wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Angetulia, nahisi angekumbukwa na wengi kwa kutuletea Katiba Mpya na zile 4R zake (kama angetimiza)

    Sioni sababu ya kuwasalimia kinafki wakati maisha yamekuwa magumu sana. Hakuna haki wala hakuna uhuru wa kukosoa wala wakujieleza. Hivi kwani angepungukiwa na nini kama angetuachia katiba mpya,wakati hakuwa na deni lolote akiwa kama ndiye top kwa kukaimu nafasi ambayo hana deni nayo kwa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Hatutapiga magoti kwa mtu yeyote, kama wewe ni kiongozi wa umma lazima ukubali ukosolewe

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa chama hicho hakiogopi vitisho, ukandamizaji wala hila dhidi ya wapinzani, na kitaendelea kusimama kidete kutetea haki, uhuru na maisha ya Watanzania wote Akizungumza Julai 23, 2025, wakati wa kutoa...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Je, Simu Yako Inakupeleleza Bila Wewe Kujua? Hizi Ndizo Settings Hatari Unazopaswa Kuzima MARA MOJA!

    Je, Simu Yako Inakupeleleza Bila Wewe Kujua? Hizi Ndizo Settings Hatari Unazopaswa Kuzima MARA MOJA! Katika zama hizi za kidijitali, kila swipe, kila app unayofungua, na kila sekunde unayotumia kwenye simu yako inaweza kurekodiwa — si kwa nia mbaya kila wakati, bali kwa ajili ya uchambuzi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Wewe Hafrey wewe

    Ndio nini sasa umefanya mpaka tunakimbia viota vyetu na kuahirisha ratiba zetu nyingi? Sasa unadhani tutachaguanaje kwa huu upuupu ulioumwaga? Sasa kila mtu anawashwa.. Nyumbani hapakaliki kijiweni hapatoshi Na ulivyo mbaya umekaa kimya tuli unatuchora tu na popcorn zako Kama hii ndio single...
  5. JamiiForums Tanzania Tuchanane: Mambo ambayo akifanya mtu aibu unaona wewe!

    Binadam alivyo leo kitabia na mwenendo ni zao la mambo 3. 1. Jenetiki alizorithi 2. Mazingira aliyokulia 3. Mazingira aliyomo. Tunakutana ukubwan, si vibaya tuambizane mambo yanayotia kinyaa kwenye jamii.(general bad manners). Haijalishi kwa makusudi au bahati mbaya. 1. Kuongea na simu sauti ya...
  6. JamiiForums Tanzania Wewe dada tambua sisi sio milima

    Dah! Sina mengi ya kusema ila wewe dada tambua sisi sio milima ipo siku tutaonana tena. Mimi sio wa kunilia hela yangu ya nauli au kwa kua nilijiongeza nikakutumi kibunda, mbaya zaidi unazima simu huku status umepost wimbo wa Diamond eti aibu yahani haya naona mimi tumekutana leo eti kaniamini...
  7. JamiiForums Tanzania Et Muliro anasema "MTU aliyejitambulisha kua ni Polepole wewe Muliro Wewe, Mpe Heshima yake !!.

    Akiongea na vyombo vya habari kuhusu Sakata La Dada wa Aliyekua Balozi Cuba, Katibu mwenezi CCM , Mh Polepole, Leo Afande Muliro anamuita "Et MTU aliyejitambulisha ' Wewe Muliro Wewe utadhan unafanya kazi ya kutukuka wakati Mzee Kibao aliuliwa na Watu wenye Bunduki walomshusha Ndani ya Bus...
  8. JamiiForums Tanzania Ghafla kila mtu arudi mkoa aliozaliwa wewe utarudi mkoa gani ?

    Ghafla kila mtu arudi mkoa aliozaliwa wewe utarudi mkoa gani ?? Kwangu mimi nitarudi kigoma ndio nilipo zaliwa Sijui wewe ?.....
  9. JamiiForums Tanzania Pengine huu ni uzi wa mwisho kuandikwa na mimi kukuhusu wewe kipenzi changu Marry

    Tangu tumekubaliana kuhusu ndoa sikuoni ukilifurahia hili jukwaa kama zamani, nadhani huu ni utii kwangu mume wako mtarajiwa na utii kwa ajili ya ndoa pia. Nilitegemea mwezi huu nikipokea rejesho ndiyo niibuke huko jijini daresalama lakini mipango sio matumizi mambo hayakwenda sawa. Niseme tu...
  10. JamiiForums Tanzania Aviola part ii inaendelea hukoo USA TRUMP MGENI RASMI WEWE PATAMU

    Chelsea nipeehaha nipeee rahaha bababaaaaa
  11. JamiiForums Tanzania Gambo , usijisikie vibaya , mwambie mke wako apige chaki na wewe uendelee na kilimo.

    Pole Sana Gambo. Najua mke wako sasa anarudi kupiga chaki. Ila usivunjike moyo karibu katika kilimo cha mananasi ,papii , oliento sasa mlemavu ududu yaani.
  12. JamiiForums Tanzania Nchi hii viongozi wengi ni wanafiki, unaagiza wenzako wachujwe ila wewe hutaki uchujwe

    Aman iwe nanyi Mwaka huu 2025 ni mwaka wa Uchaguzi. Kama tunavyojua hiki kilikua kipindi ambacho Hayati Magufuli ikiwa angekuwepo angekabidhi kijiti kwa Rais mwingine ambaye ndo angekua Rais wa Awamu ya Sita, yakatokea yaliyotokea Mzee wa Watu mwili ukarudi katika mavumbi, mwili ukarudi katika...
  13. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, wewe mtia nia akikatwa unafurahi ama unachukia? Piga kura

    Haya tupate maoni yako
  14. JamiiForums Tanzania Je ulijisikiaje ukisemwa na watu kwa maneno ya uzushi / uongo / husda / chuki, na watu...mpaka ukijitazama kwenye kioo unasema sio wewe?

    Uzushi, husda na chuki vinaumiza sana – si kwa nguvu ya maneno yenyewe, bali kwa jinsi jamii inavyohukumu bila kuuliza. Lakini pia, hali hiyo inaweza kuwa chachu ya mtu kuamka, kujiamini, na kujitengeneza upya kwa uthabiti zaidi. NAFSI inajiuliza . "Nimekuwa nani? Mbona wanasema hivi juu yangu...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako?

    Hey people, Happy weekend Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako? Ile moja ambayo deep down unajua huyu ni wewe,bila kujali maoni ya wanaokufahamu Mimi deep down najijua ni mtu mwenye aibu kali sana inayopelekea kuonekana kama mpole Japo najitahidi sana kuacha kuwa hivi hasa...
  16. JamiiForums Tanzania Katika MAISHA usichukulie kawaida , wenzako wanasukuma Mipira kama hii huku wewe unapewa baiskeli.

    Be smart Nigga , wenzako wanakaa katika mipira Kama hiii then wewe unapewa Baiskeli Jitambue.
  17. JamiiForums Tanzania Ukiona hizi dalili jua umeshaachwa unasubiriwa wewe kujitangaza tu

    Dalili za kuachwa au kwamba uhusiano unaelekea kuisha mara nyingi huanza kwa mabadiliko madogo ambayo huongezeka polepole. Hizi hapa ni dalili za kawaida zinazoashiria kuwa huenda mwenzi wako anapanga kukuacha au tayari amepunguza mapenzi katika uhusiano: 1. Mawasiliano Kupungua Sana Hataki...
  18. JamiiForums Tanzania Na Wewe pia unaondoka lini Simba SC Kwetu kwani licha kwamba una Nuksi Isiyotibika kwa Mizimu yote lakini binafsi nakujua Wewe ni mwana Yanga SC 100%

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amesema kocha wa kikosi hicho Fadlu Davids anahusika moja kwa moja na kutoongezwa au kuvunjwa kwa mikataba kwa baadhi ya wachezaji wa klabu hiyo wakati huu ambao wanajiimarisha kuelekea msimu ujao Akizungumza leo jijini Dar es Salaam, Ahmed...
  19. JamiiForums Tanzania Na wewe Ulikuwa Ulikuwa Unalijua Hili!?

    Watu Wengi Wanafatilia Mpira na Kuijua Club Ya As Monaco ambayo Hivi Karibuni Imemsajili Ansu Fati Na Kiungo Paul Labile Pogba. Lakini Hawajui Kuwa Monaco 🇲🇨 ni Nchi ambayo inaongozwa Kifalme , Mji Mkuu Wa Monaco ni Monte Carlo , Ina matajiri Wengi , Huku watu wanaponda Starehe za Hali ya Juu...
  20. JamiiForums Tanzania Wewe ni nani ?

    Je, wewe ni matokeo ya mazingira yako, malezi yako, au uchaguzi wako?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…