wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO OCS kituo cha Polisi Igogo Mwanza jitathimini wewe na askari wako

    Ndugu wanajamvi Habari za muda huu, Nilifungua kesi polisi Igogo Mwanza na hii ni wiki ya tatu mtuhumiwa wangu hajakamatwa, mtuhumiwa amezidi kunitesa na kuniwinda njiani usiku ninapotoka kazini. Mtuhumiwa alinitishia kunidhuru ila RB Inasoma Kutoa Lugha chafu, Hii Imekaaje? Na kwanini...
  2. K

    JamiiForums Tanzania SoC03 "We! Mmmmhh ni wewe, hapana sio wewe ni wewe" alisikika rafiki wa maisha akimuita Naisha

    😂😂😂Hahaa!! Acha nicheke nifurahi, nikakumbuka hadithi ya "Nani amfunge paka kengele" niliyofundishwa na Mwl Ludao 😀 Mmhh, nyie! Acha kabsaa, ukiachilia mbali ile hadithi ya Mwl Kukome "Sizitaki mbichi hizi". Ukiachilia mbali maswali yangu niliyouliza kutojibiwa zaidi ya kuambiwa kua uyaone 😂...
  3. JamiiForums Tanzania Wewe ndio chanzo cha umasikini katika familia yenu

    Katika familia, gharama hazipo kwenye kuzaa tu; bali gharama zipo kwenye malezi. Na kwa mazingira ya sasa, unaweza kuta kijana ana miaka zaidi ya 30, lakini bado anaishi kwao, huku akiendelea kuwapa mzigo mzito wazazi wake. Kwa nini nasema wewe ndio chanzo cha umasikini wa kwenu; ni kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Miaka ya 80, 90 hadi 2000 Dar ilikuwa inachangamshwa na ngoma mbali mbali za kitamaduni, je wewe unakumbuka ngoma ipi?

    Enzi hizo ilikuwa ukienda Kinondoni kuanzia ijumaa hadi jumapili maeneo mengi yalikuwa yakitawaliwa na ngoma ya sindimba, ambayo inasemekana asili yake ni huko mkoani Mtwara na wenyeji wa ngoma hiyo ni wamakonde haswa wale waliochanjwa chale. Siku hizo hizo za ijumaa hadi jumapili ilikuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Je, wewe ni "Mungu"?

    MOJAWAPO ya maswali magumu, ambayo mwanadamu amekuwa akitafuta majibu ni MIMI NI NANI, JE MUNGU NI NANI, n. k Tumesikia pia, nchini Tanzania mwanamama anayejiita "Mfalme Zumaridi " akijiita "mungu "!.Viongozi wa dini mbalimbali wamejitokeza kumpinga na kusema kuwa anakufuru kujiita "mungu ".Je...
  6. JamiiForums Tanzania SoC03 Pale ambapo mimi na wewe tumeshindwa kumlinda mtoto wa kike, teknolojia ya habari na mawasiliano haina budi kuingilia kati

    Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la watoto wa kike hususan wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kunyanyaswa kingoni ikiwa ni pamoja na Kuingiliwa kimwili (KUBAKWA) hadi kupelekea kukatisha masomo yao kutokana na kubeba Mimba na kuathirika kisaikolojia jambo ambalo...
  7. JamiiForums Tanzania Je, unaweza kuishtaki kampuni iliyotoa tangazo la biashara ukiwamo na wewe bila ridhaa yako?

    Salamu wana jamvi! Kwa wajuzi wa sheria, naomba kupata ufafanuzi wa je, taratibu za kuishtaki Kampuni iliyotoa tangazo la biashara likimjumuisha mtu asiye wapa ruhusa zipoje na inawezekana? Natanguliza shukrani!
  8. V

    JamiiForums Tanzania Rais Samia sikiliza na kubali ushauri kuhusu mkataba wa Bandari

    Kwa asili Mwanawake amejaliwa kwa neema ya mwenyezi Mungu kuwa msikivu. Ni msikivu mzuri na hasa 'anaposomeshwa' na mwanaume. vinginevyo, ndoa zisingekuwepo duniani. Tumeshuhudia siku za hivi karibuni mjadala mkali kuhusu bandari zetu zilizopo upande wa pili wa Muungano. Wabongo tumegawanyika...
  9. JamiiForums Tanzania Gerald Hando hata Wewe?

    Kila Nikiwaza kuandika huu uzi nilikuwa najishauri sana, mwishowe nimeona tu bora niandike ili dukuduku langu liishe. Hivi karibuni watangazaji wakituo cha Wasafi FM Gerald Handom Maulid Kitenge na Zembwela walienda mpaka ziliko ofisi za DP Word kwenda kufanya mahojiano na wafanyakazi...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ndio DP World, kwa Kelele Hizi bado utakuwa na moyo wa kuwekeza?

    DP world wakiendelea na huu Mkataba na uwekezaji wake basi nitajua kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia. Mwekezaji lazima awe na wasi wasi pale wenyeji wanapoonekana hawajafurahiswa na uwekezaji wako. Je watapata ushirikiano? Ningekuwa mimi ndio DP world huu mradi ningeupiga chini tu. Then...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ukiolewa usikubali kupewa masharti, kumpikia, kumfulia na kusafisha nyumba. Wewe siyo house girl

    Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya. Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa. Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Uiolewa usikubali kupewzmasharti, wala kumfulia, kumpikia na kusafisha nyumba. Wewe siyo house girl.

    Wewe
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ungependa kuongozana na mkeo akiwa katika mavazi gani?

    Ungependa kuongozana na mkeo, akiwa kavaa nguo ndefu zilizomsitiri mwili wake? Au ungependa kuongozana na mkeo, akiwa kavaa nguo zimembana au zimemuacha nusu uchi, huku wanaume wenzako wakimsifia?
  14. JamiiForums Tanzania Haya mambo 30 yanayonisumbua sana, sijui wewe

    Katika mambo yanayonisumbua maisha yangu, mambo haya 30 yanaongoza; 1. Kila kitu ni kitapita au ni cha muda tu ukiwemo uhai au maisha yangu. 2. Ukweli kuwa sitoridhika na nilichonacho au niliyonayo mpaka wakati wa kufa 3. Uhalisia kuwa uchu ndiyo unaotawala uchumi na uchumi nao kutawala uchu...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Cheedy: Kuvunja mkataba Konde gang ni Billioni 1 ila wao wakivunja mkataba na wewe ni million 10

    Msanii Cheedy hivi karibuni Konde Kang walivunja mkataba nae ikalazimika imlipe million 10 kama sehemu ya kuvunja mkataba. Wakati akihojiwa na East Africa Radio, Cheedy amefunguka kuwa; "Mkataba waliotengeneza Konde Gang hauendani na uwekezaji wanaouweka kwa sisi wasanii. Haiwezekani uweke...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Salim Asas tambua kuwa wengi wa UVCCM hawafurahii mnavyouza nchi. Wanaofaidi ni wachache, hawawezi kutetea ufisadi

    Usilazimishe watetee uovu. ---- MNEC SALIM ASAS ATAKA VIJANA KUVUNJA UKIMYA KUJIBU HOJA ZA WAPOTOSHAJI MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Salim Asas ameushangaa ukimya wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Iringa katika kutetea viongozi na mipango mbalimbali ya maendeleo inayofanywa...
  17. JamiiForums Tanzania Lofa hawezi kumiliki kitu cha thamani, Ukitaka kujua kuwa wewe si lofa tazama miliki zako utapata majibu.

    Hii ndio nature ya ulimwengu kwamba lofa au mpumbavu asimiliki kitu chenye thamani. Hata kama uvunguni mwako kuna lulu nyingi za aina tofauti, dunia ikijua tu kuwa wewe ni lofa itatumia gharama yoyote ili tu kukunyang'anya ile lulu. Ni wakati sasa tuache kuomba utajiri kwa Mungu badala yake...
  18. JamiiForums Tanzania Ukifanikiwa wafanye wengine pia wafanikiwe kupitia wewe

    Jambo letu Haitoshi tu kuwa na mafanikio makubwa bali tumia nafasi hiyo kuwasaidia wengine kufanikiwa pia. Tunaelewa ili ufanikiwe ulipita vikwazo vingi, ulishinda mengi; tumia muda huu kuwa mwalimu wetu. Maendeleo ni kama bahari na hakuna bahari yenye kisiwa kimoja na kisiwa hakizuii kingine...
  19. JamiiForums Tanzania Swali: Je kuna watu kwenye mapenzi wana kipaji au uchawi kujua kila unachofanya wao wakiwa mbali na wewe?

    Wasalaam, Jamani hii dunia Mungu aliumba watu, nilikuwa na demu wangu huyu demu alikuwa anajua kila kitu ninachotaka kufanya hasa kama nina mpango na demu mwingine, aidhq atajua huyo demu ana madhara au hana mfano kama demu ana majini au mashetani au mchawi sana huyo demu wangu alikuwa anq...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Nilimfumania shemeji yangu, Nikachukua uamuzi huu na kikatokea hiki, wewe ulifanyaje?

    Hiyo issue ilitokea 5 years ago kwa kaka yangu, baba na mama mmoja. Baada ya kumaliza chuo nikapata kikazi cha kujishikisha katika hospital karibu na anaposhi broo wangu, kaka yangu alijua kabisa kuwa ninafanya kazi karibu na nyumbani kwake. Sio mbali ni kama 400 meters hivi. Kaka yangu anamke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…