wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Wewe siyo Rais wangu!

    Ndiyo, wewe hapo kwenye hiyo picha. Wewe siyo rais. Hujashinda uchaguzi wowote ule na unalijua hilo na kila mtu analijua hilo. Hujapigiwa kura na watu milioni 31. Hujapata 97.6% ya kura zilizopigwa kwa sababu hakuna kura zilizopigwa. Hilo unalijua kabisa hata ujikaushe namna gani. Huna...
  2. JamiiForums Tanzania Kama unapinga udhalimu wa CCM hapa JF Kuwa makini, Kuna makachero wa utekaji. Usitoe namba yako ya Simu humu

    Habari wana JF. Siku imekucha na makucha yake. Kama ilivyo saivi hali si shwari kabsa, roho za watanganyika zinawindwa kila sehemu, si Kijiji, mnjini wala mitandaoni hali ni mbaya mno. Kwa mantiki hiyo naomba niwape tahadhari hasa wale ambao tunapaza sauti zetu kwa njia ya maandishi na...
  3. JamiiForums Tanzania Sasa wewe Murilo, Umeshasema Umemkamata Niffer, Lakini mpaka Sasa Ndugu wanazungushwa Kila Kituo, Hizi Degree zenu za Sheria mnazinunuaga?

    Katika jambo ninaliliamini 100% Mapolisi wengi aina ya Muliro, Mafwele na genge lao , Huwa Elimu zao ni za kuunga unga sana, Wakiwaga chuoni Wanaishia Kuhonga na kununua Mitihani . Unaweza jiuliza, Muliro kasema wamemkamata Niffer, lakini bado Mpaka muda huu Ndugu wa Niffer Wanazunguka Kila...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu ni kweli uchawi upo ? Weka tukio hata moja lililowahi kukuta wewe, sio kusikia kwa wengine au vijiweni

    Siamini uchawi, Hakuna uchawi
  5. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwako wewe ambae hutatoka kupigania nchi tarehe 29, soma hapa

    Tarehe 29 Si kila shujaa huvaa viatu vya kupiga hatua barabarani. Wengine wanapigana ndani ya mioyo yao, wakijitahidi kuamini kuwa nchi hii bado inaweza kubadilika. Kama wewe ni mmoja wao yule ambaye hatatoka tarehe 29 basi soma haya kwa moyo wote. Tunaishi nchi ambayo ofisi zimekuwa masoko ya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hivi sasa karudi nchini kwake. Ninakushangaa wewe mtanganyika unayesurubu watanganyika wenzako kwasababu yake

    Amerudi nchini kwake rasmi na atamalizia kampeni zake huko. Halafu wewe mtanganyika umebaki nchini kwako ukiwapiga ndugu zako watanganyika kwasabb ya kulinda madaraka "yake". Hebu tuweni na uchungu wenye wivu juu ya nchi yetu Tanganyika ili waifaidi watanganyika. Sisi tumegeuzwa mateka na mtu...
  7. JamiiForums Tanzania Usiku huu wewe na mkeo au mpenzio mko mnatumia style gani kukulana?

    Sisi tumetumia kifo cha mende. Nyie je?
  8. JamiiForums Tanzania Wewe ungefanyaje?

    Ilikuwa 2021 nakumbuka ilikuwa mwezi wa 4, humu jamii forum nilikutana na binti mrembo hivi, Siku Moja nikiwa online usiku saa sita, yeye ndo alinitumia ujumbe PM, " wewe mtu hulali tu"? Na Mimi nikamwuliza "mbona wewe hujalala" akasema Hana usingizi, tulichat kidogo nikawa nimelala, kesho yake...
  9. JamiiForums Tanzania Je, Ni changamoto ya afya ya akili?

    Mfano mdogo ni hawa watu humu ambao kila kukicha wanaunga mkono serikali hii yenye makandokando, Serikali hii waiungayo mkono imeifungia JF, Lakini wao wanatumia VPN kuendelea kubangaiza humu.... Sasa unajiuliza huyu mtu gani ambae anashindwa kuitii hata serikali anayoiunga mkono!!? Mtandao...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Bro, ondoka hapo kijijini usibweteke, Wakati mwingine sio wewe, ni mji huo mdogo unaokuzuia kufika mbali

    Sina maana ya kusema maisha hayawezekaniki kabisa kwenye miji midogo lakini there is a good chance of you kutoboa ukienda nje ya mji. Mji mdogo unaweza kukufanya ujihisi salama (confort zone), hata hivyo unaweza kukubana kwa ndoto zako zikose pumzi huku ukioza taratibu. Katika maisha, mara...
  11. JamiiForums Tanzania Usishindane na watu katika maisha bali shindana na wewe wa jana

    Nimeamua kuandika uzi huu kutokana na yale ambayo yananisikitisha sana nionayo katika jamii yetu Huwa tunapenda kushindana na watu katika maisha yetu bila kujua kwamba mwisho wa siku tunajiumiza wenyewe na kuathirika sisi wenyewe. Katu hata siku moja wanadamu hatuwezi kuwa sawa,ridhika na...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Mr. Tabasamu usijisahaulishe. Nakukumbusha baada ya uchaguzi kituo kinachofuata ni wewe.

    Mipango yako tunajua hujaisitisha. Kule kujishusha kwako tunajua ulikuwa mtego lakini mtego mabua usioweza kumkamata hata panya. Nakukumbusha tuu baada ya huu uchaguzi kituo kinachofuata ni wewe. Kama unafikiri 2030 utamweka yule kijana wako hilo wazo futa. Nitazame hivihivi ukiniona. Habari...
  13. JamiiForums Tanzania Huwezi kumuabudu Mungu wa kweli halafu ukaogopa kutetea haki au kupinga waovu. Utakuwa humjui Mungu

    HAUWEZI KUMUABUD Mungu WA KWELI ALAFU UKAOGOPA JAMBO DOGO NA RAHISI LA KUTETEA HAKI AU KUPINGA WAOVU. UTAKUWA HAUMJUI MUNGU WEWE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Mungu haabudiwi na watu waoga. Mtu mwoga atakuwa na sifa nyingine mbaya ya unafiki. 2. Ni rahisi Muuaji na mtekaji au muuza...
  14. JamiiForums Tanzania DC Magoti unataka kuwafanya wenzako viwete kwa kutetea haki zao. Wewe aliyekufanya kiwete ulikuwa unatetea jambo gani muhimu?

    DC MAGOTI UNATAKA KUWAFANYA WENZAKO VIWETE KWA KUTETEA HAKI ZAO. WEWE ALIYEKUFANYA KIWETE ULIKUWA UNATETEA JAMBO GANI MUHIMU? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Magoti kiukweli umenifurahisha sana uliposema utawageuza watu wawe viwete. Naamini upo proud kuwa hivyo ulivyo. 2. Sijui historia...
  15. JamiiForums Tanzania Toleo jipya na Kali mno,kama wewe ni Mfugaji wa Kuku,hii sio yakukosa,zaidi ya Wafugaji 1,000 wa Kuku wanaitumia, wewe unasubiri nini?

    🚀 Tulianza kutengeneza Fuga App tukiwa na lengo moja,kufanya ufugaji wa kuku kuwa rahisi,wa kisasa na wenye faida zaidi. Leo, tunafurahi kusema tupo hatua moja karibu zaidi na ndoto hiyo ila kuwasaiddia wafugaji wa Kuku💚 Tunawatambulisha Fuga App toleo la 2.0! Toleo jipya lililotengenezwa na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mzee Warioba una jukumu kubwa la kusuluhisha hili Taifa, wewe pekee ndo mzee unakubalika na umma

    Baada ya Kauli ya mzee Butiku, ambaye naamini atakuwa ametumwa na watu wa mfumo ili kumkana afande Tesha, mimi nimuombe tu mzee Warioba kuwa yeye peke yake kwa sasa ndiye akiongea kitu umma utamsikiliza, namshauri asichukue upande, asimame kama msuluhishi na ajiepushe kuuza mtaji huu muhimu...
  17. JamiiForums Tanzania Google Maps Local Guide: Uwa napenda sana kuacha review kwenye kila sehemu niliyotembelea. Wewe je?

    Wakuu. Google Maps kila mtu anaitumia. Mfano unaenda Kilosa, unataka ujue wapi utalala au utakunywa bia au ofisi flani ipo wapi bila kuuliza wenyeji, Google Maps anakusaidia. Pia kupitia Maps, unaona reviews mbalimbali katika iyo sehemu, ambazo zinatolewa na wateja au watu waliowahi...
  18. JamiiForums Tanzania Ungekua ni wewe umeletewa hii kesi ya jamaa yangu na mkewe ungeisuluhisha vipi?

    Kuna jamaa yangu kanishirikisha kisa chake na mkewe ili nimpe ushauri. Kisa chenyewe ni hiki,huyu jamaa yangu alisafiri kikazi huko mkoani akakaa kama wiki tatu hivi. Sasa karudi juzi home kwake kakuta mkewe kajinyoa mavvvvzi yote. Jamaa anasema utaratibu wao waliojiwekea ni kuwa wananyoana...
  19. JamiiForums Tanzania TANZANIA inakutegemea wewe mzalendo wa kweli

    Watumishi wote mnao husika na Serikali moja kwa moja TAKUKURU Tujitafakali Polisi Tujitafakal JWTZ Tujitafakali Magereza Tujitafakali Usalama wa Taifa Tujitafakali Watanzania TUJITAfakari! wote kwa ujumla wetu watanzania Leo mali za nchi zinaporwa kwa dharau na ujasiri wa hali ya juu. Ufisadi...
  20. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni Mfugaji wa Kuku,Fuga App ni Muhimu Shambani kwako

    Kama wewe ni Mfugaji Kuku ,Fuga App inakusaidia Kufuga kwa Uhakika kwa Kuepuka hasara zinzazotokana na Kulisha zaidi au kuwapunja Kuku,kwa kukupa ratiba ya Chakula kila siku. Simamia Shamba lako kisasa ,Achana na Stress za kuibiwa chakula lini chakula Kinaisha,Uza bidhaa zako kwa Faida kwa Kujua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…