wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama mpaka leo hujui shida za wananchi, wewe hufai kuongoza!

    Tumeshatoka huko. Huko ambako Rais anatenga muda wa kukutana na wananchi wachache na kuzungumza nao juu ya shida zao. Kwa wakati huo, hizo shida za wananchi zilipata afueni? Jibu ni hapana. Jana imetangazwa kwamba Bi. Kiguu na Njia [nasikia jana katua Nigeria huko]naye ataanza tena huo...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Unadeal vipi na Mwanamke anaelalamika pesa unayompa haimtoshi kisha anakubana kwenye 18 aipate wapi wakati yupo na wewe tu, au umpe ruhusa adange?

    Halafu unakuta ni pisi ya kwenda + wife material, umemkuta yupo 22 akiwa bikra (mali adimu), hazijui jeans wala suruali, anakupenda kuzidi unavyompenda. Shida inakuja mwanzoni wala alikuwa hakuombi hela au akiomba ni kidogo tu, ila sasa anakwambia kaamua awe na wewe serios relationship so ni...
  3. JamiiForums Tanzania Utatendewa namna ambavyo na wewe unamtendea mwenzi wako

    Habari wana jamii, me nmekuwaga msomaji wa humu muda mrefu tu na mm sasa nimeamua kuwa member. Moja kwa moja kwenye mada eewe mume mjali na mpende mkeo hata kwa 60% then endelea na mambo yako ya nje huko. Sasa wewe huonyeshi mahaba kwa mkeo michepuko imekuzidiaa tendo la ndoa ni lakutafuta...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Uaminifu: Mke ajitunza miaka 17 kumsubiri mume wake atoke jela. Wewe ungeweza?

    Mwanamume aliyefungwa jela miaka 17 amemaliza kifungo chake na amemkuta mkewe akiwa mwaminifu akimsubiri amalize adhabu yake waendeleze maisha. “Nimefurahi sana kwa sababu mume wangu ameachiwa huru baada ya miaka 17 ya kifungo jela. Nimekuwa nikimsubiri kwa miaka yote. Nimevumilia sana, lakini...
  5. JamiiForums Tanzania Kama ungekuwa wewe ungefanya nini?

    "Kwa muda mrefu mke alikuwa akidhani kuwa mumewe anamsaliti kwa kutoka kimapenzi na (house girl/ maid) mfanyanyakazi wao wa kazi za ndani. Hivyo, akapanga kufanya mtego ili aweze kufanya fumanizi. Sasa alichokifanya siku hiyo akamrudisha house girl wao kijijini, arafu yeye akaenda kulala...
  6. JamiiForums Tanzania Wewe au Rafiki yako u/aliwezaje kudhibiti Sex Addiction?

    Too much of something is harmful. Ukishakuwa na uraibu wa ngono ina affect maisha yako katika nyanja za uchumi, afya, perception mbaya kutoka kwa jamii na afya ya mahusiano hususani ndoa. Tofauti kuwa wanaume ndio tunaonekana wapenda ngono sana ila Sex addict anaweza kuwa ni mwanamke pia...
  7. JamiiForums Tanzania Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

    Kwema Wakuu! Kuna aina tatu za Maskini. 1. Maskini wa kutupwa (Fukara) 2. Maskini wa kawaida 3. Maskini aliyechangamka. 1. Maskini Fukara Maskini Fukara hili kundi ni wale Watu ambào kula yao ni mshikeshike, hawana pakuishi, yaani hawa ndio huitwa hohehahe. Hawa kwa asilimia kubwa wamekata...
  8. JamiiForums Tanzania Elon Musk anakaa tu na wanawake haoi wewe kapuku unapambana

    Kuna watu wanahangaika na wanawake pasua kichwa kuwatuliza ili wawaoe wawe wake zao. Huko duniani kuna Musk hajaoa na ana watoto zaidi ya 10. Wanaume nawashauri kama unaweza kulea tengeneza tu masingo maza wa kutosha. Kwa mwaka piga mimba hata 3 sio unakaa unasubiri mtoto kila baada ya miaka mi3.
  9. JamiiForums Tanzania Je, na wewe uliziona ndege 12 zikitembea kwa mstari jana usiku?

    Usiku wa jana mida ya saa moja kuelekea saa mbili niliona ndege 12 zikiwa zinaenda taratibu sana kwa mwendo wa Pole zikipita kwenye anga la nyumbani kwangu Bahari Beach. Mara ya kwanza nilidhania ni vimondo, ila nikasema hapana, nikadhania sasa haya ndio mambo ya UFO yenyewe, lakini baadaye...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ifike muda ujanjaruke na wewe, kataa kufanywa fursa isiyo na faida kwako

    IFIKE MUDA UJANJARUKE NA WEWE KATAA KUFANYWA FURSA ISIYO NA FAIDA KWAKO. 1.Unakubalije kuwa na mtu ambaye kila akikutafuta basi ana shida. 2.Unakubalije kuhusiana na mtu ambaye bila wewe kumtafuta basi mahusiano ndio yanakufa . 3.Unakubalije kuwa na rafiki ambaye anataka umtimizie mambo yake...
  11. JamiiForums Tanzania Ulipata Hisia gani baada ya wewe na mkeo kupima Ukimwi na kukuta mpo Salama?

    Kwema! Katika vitu nilikuwa naogopa ni kupima VVU. Ukimwi sio poa aseeh! Kwa sisi tuliouona miaka hiyo Watu wakiugua huo ugonjwa tumeathirika kisaikolojia. Hasa sisi wanaume ndio tunaogopa zaidi. Haya. Embu eleza hisia ulizopata baada ya wewe mkeo kupima na kupata matokeo negative, yaani mpo...
  12. JamiiForums Tanzania Prof. Janabi unataka uwapangie watu ratiba za kula?

    Hivi ndivyo vichekesho ambavyo vinapatikana Bongo. Prof. wa kwenye media, professor Janabi siku moja nilimsikia anasema kuwa kama unavaa nguo yenye kiuno size 37 wewe ni mgonjwa. Inamaana huyu Prof. hajui kuwa kuna watu naturally wana maumbo makubwa? Kama mwili wako una umbo dogo ukinenepa na...
  13. JamiiForums Tanzania Michezo ya Redio: wewe ulisikiliza mchezo gani?

    Mimi nakumbuka 1. Twende na Wakati - Radio Tanzania 2. Pilika pilika - TBC Taifa 3. Wahapa hapa - Radio free Africa Karibu tukumbushane
  14. JamiiForums Tanzania Unazaa kwa kuwa umejipanga au unazaa tu ili ionekane na wewe una watoto?

    Ndugu zangu Kumekuwa na kundi kubwa sana la vijana kuzaa zaa tu hovyo bila mpangilio wowote. Nini mantiki ya kuzaa na kuwaleta watoto dunian wateseke? Unakuta mtu anazaa tu kwa kuwa ameona rafiki yake amezaa. Na yeye anaamua kuzaa tu hasa wanawake. Wapo wanaozaa tu wakishituka kuwa hawakuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Wewe ni mmojawapo kati ya wale watakaodanganywa leo?

    Habari ya wakati huu..uzi huu unakukuta sehemu gani ya kudanganywa?kitandani?unatembea?kwenye daladala?uko vacay?au ndio hueleweki ndugu mtanzania mwenzangu? Bhana mapenzi ni matamu sana ukimpata mtu mnaeendana nae na kupendana🥰lakini ukikutana na wale wa “babe I will call you in the next...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni kijana mwenye umri usiozidi miaka 22, na una ubunifu au uvumbuzi wa hali ya juu tayari na unatafuta fedha za mradi wako fuatilia uzi huu

    Soma vizuri hadi mwisho na ujaze fomu iliyowekwa mwishoni kabla ya mwisho wa mwezi February. Researchlink International (www.researchlinktz.com) itatoa msaada wa kitaalam wa ku-apply kuongeza uwezekano wa kufaulu. Kuna fursa nzuri ya kupata fedha kutoka kwa kampuni ya Thiel Foundation. Kampuni...
  17. JamiiForums Tanzania Je, umejipanga kutoka na nani humu ndani katika siku ya wapendanao?

    Zimebaki siku chache sana, siku ya wapendanao ifike. Mjuavyo tena, maisha ya mwanadamu kuna wakati yanahitaji faraja, ingawa kuna changamoto nyingi huwa tunazipitia katika harakati zetu za kila siku. Lakini ni vizuri pia kutenga muda na kufurahi pamoja, na mtu anayeweza kuteka hisia zako, na...
  18. JamiiForums Tanzania Ogopa mwanamke anayebandika kucha juu ya kucha au kope, rahisi sana wapanga

    Hawa wanawake kwa kweli nimewapa nyota tatu za jeshi. Dada mmoja wiki tofauti kaja dukani kanunua simu tofauti ambazo ni iPhone 14 na Samsung S23, zote hizo ni wanaume wawili tofauti, mmoja iPhone na wapili Samsung. Ila kwa vile ni biashara, aisee!
  19. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mkongwe taja majina yao

  20. JamiiForums Tanzania Wewe Makonda, uadilifu umeanza lini? Makontena yako 20 ulikwepa kodi ya sh. 1.2 bilioni. Acha kuhadaa wananchi

    2018 kuna wakati ulianza kuwehuka mara makontena si yangu ni ya CWT, walipoulizwa chama cha walimu walikana licha ya maigizo yako ya kuchukua wanafunzi na walimu wachache kwenda kuwaonyesha makontena bandarini. Baadaye ukakana huyatambui. Baadaye tena ukaanza kugawa laana kwa watakaonunua kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…