wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wakati sisi tunalalamika kuhusu parking wewe unalalamika kuhusu mwendokasi

    maisha ni kuchagua.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na wewe unafanya ya Magufuli kuwanunua wapinzani?

    It is a pity! sasa 4R zipo wapi? Kama umefanya hili, kwanini mtu asiseme kwa uhakika kuwa ume sanction matendo mengine ya magufuli kuwateka/kuwaua/na kuwapoteza wapinzani yanayoendelea sasa hivi?
  3. JamiiForums Tanzania je, wewe ni Mliberali au Mhafidhina?

    liberals vs conservatives waliberal wanaamini katika uhuru wa mtu binafsi, kila mtu ana uhuru wa kufanya kile anachoweza kufanya as long as hawadhuru watu wengine. walibaral wanaamini katika culture diversity, mjumuiko wa watu wa rangi tofauti tofauti na kaliba tofauti nk, ingawa wanaenda mbali...
  4. JamiiForums Tanzania Kama Tajiri "Bilionea' Diamond kakubali kuwa hata Yeye 'sometimes' huwa anachapiwa / anabanduliwa Mademu zake, Wewe ni nani ukatae kuwa husalitiwi?

    Kuna Clip moja inasambaa Diamond Platinumz ( Nasib Abdul ) anasema kuwa hata Yeye pamoja na kuwa na Hela na kuwapa kila Kitu Mademu zake lakini bado kuna Masela ( akimaanisha Sisi akina GENTAMYCINE ) huwa Wanamchapia / Wanambandulia Mademu zake na kwamba akigundua hilo basi nae kwa Hasira huwa...
  5. JamiiForums Tanzania Sasa wewe unataka Teuzi/ Umeteuliwa kisha unajifanya kutumia akili? Utaona sasa.

    Haya maneno yamenifikirisha sana. Aliyekuwa ananiambia ni Katibu Wizara flan. Na ni sababu nimemuuliza mbona jina langu halipelekwi kwenye teuzi mbalimbali nami tayari nina uzoefu nshafiri sana na mama na Elimu inaruhusu. Jamaa hakuuma uma maneno.kanichana live(watoto wa mjini mnasema hivyo)...
  6. JamiiForums Tanzania Rais wetu, mama Samia, ingilia kati mgogoro wa wafanyabiashara, watakuelewa wewe zaidi kuliko yeyote yule kwa sasa.

    Ombi kwa Rais wangu mpendwa mama Samia, nakuomba uongee na wafanyabiashara wa kariakoo kwa kuita viongozi wao wachache katika timu yao ya Uongozi, maana nadhani wamezingukana katika kutoa kauli, nakuomba Waite kesho Jumatano saa 4,asb, ongea nao kwa kifupi mno, na watakuelewa zaidi ya yeyote...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji nitafute mimi, biashara nianzishe mimi, wewe uamke uje kunitishia , eti ni serikali, dunia ni kubwa sio lazima kukaa kariakoo

    Maneno ya rafiki yangu mkinga . Kama mnavofahamu , mchakato wa kusimama kibiashara ni mgumu sana , serikali wao wanawaza kukusanya tu Kwa sera zao mbovu. Hakuna mfanyabiashara anaweza kukataa kulipa kodi hayupo , lakini kodi iwe stahimilivu inayoweza kulinda biashara yangu na sio tozo na kodi za...
  8. JamiiForums Tanzania TAFAKURI: Maana halisi sita (6) za muda. Je, wewe unaelewa nini kuhusu Muda?

    1) Muda u taratibu unaposubiri jambo. 2) Muda u haraka unapokuwa umechelewa kitu/jambo. 3) Muda u hatari sana unapokuwa katika hali ya huzuni. 4) Muda u mfupi mno unapokuwa katika wakati mzuri au furaha. 5) Muda u endelevu unapokuwa katika maumivu. 6) Muda u mrefu unapokuwa huna cha kufanya ama...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanamke au Mkeo huyo akiwa Mtukufu, yule aliyemuumba huyo Mkeo ambaye ni Mungu Yeye ataitwa nani?

    "Kwa Sisi baadhi ya Wanaume wa kiafrika tunadhani kumpa heshma Mkeo kama hii ni ufala au uzuzu,,kumbe hata Dini zetu na mafundisho yake yanatutaka tufanye hvyo!! Mke anahitaji utukufu", amesema Haji Sunday Manara Mhamasishaji Klabu ya Vibaka Tupu Kariakoo na Ilala. Sasa Mwanamke au Mkeo huyo...
  10. JamiiForums Tanzania Balozi za Tanzania kutakiwa kuwa na makazi ya kudumu na siyo kulipa kodi ni sawa?

    Kwa safu ya mama aliyopo nayo wengi wao wamekuwa wakilalamikiwa bungeni na wananchi kiujumla kuhusu ufisadi na utendaji wao kwenye wizara. Nilimsikia waziri January Makamba kuhusu balozi zetu zilizopo zimekuwa zikighalimu pesa kwa ajili ya kupangisha eneo kwa ajili ya balozi zetu. Wazo la...
  11. JamiiForums Tanzania Spika wewe ni kiongozi wa Mhimili wa Bunge, iache Serikali ijipambanie yenyewe sakata la sukari

    Katika hili sakata, 1. Inashangaza kwamba spika ndio umekuwa wa kwanza badala ya Waziri Bashe au upande wa serikali kumtaka Mpina alete uthibitisho au maelezo kwamba Waziri Bashe amelidanganya bunge katika suala la upungufu wa sukari na mchakato mzima uliofutia wa manunuzi ya sukari ya ziada...
  12. JamiiForums Tanzania Ingekuwa wewe ungefanya nini kwenye huu mkasa?

    Moja kwa moja kwenye kiini. Jana nimepokea simu kutoka kwa jiran yangu mahali nilipokuwa naishi.Jamaa ni mtu mzima anakaribia 47 ni vile tu anajitunza na hela ya kula haimsumbui kwa hiyo anaonekana kijana ila ni old school na pia alichelewa kuoa kutokana maisha yalimchelewesha. Ana mtoto wa...
  13. JamiiForums Tanzania Hali hii ya kuchukua mwingine akisifiwa huchochewa na nini hasa?

    Mwingine anasifiwa kwa uhodari au umahiri uliompendeza msifiaji, halafu mwingine huenda hata hahusiki, eti anachukia na kuumia moyoni kabisa mpaka anapata mihemko na ghadhabu, na wakati mwingine kwa kejeli, vijembe na mabezo kama yote na saa zingine hadi matusi... Hivi hali hii ya chuki dhidi...
  14. JamiiForums Tanzania Uporwaji wa ardhi utaisha lini dodoma? Naumia sana raisi samia alione hili

    Samahani . Poleni na kazi Waheshimiwa Natumaini mkheri wa afya Naomba msaada wako kwa kunisaidia mawasiliano ya simu ya viongozi hawa, 1.Waziri wa Ardhi wa Tanzania wa sasa Mheshimiwa Jerry Silapha. 2.Mheshimiwa .Poul Makonda Mi nilikuwa naomba msaada wenu kwenye jambo hili ili kisiharibike...
  15. JamiiForums Tanzania Mimi ni TEAM Hamas,Russia,Iran,Hizbullah,Houth Kama ndiyo na wewe njoo hapa tujuane

    Wana jamii kama kichwa cha habari kınavyosema hapa ni team hiyo hapo juu,kama una habari nzuri kuwahusu tafadhali tuletee hapa pia Tijuane!
  16. JamiiForums Tanzania Video: Ingekuwa wewe ungefanya nini?

    Mke anampiga Kibao Mama yako mzazi, halafu unaingilia nawewe unapigwa kibao pia. Ungechukua uamuzi gani? 📹 HabariMtandaoni
  17. L

    JamiiForums Tanzania Murtaza Mangungu nakushauri mtafute Wakili Msomi Llyod Nchunga akueleze aliondokaje Yanga ili na wewe uondoke kwa amani

    Njia wanazotumia wanasimba kukutaka ujiuzulu ni kelele za chura tu, pressure imekuwa kubwa kukufosi uachie uenyekiti kwa sababu umeshindwa kuleta furaha kwa wanasimba. Halafu umewaongezea machungu sana pale ulipokuwa ukihojiwa na waandishi wachovu wa Mawingu kwani ulikuwa ukiongea na jeuri...
  18. JamiiForums Tanzania Kama ni wewe utafanyaje

    Jamaa siku yao ya kwanza ya ndoa wakiwa kitandani akamuuliza mkewe "Una uhakika mimi ndiye mwanaume wa kwanza kulala nawe?" Mke akajibu "Ndiyo honey, wengine wote ilikuwa hatulali ni shughuli tu mpaka asubuhi". Bwana harusi kazimia
  19. JamiiForums Tanzania Kama Kompany ameweza kuwa kocha wa Bayern basi tambua hata wewe una nafasi ya kufikia malengo yako tu kwa viwango usivyotarajia

    We pambana pambana tu, mishe huzaa mishe nyingine kukuletea mishe nyigine kutoka katika mishe nyingine.
  20. JamiiForums Tanzania Wewe ni mnene mweupe? Natoa mahari milioni 5, ndoa mwaka huu

    Umri wowote,dini yoyote,kabila lolote, Kama ww ni mweusi au kimbaumbau no thank you!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…