wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. Anaye fahamu walipo jamaa wenye mashine za kukunja plate kwaajili ya kutengeneza milango ya kisasa ya chuma.

    Habari wana jf, Kama title inavyojieleza hapo juu. kiufupi nimefungua ofisi ya kuchomelea , sasa nimeona design nzuri ya milango ya kisasa nikataka nianze kuiunda ndipo nikagundua naitaji machine ya kukunja na kuweka urembo kwenye chuma. Kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu uwepo wa hao jamaa...
  2. Wanawake wenye tattoo wanapatikana wapi?

    Habarini Mimi ni mwanaume mwenye umri mkubwa tu na nina zaidi ya miaka 25 nipo Dar es salaam, nimeshawahi kuwa kwenye mahusiano na wanawake mbali mbali lakini sijawahi kukutana na mwanamke mwenye tattoo. Nachojiuliza mbona mitandaoni nawaona sana, kwenye tattoo artists nawaona sana. Je...
  3. O

    Watu Nane Wauawa kwa Risasi na Watu Wenye Silaha Wanaodhaniwa Kuwa Al-Shabaab Kaskazini mwa Kenya

    Hali ya taharuki na hofu imetanda miongoni mwa wakazi wa maeneo ya mipakani kufuatia tukio la kusikitisha ambapo watu nane waliripotiwa kuuawa kwa kupigwa risasi. Shambulizi hilo lilihusisha watu wenye silaha kali wanaodhaniwa kuwa wanamgambShabaab, jambo ambalo limezua wimbi la majonzi makubwa...
  4. Wazazi wenye watoto wenye changamoto za kiafya au ukuaji, mnawezaje kuishi na hali hii kila siku?

    Kuna jambo limekuwa likinigusa sana moyoni na nimeona nililete hapa JF nipate mawazo na uzoefu wa wadau. Kila ninapokutana na mtoto mdogo mwenye changamoto za kiafya, ulemavu au ukuaji, huwa moyo wangu unaumia sana. Wakati mwingine najikuta nimeshindwa kujizuia kulia. Huwa najiuliza, hivi...
  5. D

    Je, wanasiasa wanasauti kubwa kuliko wananchi ambao ni wenye nchi?

    Sijui ni umbumbu wangu wa kutojua sheria ama ni mtazamo wangu? . Nionavyo mimi wanasiasa wanasikilizwa sana kuliko wananchi , mfano tumeona kesi ya Lissu inaonesha mashirika mbalimbali yamekuwa yakiifuatlia utasema huko gerezani nchinin Tanzania mfungwa ni mmoja peke yake? Pia kuna wananchi na...
  6. Nadhani watamfunga. Sio kwa kujaza mapolis wenye siraha hadi huku mikoani

    Habari ndo hiyo. Kwanini wamejaza maaskari hadi huku mikoaani wanazagaa mitaani? Something smells offal
  7. Unaweza kuhisi kujenga mazingira rafiki kwa watu wenye ulemavu ni kwa ajili ya majengo ya Umma pekee

    Kumbe hata unapojenga nyumba yako binafsi lazima uzingatie Kuwa ni rafiki kwa watu wenye mahitaji maalumu sababu maisha hayana guarantee maana unaweza kujikuta wewe mwenyewe mmiliki unakuwa mlemavu. Ukianza kutumia Wheelchair ama magongo utaweza kufika restroom na kujisitiri.
  8. L

    Mwaka Mmoja madarakani Wa Rais Samia umekuwa wenye Matumaini Tabasamu Furaha na Mwanga Mpya kwa Taifa letu . Hakuna Aliyeachwa Nyuma

    Ndugu zangu Watanzania, Ni Mwaka Mmoja Wa Rais wetu Mpendwa Kitini ,Ni Mwaka Mmoja madarakani,ni mwaka mmoja mamlakani ,ni Mwaka mmoja Ofisi kuu ,ni mwaka mmoja wa utumishi wa umma uliotukuka ,ni mwaka mmoja wa kutoa majawabu toshelezi ,ni mwaka mmoja wa mafanikio . Ni Mwaka mmoja ambao hakuna...
  9. Dunia imechafuka

    Dunia imechafuka: Ndugu wanajamii forum kiukwel dunia n uwanja wenye tamaduni ,itikadi ,hisia na tabia za Kila namna ,Leo utasikia nchi yetu au mataifa mengine n ugomvi wa kisiasa ,mara utasikia mauaji ,mara umalaya mara ushoga ase hii n hatari,,Kuna msemo unasema God made man ,Man made...
  10. G

    Wanawake wengi wenye magari wasio na biashara ni Malaya Grade one hata kama ni mke wa mtu fuatilia Kwa makini

    Wanawake ni watu wachungu sana kwenye kituo Hela za matumizi hata Kwa mambo yanayowahusu wao wenyewe. Hivyo ni vigumu sana kugharamia gari mafuta na maintenance za mara Kwa mara . Mshahara wake wa laki Tano umwambie atoe laki tatu Kwa ajili maintainance na mafuta ya gari ni ngumu sana Wakati...
  11. Wanaopiga kelele mitandaoni kukemea ushoga ni watu wenye msongo wa mawazo. Mtu ambaye mambo yake yako 🔥 hawezi kupoteza muda kisa watu kupakuana

    Unataka waache kupakuana wakupakue wewe? Juzi jamaa mmoja aliyefukuzwa kazi polisi nilikuwa tunapiga naye story na nikasema Mimi nimewahi kukwepa mitego kadhaa ya mashoga walitaka niwapakue. Mashoga 3 live kabisa watu ambao huwezi kudhani kuwa kipa kahama golini. Na wengine huko mitandaoni...
  12. Wakati wa masika ndiyo wakati sahihi wa kununua kiwanja,kwa wenye hofu ya mazingira.

    Wakati wa masika utagundua kwa usahihi kama eneo au kiwanja unachonunua panapitika au la! utagundua kama ni kwenye madimbwi ya maji au la! Utagundua kama ni kwenye chemichemi ya maji au la! Utagundua kama ni kwenye njia ya maji au la! Utagundua kama ni kwenye majaruba au la.....! Kama unaweza...
  13. N

    VIDEO: Hili shangwe la Shaka!! Shaka Hamdu!! Shaka!! linatupa picha gani sisi wengine wenye mamlaka?

    Maana halisi ya kiongozi ni mtu anayewaongoza, kuwaelekeza, kuwahamasisha na kuwajibika kwa ajili ya watu anaowaongoza ili kufikia lengo au maono fulani. Kiongozi si mtu mwenye cheo au mamlaka tu, bali ni mtu mwenye uwezo wa kuonyesha njia, kutoa mfano mzuri na kubeba wajibu wa maamuzi yake...
  14. U

    Mhubiri mtata Nigeria, Yahaya Masussuka, aliyepinga hadithi za Mitume mohamed na kusisitiza kuwa quran tukufu inatosha auawa kwa kupigwa risasi

    Mhubiri mtata nchini Nigeria, Yahaya Ibrahim Masussuka, mwenye miaka 47, amepigwa risasi na kuuawa na watu wenye silaha waliomvamia nje ya nyumba yake katika Jimbo la Katsina, kaskazini mwa Nigeria. Tukio hilo pia liligharimu maisha ya msaidizi wake. Masussuka alijulikana sana kwa msimamo na...
  15. M

    Leo kuna nini, Mbona Barabara ya Morogoro Road hasa maeneo ya kimara mpaka ubungo kuna magari makubwa ya Polisi pamoja na polisi wengi wenye silaha?

    Toka majira ya asubuhi ,nimeshuhudia uwepo wa askari polisi wengi wenye silaha kwenye hii barabara! Je kuna shida yoyote?
  16. Kwanini wanaume wenye ngosi nyeusi wapo obsessed na wanawake wanene. Ni fetish ambayo imerithishwa na kupokelewa vizazi na vizazi

    Yaani ni makebo makubwa juu ya makebo makubwa haijalishi mtu mweusi anaishi wapi
  17. Naomba watu wenye uelewa wa juu wanijibu haya maswali mawili

    Ukichukua Chupa ya lita 1 au lita 1½ ya Plastiki yenye maji ya moto let say 30/35 au 40 degrees Celsius, ukaiweka kweenye ndoo yenye maji ya lita 20 ya baridi. Utagundua kwamba hii chupa yenye maji ya moto baada ya kuizamisha kwenye ndoo ya lita 20 yenye maji ya baridi kwanza itaenda mpaka...
  18. Kwanini wanawake mnawakataa wanaume wenye upwiru,,,?

    Eeeeh aisee nimekumbuka kuna demu kipindi fulani nilimchombeza kuwa namtaka akapiga chenga alafu anauza glocery kwahiyo hiyo siku nilikiwa mimi na washkaji zangu kama wawili hivi. Na hiyo sehemu tulioenda na hao jamaa zangu kama mara nne hivi ila katika hizo mara nne siku moja ndiyo nikapata...
  19. Utawala wa mmoja wa matapeli waovu na wenye kiu ya damu zaidi katika karne ya 21 hatimaye umefika mwisho.Kwa heri Netanyahu

    Wanaukumbi. 🇮🇱 NETANYAHU KUONDOKA TEL AVIV IMEANZA KUSHEREHEKEA Vituo vya kupigia kura vimefungwa. Tel Aviv imelipuka kwa sherehe za upinzani. Kulingana na matokeo ya kura, kambi ya Netanyahu imeshindwa kupata wingi wa kura. Upinzani na vyama vya Waarabu sasa vinaweza kuwa na nguvu ya kuamua...
  20. Wans JF wenye mienendo mibaya

    La haula. Ningependa nitoe salamu kwanza mdugu zangu je hamjambo. Kama mjuavyo huu ni mtandao mkubwa sana na unakutanisha watu mbali mbali wanaume kwa wanawake sasa mimi niko na swali kidogo je wana jf kwa wana jf kuna waliowahi kukutana humu wakaanzisha mahusiano na wakafika mbali hadi kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…