wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Biashara yako kwenye eneo lenye wateja wengi! Kariakoo!

    Je, unatafuta sehemu sahihi ya kukuza biashara yako? Hii ndio nafasi ambayo umekuwa ukiisubiri. 🏢 Jengo jipya kabisa, lenye muonekano wa kisasa na mazingira yenye mzunguko mkubwa wa wateja (high foot traffic). Biashara yako itapata mwonekano na uhai unaostahili. 🔹Maduka yanapatikana kuanzia: •...
  2. JamiiForums Tanzania Pasipo kujijua, watu wengi wanaamini katika nguvu za giza kuliko nuru

    Habari familia yangu ya JF, Katika hali ya kushangaza lakini yenye ukweli mkubwa kuna kundi kubwa sana la watu wanaamini katika nguvu za giza zaidi ya wanavyoamini uwepo wa Mungu, pamoja na ukuu na uwezo wake. Jambo la kuvutia ni kwamba, watu hawa si wageni wa ibada. Wapo wanaohudhuria...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wengi wa Tanzanian wamesoma nchi za magharibi. Hawajui vizuri historia ya dunia

    Ktk akili zao wanaamini nchi za magharibi zitakuwa na nguvu mpaka dunia inaisha. Wamelishwa aina flani ya msimamo na propaganda Hawajui historia vizuri. Wamezaliwa wameona basi akili zao zinaishia hapo
  4. JamiiForums Tanzania Wanasiasa wajanja wengi wamejificha, kidole mdomoni, wanaadabu. Onyo la MO29 ni mpumbavu pekee anaweza kulipuuza

    Hamjambo wote! 1. MO29 ilikuwa ni mawingu. Ilionyesha uwezekano pasipo uwezekano. 2. Uliwahi kujiuliza kama MO29 ingefanikiwa walau kwa asilimia 50% nini kingetokea? Najua sio Kila MTU anaweza ku-project matukio, lakini ninakuhakikishia ukweli ni kuwa MO29 ingefanikiwa walau kwa 50% mpaka...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wasomi wengi wa dini ya kikiristo ni weupe sana ktk uchambuzi wa kimataifa

    Wengi wao hawajui sana dunia inavyoenda na huwa wanabase sana ktk maswali ya dini. Tofauti na wavhambuzi wa dini ya kiislam. Wengi wanaolikwa media za kimataifa ni wa dini ya kiislam Mfano vita na migogoro ya urusi na ukrain na mashariki ya kati. Wasomi wa dini ya kiislam huwa hawabase, huwa...
  6. JamiiForums Tanzania Ni kipi hasa huchochea vijana wengi kupendelea kuvaa suruali au kaptura chini ya makalio yao?

    Yaani unakuta kijana anahanhgaika kuipandisha suruali au kaptula yake aliyoivaa chini ya makalio yake utadhani kweli anaipandisha kiunoni kumbe anajaribu tu kuwaonyesha wanaomtazama kwamba kaivaa nguo hiyo chini ya makalio, na kwakweli haipandishi kiuononi wala nini. Na baadhi yao...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wengi wa Tanzania hawajitambui

    Wanataka Marekani aingilie Tanzani. Wanasahau wakiingilia kama Iran majengo ya chadema na afisi za wanaharakati nyingi zitapigwa drone
  8. JamiiForums Tanzania Kuna mikoa inawaza ushirikina tu eti kupotolewa na nyeti huu ujinga hauwezi kusikia mikoa ya pwani au yenye waislamu wengi.

    Kuna mikoa inawaza ushirikina na imani potofu tu kuna mikoa ni ya ajabu sana yaani watu wake ni makatili na wamekosa elimu na mijitu inayowaza imani potofu eti kuibiwa nyeti huu ni ujinga wa kiwango cha lami fuatilia mikoa yote ambaye wameripoti huu ujinga wa kupotelewa na nyeti ni mikoa ambayo...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini hawa jamaa wa upande wa pili wengi wao ni mashabiki wakubwa wa mamlaka zenye hurka ya ugaidi na uminyaji wa haki za binadamu?

    Eti Echolima1 MK254 loose Nut kwani wale vijana wanachukizwa na ustaarabu wa magharibi na maendeleo yake huku wakishabikia vikundi vinavyohatarisha maisha ya watu duniani kisa vikundi hivi vinasali kama wao? Je ni upumbavu au ulimbukeni? Au vyote kiujumla?😁
  10. JamiiForums Tanzania Filamu ya Spy X wengi wamejiuliza kwanini mchezaji wake wa kike Anya hupenda sana kula karanga. Na Anya akiri kupenda karanga zaidi kuliko karoti

    https://www.youtube.com/watch?v=wuuDdOeI--k "X Spy Family" ni filamu nzuri ya watoto na ina mhusika mkuu mmoja aitwae Anya ambae katika vyakula vyote avipendavo huwa hakosi Karanga. Haijulikani hadi leo sababu kubwa ya Anya kupenda mno kitafunwa hicho maarufu cha karanga. Jana nilimwona mmoja...
  11. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wakiwa na hela wanakua na obesity wakati ndio wakati mzuri wa kununua vyakula ambavyo ni vizuri kwa afya

    Hii imekua kama utamuduni au ishara ya mtu kuonekana anaishi vizuri lakini ni ndivyo sivyo. Matajiri wengi na wenye kipato ambacho si Cha magumashi hutumia hela zao kwa vyakula visivyo na faida kwao na kuona vyakula hivi vya asili vimepitwa na wakati
  12. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watanzania wengi wanapenda kuombea ama kusali kwa kitu wanachoweza kukifanyia kazi?

    Hapa namaanisha kwamba. Unakuta mtu anamikono na miguu na ana afya njema kabisa, lakini mtu huyo anatoka kwenda kusugua makoti kwenye nyumba ya ibada ili tu amuombe Mungu amshushie rizki, sasa.... unawezaje kupata rizki kama haufanyi kazi? Huu ni mfano wa kwanza, lakini kuna midano miiingi...
  13. JamiiForums Tanzania Jukwaa la kuwatambua watumishi wa Mungu wa ukweli tu, Hii ni kutokana na ongezeko kubwa la uwepo wa Mitume na Manabii wengi wa uongo na mchongo

    **1.MCHUNGAJI JOSEPH KAVEYA(TABORA)**0713283879 https://youtu.be/ZjM6RHforVk?si=wgu5Syn88xU9ALqJ huyu mchungaji joseph kaveya yupo tabora aliwahi kumuombea mgonjwa aliyekuwa amepooza upande mmoja alikuwa anatubiwa stroke hospitali namfahamu huyo mgonjwa ,lakini alioona baada ya kuombewa akaanza...
  14. JamiiForums Tanzania Kwenye Statistics kuna Concept inaitwa "Wisdom Of Crowd" Sisi watu wa dini tunasema Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu

    Mwaka 1906 mwanasayansi na mtafiti Francis Galton alishuhudia tukio la kawaida katika maonyesho ya mifugo nchini United Kingdom. Kulikuwa na shindano ambapo watu walialikwa kukadiria uzito wa ng’ombe mmoja. Mamia ya watu walishiriki—wafugaji, wachuuzi, na hata watu wa kawaida waliopita tu. Kila...
  15. M

    JamiiForums Tanzania wakamaria maarufu hupata pesa kupitia codes na referral links, haijalishi mkeka umetiki au umechanika, usijidanganye kuwa mpo boti moja.

    Betting Codes Mkamaria anasuka mkeka wake kisha anashare betting codes za mkeka huo, mfano 72HD82. Wateja wengine hawahitaji kusuka mkeka kutoka mwanzo; wanachagua tu code, na mkeka unajisuka moja kwa moja. Ukiweka dau, mkamaria hupata sehemu ya asilimia fulani, mfano 4%. Kwa mfano, ikiwa watu...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakaguzi wa Usaili wa Sekretarieti ya Ajira wajikague masharti yao wanayotumia yanakwamisha wengi

    Mimi nina dukuduku langu kuhusu recruitment process za sekretarieti ya ajira kupitia Ajira Portal. Tarehe 26/03/2026, nilihudhuria written interview ambayo tarehe na venue nilielekezwa pale IAA Arusha, Post za Accountant Officer 2, baada ya kufika Wakaguzi wakawa wanafanya physical verification...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaoponda watumishi wanaochukua mikopo wengi wao unakuta hawana hata hiyo kazi, mtu asiyeogopa mikopo ni risk taker kutoboa ni suala la muda tu

    Watu wanaoponda watumishi kuchukua hela benki na kwenda kujenga lipagara na kununua kigari chake cha kumzungusha wengi wao hawana hata hizo kazi na Hawajui kuwa mishahara ni midogo hata usipokatwa marejesho bado hela yake haitoshi tu. Unaweza ukaajiriwa na take home ya laki 6 wewe ukakopa let's...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kuna aina mpya ya kutengwa kwa njia ya kidijitali kwenye magroup, ni kitu nilichogundua kinawumiza wengi

    Kuna hali ambayo imeanza kuonekana ya kawaida, lakini ndani yake kuna maumivu ya kimya. Mnajuana mitaani, mnacheka pamoja, mnafanya biashara au kazi sehemu moja, mnaabudu pamoja kanisani au msikitini, au hata ni ndugu, jamaa na marafiki halafu kuna “group” linaanzishwa, lakini wewe huingizwi...
  19. JamiiForums Tanzania Ni kweli Wanawake wana akili kuliko wanaume wengi. Kwa sababu zifuatazo…

    NI KWELI WANAWAKE WANAAKILI KULIKO WANAUME WENGI. KWA SABABU ZIFUATAZO; Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Robo tatu ya wanaume duniani wanazidiwa akili na wanawake. Sio ajabu ukisikia wanaume wakishindwa kuwaelewa wanawake. 2. Huwezi kukielewa kitu au mtu aliyekuzidi akili. Huo ni ukweli...
  20. JamiiForums Tanzania Mbeya wadada wengi hawajatulia aisee

    Wakubwa mi nimeishi Dar, Kibaha na sasa Mbeya (mjini). Aisee hapa Mbeya wadada wengi ni bed to bed midfielder. Labda kwasababu mgeni sielewi sana maeneo, ila wadada wengi ukitongoza mmekutana kabwe, mwanjelwa, soweto mpaka Sae ni wapo kimkakati sana usiombe ukutane na mdada akwambie anaishi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…