100,000 watts, from a tower at 1,014 feet (309 m) in height above average terrain (HAAT). Its signal stretches from the Georgia coast to south of St. Augustine, Florida to southwest as far as Gainesville, Florida.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Halotel ni wezi wa bundles (Mbs)

    Kwa kweli nimeshawapigia halotel mara nyingi ukijiunga gb 1.5 baaada ya nusu saa wanakuambia umetumia 75% ya bundle lako ndani tu ya dakika 2 mbs zote zimeisha
  2. Kangi Lugola Acharuka kwa Kuandaa Muswada Chini ya Hati ya Dharula: Anataka Bunge Limpe Meno CAG kwa Ajili ya Kuwashtaki na Kuwafunga Wezi Serikalini

    Mhe. Kangi Lugora, Mbunge wa Mwibara Hatimaye, ni kama, Kangi Lugola, mbunge mkongwe wa jimbo la Mwibara, lililoko katika Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara, ameamua kuachana na maneno ya miaka nenda rudi yasiyo na vibwagizo vya matendo. Baada ya moto kuwaka huko bungeni kutokana na madudu yaliyomo...
  3. Kwanini Mwenge wa Uhuru sio msingi wa maendeleo ila ni chanzo cha wezi na wabadhirifu kuiba na kupiga mali ya umma?

    Mwenge umeshindwa kuwa na tija na faida kwa taifa letu la Tanzania. Hapa kuna uchambuzi wa takwimu za bajeti zinazohusika na mbio hizi, pamoja na hoja kuu za upande wa pili unaounga mkono Mwenge kama nguzo muhimu ya taifa. 💰 Makadirio ya Bajeti na Gharama za Mwenge Ingawa serikali haijaweka...
  4. Humphrey Polepole hata kama hautapatikana umelifumbua macho taifa lako. CCM mtandao ni wezi na wauaji.

    Kifo cha hayati JPM? Ulitamka wazi kuwa wamehusika ili waliibie taifa letu. Hapo ndipo Watanzania wakapata ukweli kuwa wapinzani na wasio wapinzani wanauuliwa na CCM mtandao ambao wamemuweka Samia Madarakani. Ulitamka mambo mengi mazito ambayo yaliyafanya watanganyika watake kulikomboa taifa...
  5. M

    HOJA Tulipiga kelele za wezi kuzuia tukio lililoonekana ni la utekaji, nashangaa tumeitwa Polisi kwa ajili ya tukio hilo

    Jumamosi, katika eneo la Manzese, karibu na kibanda changu cha chipsi, kulitokea tukio ambalo lilitutia wasiwasi sisi tuliokuwa eneo hilo. Kulikuwa na bodaboda mmoja aliyesimamishwa na watu waliokuwa kwenye gari aina ya Noah. Mwanzoni, sisi tuliokuwa pale kijiweni hatukuhisi kwamba kuna jambo...
  6. M

    Ukiona sehemu ina fremu yenye PS tafuta kwengine kama kuna mbadala ! Frem za PS nyingi zinafuga wezi, zinavunjwa na huchochea wengine kuibiwa

    Vibanda vya games vya mtaani, hasa fremu za PS, ni sehemu zinazopendwa sana na wezi Wateja hao baadhi wakiwa wezi hupenda kupumzika vibanda vya ps lakini pia kufuatilia mazingira ya kutafuta mianya ya kuiba. Ndio maana fremu za PS zimkuwa na matukio mengi ya kuvunjwa na wezi, na wakati...
  7. Wezi, Matapeli na Vishoka Stendi Mbezi Loius Wachekelea

    Kufungwa rasmi na milele kwa stendi zilizokuwa shekilango, Lumumba na mnazi mmoja imekuwa kicheko kwa matapeli, wezi, vibaka , wabakaji na waganga wa kienyeji waliokuwa wamekosa kazi: MADALALI: Ukishuka tu stendi pale , una mizigo, walet mfukoni na mabegi unavamiwa na vijana , MMOJA ANA TIKETI...
  8. Tukiwaita matapeli au wezi tutakuwa tunakosea?

    Kumekuwa na wimbi la watu kutuonyesha pesa, dhahabu, majengo, magari n.k bila kutuonyesha njia zilizotumika kupata hivyo vitu. Wanakuwa wanatuonyeshea matokea, badala ya mchakato mzima uliotumika katika kufanikisha hayo matokeo. Lengo lao ni kutaka nini kutoka kwetu? Au wana ajenda gani katika...
  9. KERO:Polisi ni wezi na matapeli wa mali za watu

    Ili swala la malalamiko idara ya polisi lijaanza leo ila lilikuwa mda tu. Polisi ni wezi na matapeli. Hapa JF mtakuwa mashuuda na malalamiko. Kwa nini ukiwa na kesi au wamekukamata wanachukua mali zako mfano simu, laptop,pesa hata wakija nyumbani kwako wanaweza kubeba hata friji na ukifatilia...
  10. M

    Utapeli mtandaoni, Mawakala na wateja kuweni makini, wezi wanabuni mbinu mpya kila siku

    Kuna utapeli wa aina nyingi sana kwenye miamala ya kifedha na mtandaoni, kila siku wezi wanabuni mbinu mpya. Umakini unahitajika sana, hesabu pesa na kucheki balance kila unapofanya muamala wa kupokea kwani hata mawakala nao wanatapeli wateja, kutuliza akili ni jambo la muhimu sana. Usikubali...
  11. Crypto utakuwa ni kiboko kizuri Cha Mabenki

    Leo nimeenda CRDB tawini kwao, kwa sababu ya changamoto ya ku-login kwenye app yao ya SimBanking na kupata card. Nikawapa 5000 cash , ila chakushangaza ni baada ya masaa 3 nikiwa mbali na bank yao wakanikata tena 5000. Pili nilijaribu USSD yao *150*03# bila kuangalia Salio, nikakutwa pia...
  12. K

    Kutegemea Polisi kumedumaza CCM imebaki na wezi tu

    Yaani huwezi kuwa Mzalendo na kubaki kwenye CCM hiii. Waliopo ni walaji , mafisadi na wale wanaofikiri watanufaika. Hakuna watanzania wengi ambao wapo CCM bila manufaa binafsi kwa sasa. Ndiyo maana mnaona hakuna kelele za Utekaji, ufisadi , kukiuka katiba wala rushwa. Tushukuru Mungu sana tuna...
  13. Mkishakuwa wahalifu muwezi kupelekana kwenye haki wala kunyoosheana vidole sehemu za wazi.

    Tokea kushika kijiti cha nchi na mpaka kuleta mauwaji October 29 2025. Ni ngumu muhalifu kuwanyooshea vidole wahalifu wenzake. Kwa mambo yanayoendelea haki jaribu kujifanya ana mtumbua basi wakubari siri zao zitakuwa kama zile za marehemu polepole alivyofanya. Ni ngumu kwa raisi kuwa mkali...
  14. Nauza Taser mashine ya kujilinda inapiga shoti vibaka wezi na watekaji usikose kwa usalama wako

    Nauza kifaa cha kukusaidia kujilinda yaani self defense 🔥 TASER GUN INAKUSAIDIA KUMPIGA SHOTI KIBAKA SHOT KUBWA KAMA YA UMEME WA GRID YA TAIFA 🔥 Unahitaji kujilinda na vibaka, majambazi, wezi na wabakaji? Taser Gun ni mashine ndogo ya kuchajiwa inapiga shoti ya umeme zaid ya gridi kubwa ya...
  15. Polisi: Ni kweli nyeti za wanaume zinaibiwa. Wezi msiwaue

    Polisi amedai ni kweli nyeti za Wanaume zinaibiwa. Ila ameshauri zikiibiwa mwizi msimuue kwani zitakuwa hazirudi. Polisi kadai walipokea ripoti kwamba muiba nyeti kakamatwa, walivyombana akukabali kuzirudisha. Iila akasema zinarudi taratibu taratibu.. Amewashauri Wanawake wasiwalaumuu wake zao...
  16. Shigongo: Hatuwezi kuendelea kama Wezi wanaonekana mashujaa, hawaogopi mali ya Umma, wanaiba, hakuna kinachotokea

    Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo akizungumza Bungeni, Aprili 2, 2026, alipokuwa akichangia hoja Bungeni.
  17. M

    MUWSA kutoa Sh Milioni 2 kwa watakaotaja wezi wa mita za maji Moshi

    Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mjini Moshi (MUWSA) imeeleza kuwa katika kipindi cha mwezi Januari hadi Machi mwaka huu, mita za maji 266 zenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 37.2 zimeibwa hali inayopelekea hasara kwa mamlaka hiyo na usumbufu kwa wateja wake. Hoja ya wizi wa...
  18. Hivi inakuaje mzee wa miaka 65 Hana hata chumba kimoja cha kukaa?

    Kuna mzee hapa mtaani anahangaika nyumba za kupanga na Kodi inamshinda anakalia kutuomba omba hela vijana halafu katika stori zinazomuhusu ni kwamba ujanani mzee alikua anapata sana hela ila alikua ni mtu wa mademu hata kiwanja kikamshinda kununua. Leo kaja nimemuangalia nikamtafakari Cha...
  19. Msitoe pesa CRDB ATM ya Royal Dodoma. Ni wezi

    Wakuu hawa wanaiba pesa na hutapata notification kwa sms. ATM za CRDB zimejaa wezi Msizitumie. Ukiweka ATM card ile ya kuscan. Ukitoa tu, Wanadetails zako zote. Hiyo ATM ya hapo Royal imejaa wezi watupu. Wanaiba na hawana aibu.
  20. Waziri Mkuu, Wananchi wa Kipunguni wanalipwa lini pesa zao? Wezi wanavamia nyumba, kumebaki mapori tu

    Mh Waziri Mkuu, Hongera kwa Mungu kukupa nafasi uliyonayo na kazi unayoifanya. Pongezi kubwa kwako. Nianze kutoa malalamiko yangu kuhusu yanayoendelea Kipunguni. Wananchi wa Kipunguni wanakusubiri urudi waje ofisini kupiga magoti. Wanaumizwa na majambazi, wanakufa kwa presha, kisukari na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…