wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dawa ya Mpenzi anayekujibu dharau au ambaye hana muda na wewe ni hii hapa

    Wajomba na Mamshangazi habari zenu. Mahusiano yanachangamoto nyingi sana, ukiona mahusiano yako yamesimama imara na hujawahi pitia changamoto kama hizi siku ikikukuta utatamani kuzimia. Baadhi ya mahusiano yanapitia changamoto hizi. 1. Kunyamaziwa kimya kwa siku 2 hadi 3 2. Kujibiwa majibu...
  2. JamiiForums Tanzania Kipimo cha kujua wewe ni maskini ni namna unavyoishi na familia yako hapo nyumbani "Pastor Mgogo

    Kipimo cha kujua wewe ni maskini ni namna unavyoishi na familia yako hapo nyumbani "Pastor Mgogo UMEELEWA EEH NGOJA TUZIKE KWANZA NTARUDI TENAAAAA
  3. JamiiForums Tanzania Wewe na simu yako ni nani anayemiliki mwenzake?

    Tuseme ukweli bila kupepesa macho Unalala nayo kitandani Ukiamka kitu cha kwanza ni kuiangalia Ukiisahau nyumbani, siku yote unakuwa kama umetupwa kisiwa cha peke yako Battery ikishuka chini ya 20% moyo unaanza kukudunda kama una deni. Bundle likiisha kwa baadhi ya watu bora asinunue chakula...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kama mwanamke wako anamwita mchungaji wa kilokole "Daddy" kaa nae mbali, huwezi kumshauri wala kueleweka, ameshaamua nani anamwongoza

    Siku hizi imekuwa kawaida kabisa kuona wanawake wa kilokole wakipost picha za wachungaji wao kwenye status huku wakisema “DADDY” – yaani “Baba yangu.” Hawa wachungaji ni wale wa kilokole wanaosifika kwa miujiza ya kustaajabisha kama kuuza mafuta ya upako, keski za upako, kujaza gesi ya mtungi...
  5. JamiiForums Tanzania Je wewe ungafanya nini?

    Baada ya miaka 12 ya kutafuta bila mafanikio, hatimaye James Howells ameamua kuachana rasmi na jitihada zake za kuipata diski kuu (hard drive) aliyotupa kwa bahati mbaya mwaka 2013. Ndani ya diski hiyo kulikuwa na takribani Bitcoin 8,000, ambazo kwa sasa zina thamani ya takribani dola milioni...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa mwanaume, biashara gani ni nzuri kumfungulia mapenzi wako?

    Toa sababu na maslahi yapi kwa familia Yako 👇👇👇
  7. JamiiForums Tanzania Je? Umri wako ni sahihi na watu wanavyokudhania?

    Mm ni kijana wa 96 hivi lakini watu wengi huniona na kunikadiria mm kama kijana wa 80.
  8. JamiiForums Tanzania Madereva hapa ku overtake ni salama?

    Wakuu, nipeni jibu hapo chini kama ni wewe unge overtake hapo?
  9. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni 80s na 90s kid na haukuangalia hizi movies utotoni wakati unakuwa basi labda ulikulia msituni

    1: Rambo (1, 2, 3) 2: Predator 3: Commando 4: Sarafina 5: Neria 6: Blood sport 7: Enter the dragon 8: Drunken master 9: Rocky 10: Tai chi master 11: Lion king 12: Titanic 13: Anaconda 14: Coming to america 15: Blade 16: Friday 17: Scarface 18: Terminator (1, 2) 19: Deadly prey...
  10. JamiiForums Tanzania Kunizungusha sana sio kama ndio nitakuona wewe sio Malaya au sio rahisi

    KUNIZUNGUSHA SANA SIO KAMA NDIO NITAKUONA WEWE SIO MALAYA AU SIO RAHISI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya mambo ambayo yananifanya nimshushe mwanamke nyota zake hasa za kiutambuzi na kumwona ni wale wanawake wa standard za kawaida ni kuwa na mtazamo usemao kuwa kumzungusha mwanaume au...
  11. JamiiForums Tanzania Watu huja na kuondoka, utabaki wewe na Familia yako, hata Mti huchipusha nà kupukutisha, Using'ang'anie Watu

    WATU HUJA NA KUONDOKA, UTABAKI WEWE NA FAMILIA YAKO. HATA MTI HUCHIPUSHA nà KUPUKUTIAHA MAJANI. USING'ANG'ANIE WATU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya kosa ambalo utalifanya ni kutokutambua kuwa watu ulionao sasa hivi wapo lakini hautakuwa nao siku zote. Watu huja na kuondoka. Kanuni...
  12. JamiiForums Tanzania Haijalishi katumika au katembea na wangapi kama sasa anakupenda wewe nini kingine unataka?

    Wewe sio wakwanza wala wa mwisho kukupenda au wapekee kwake. Alishawai kupenda kabla pia anaweza kupenda tena. Lakini kama sasa hivi anakupenda wewe nini kingine unachotaka? Yeye sio mkamilifu wewe pia. Nyie wote wawili hamuwezi kuwa wakamilifu. Alikuwa na nani hapo zamani au atakuwa na nani...
  13. JamiiForums Tanzania Wewe unatumia pombe zipi??? A. Pombe za Asili B. Pombe za Kiwandani

    📌 Kwenye jamii ya Sasa Kuna wimbi kubwa la ulevi wa tofauti tofauti... Kuna ulevi wa pombe, uvutaji wa Bangi, sigara na madawa ya kulevya pia. Ukiachana na vilevi hvyo vingine kwenye kilevi Cha pombe wewe unatumia pombe zipi?? Za kiasili au za viwandani??
  14. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni ajenti wa shetani usisome mada hii, utalia.

    Narudia tena: kama wewe ni ajenti wa shetani usisome mada hii, utalia. Umenielewa? Nasema hivi: kama wewe ni mtumishi wa ibilisi, ukisoma mada hii, utatoa machozi kwa sababu mada hii inafunua ukweli utakaopenya hadi kwenye mifupa. Mada hii itakutikisa, itakutetemesha na kukufanya uache ushirika...
  15. JamiiForums Tanzania Katika utendaji wako wa kazi, wewe ndio unayetafuta au wewe ndio unayetafutwa?

    Unaweza kujipima thamani ya utendaji kazi wako kwa jamii; wengi tunaamini kama wewe ndiye unayetafutwa ili kutatua jukumu fulani, inaonyesha wewe ni mbobezi na unakubalika katika eneo hilo. Usipokuwa eneo la kazi, unapigiwa simu nyingi na mabosi zako; hiyo inaonyesha uwezo ulionao katika...
  16. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni makini?

    Andika sababu ya umaskini wako na njia za utatuzi👇👇👇
  17. JamiiForums Tanzania Na wewe unamfuatilia RECHO (Rachel) wa TIKTOK?

    Kuna dada anajiita "Rachel" anadai anaishi Japan watanzania wengi inasemekana wanamfuatilia huko TikTok kwa kunyatia...😀😃😆😄 Na wewe unamfuatilia yule Recho wa TikTok?
  18. JamiiForums Tanzania Haki kwa wapanda Mlima Kilimanjaro, kama wewe ni mdau soma na ushiriki

    We are going to lose the rights of mountaineers and the entire tourism industry in general. We are the Mountain Workers Advocacy Union (MWAU) — a powerful collective voice for porters, guides, and cooks on Mt. Kilimanjaro. We stand for dignity, justice, fair contracts, and safe working...
  19. JamiiForums Tanzania Huwezi kuwa mtu halali kuidhinisha kitu halali ilhali wewe mwenye 'sihalali' Yani hujapatikana Kwa haki

    Nafikiri shida ndo ipo hapa. Na uhuni huu tukienda nao miaka mitano ijayo. Taifa lote linaenda kuwa la si kuhalali na hakuna haki itatamalaki nchini Kwa sababu tutakuwa na reference ya number 1 kama mtu hakupita kwa haki. HATUA STAHIKI ZIFANYIKE SASA.KAMA TAIFA. NI MUDA WA KUWEKA MASLAHI...
  20. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Wewe unayenihoji mie sikusema wakati wa awamu ya 5, wewe ulisema awamu ipi?

    Balozi Humphrey Polepole awacharukia wanaohoji kwanini anayoyasema sasa ikiwemo masuala ya utekaji hakuyasema awamu ya tano, Je wao wamewahi kusema kwenye awamu ipi? Ametolea mifano kadhaa ambayo chama cha mapinduzi kipindi cha John Magufuli walikemea utekaji na mauwaji ikiwemo yaliyotokea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…