wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. Yesu alikuwa mfanyabiashara, Mohammed alikuwa mfanyabiashara: Kwanini wafanyabiashara wakristo na waislam wengi sio waaminifu?

    Tujadili kidogo. Wafanyabiashara wengi Kama sio waislam ni wakristo. Lakini wengi sio waaminifu. Wanatumia juju na uchawi, wanaforce kupata faida isivyo halali, kukwepa Kodi na kukwepa taratibu rasmi TATIZO linatoka wapi ikiwa Yesu alikuwa mfanyabiashara wa samani(furniture) lakini hakutenda...
  2. Watanzania wengi hawaogi na hawapaki deodorant

    Heri ya sikukuu ya sabasaba. Kwa masikitiko makubwa naomba niwakilishe malalamiko yangu kuhusu ndugu zangu na wananchi wenzangu. Wengi wenu hamuogi, hamfui nguo zenu na hampaki deodorant achilia mbali perfume. Jana nilikua kwenye misongamano ya watu sehemu mbili tofauti katika jiji la Dar es...
  3. Kwanini Watutsi wanapendelewa sana huku wahutu wakipuuzwa, kudharauliwa ili hali wao ni wengi. Je, kuna madhara yoyote kwa hili?

    Umuofia kwenu, Kwa nje utasikia waRwanda wakijisifia kua wako wamoja hawana tena ukabila, wanapendana, wanashirikiamda bla bla bla ila maajabu wote wanaoimba hizi ngonjera 10 out of 10 hua ni waTutsi. Kutokana na sensa ya 1994 waTutsi ni 14%, waHutu 85% na waTwa ni 1% lakini vyeo vyote naomba...
  4. Kulipa BIMA kidigital kumeondoa Kanjanja wengi Mitaani. Ofisi nyingi zimefungwa na Mabango yameondolewa

    Wana Jf Tulizoea vijana wengi wakata insurance kusheheni mjini kwa violist vingi vya ujanja ujanja huku wakiwapiga wateja. Vijana na wajanja wa mjini walikuwa wanachukua fedha nyingi za wateja huku ukilipishwa kitu hewa ilimradi tu umepewa stika trafiki asikubuguzi huku waliomba Mungu usipate...
  5. Kwanini watumishi wengi wa Umma sio wabunifu?

    Kuna jamaa angu kaajiliwa huko halmashauri kama account officer Jamaa ni klilaza.hajui hata kutumia account package yeyote.
  6. Kwanini wadada wengi hawapendi Basketball?

    Ni mchezo mzuri sana ukiujua... ni muda sasa wa kujifunza na kuanza kuucheza.
  7. Wabunge wengi Tanzania ni Vilaza, weupe sana vichwani

    Hapa Ndipo unaona Umuhimu wa Kua na Kiongozi Mkuu wa Nchi mwenye Akili kama Hayati, Mwanasayansi na Mzalendo wa kweli. Bunge tulonalo limejazwa na Watanzania wengi Vichwa maji, Vitunguu maji kabisa, Mbunge anasimama kuongea unaona kabisa huyu kichwan mweupe. Na Kwa sababu ya upeo wao Mdogo...
  8. R

    Kwanini Orijino Comedy Dstv haina wafuatiliaji wengi?

    Habari wana JF, Hivi kwanini Orijino comedy dstv haina wafuatiliaji wengi ,Shida ni nini? Kukosekana kwa Joti? Muda uliowekwe kwa ajili ya hicho kipindi? Kwa kifupi hata viewers wa clips zao kwenye mitandao ni wachache shida nini? Maana waigizaji wapo tena wazuri, kwa mnao fuatilia shida ni...
  9. Badilisha mtazamo wangu kama si kweli : Wafanyabiashara wengi wanapofilisika hugeukia ujambazi, utapeli na kafara ili kupata mitaji.

    Yaani mfanyabiashara akishaonja mafanikio ya kufikia hatua flani ni ngumu sana kukubali kushuka hasa pale anapofilisika ama biashara kwenda kombo. Ni ngumu sana kumwambia aanze kuchoma mishkaki, Never ! Kwa hali hii navyoona hapa wengi inabidi wageukie hata ujambazi na utapeli au hata kafara
  10. Usimpige mwanamke ngumi na mateke

    Watu wa utamaduni hawachapi mwanamke kwa fimbo. Wanamchapa kwa Ukuni. mwanamke hapigwi makofi... hapigwi ngumi na mateke (hapa ndo unakosea kabisa ) afadhali kibao kimoja tu cha kumshtua akili lakini si ngumi na mateke. yaani ukimpiga mwanamke ngumi au teke wewe ufungwe kabisa hufai. Mwanamke...
  11. S

    Naunga mkono awamu ya 6 kuwarudisha wazee kwenye uongozi. Awamu ya 5 vijana wengi walikuwa VIFUTU

    Awamu ya 5 iliwapa nafas za uongozi vijana wengi Sana. Lkn wakawa chanzo cha mateso na vilio kwa taifa. Mifano tunayo. Kwa kuwataja wachache tu: Makonda, Sabaya, Heri James, Ali Hapi, Mnyeti, Gambo, Polepole, n.k Ninapoona awamu ya 6 sasa inawarudisha kwenye uongozi wazee kama Kinana na Wasira...
  12. Kwanini Wasichana wengi wanaona wana haki ya kupewa Salamu na sio kutoa?

    Ivi Kwanini? Wasichana Wengi Uwa Wanajiona Wana Haki ya Kupewa Salamu na Sio Kutoa? Habarini wanajamii Forums nimekuwa na kitu kinanishangaza sana tangu utoto hadi sasa kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu , imekuwa kawaida kwa jamii ya kiafrica mvulana kumshobokea mtoto wa kike yaani...
  13. L

    Tamasha la utamaduni na sanaa la Kuqa, China lawavutia watalii wengi

    Kuanzia tarehe 15 hadi 17 mwezi Juni, tamasha la 18 la utamaduni na utalii wa Qici ambalo pia ni tamasha la kwanza la utamaduni na sanaa za Qiuci mjini Kuqa, China lilifunguliwa. Shughuli mbalimbali za kitamaduni kama vile maonyesho ya fataki, maonyesho ya urithi wa utamaduni usio wa mali...
  14. ACT Wazalendo hawana wanachama wengi Tanzania Bara, nani anawafadhili? Mbona harakati nyingi? Wanatoa wapi fund?

    Kiukweli huku Bara hawana vichwa kabisa na hata huko Tanzania Visiwani wanatembelea nyota ya maalim Seif (RIP). Nani anawapa nguvu ya kufurukuta hawa ACT Wazalendo?
  15. M

    Vijana wengi wa DSM walishaharibi niwa kingono. Utakuta mtu anafamilia lakini anayo siri moyoni. Hii ni sababu ya kuendekeza tabia, mila na uovu.

    Dar ni mji mbaya sana. Maan watu wanafundishwa uovu toka wadogo. Wanafundishwa kulawati na kulawitiwa wakiwa wadogo. Ndo maana wengi walishalawitiwa inabakia kuwa siri yao tu. 👇
  16. Hatari! Majasusi wengi wa Rwanda wanawekeza Kagera, Geita na Kahama mkoani Shinyanga

    Hii ni hatari mno kwa usalama wa nchi yetu! Majasusi wengi wa Rwanda wanawekeza kwenye nyanja mbalimbali kuanzia kilimo,viwanda na biashara mbalimbali kwenye maeneo niliyoyataja hapo. Ifahamike, sera na wanahistoria wa Rwanda wanatambua eneo lote kuanzia Kagera, Kigoma, Geita na hata Kahama...
  17. Mchumi: Wengi wakisikia 'figures' za Deni la Taifa wanaogopa, kama lipo kwaajili ya miradi itakayozalisha lina tija

    Mhadhiri wa chuo kikuu cha Dodoma, David Mwakapala akiwa Bungeni Dodoma amesema watu wengi wanaogopa idadi ya tarakimu likisemwa deni la Taifa au Serikali ikiingia mkopo. Mwakapala amesema deni baya ni ile inayoingia kwenye 'Productive activies' lakini inayokopwa inaingia kwenye miradi ambayo...
  18. Ni sehemu ipi NAIROBI wanaishi watanzania wengi?

    Habari wakuu? Naomba kujuzwa kuwa ni sehemu ipi Nairobi Kenya wanakoishi/wanakofanya biashara Watanzania wengi? Kama ukitaja na majina ya labda maduka/hoteli/baa/Club zinazomilikiwa na watanzania itasaidia pia. Natanguliza shukurani
  19. Wanaokimbilia Ndoa za Bomani ili kuoa zaidi ya mke moja, uhalisia ni tofauti, sheria zitakubana sana hautaweza kuongeza mke mpaka mkeo akubali

    Kwa watu hasa wakristo ambao ndoa ya dini zao huwaminya kubanana na wake zao mpaka kifo na wanatafuta mbadala wa kufunga ndoa kwa mataraajio ya kuongeza mke hapo mbeleni, huwa wanadhani ndoa ya serikali / bomani ndio mbadala. Uhalisia ni kwamba, ndoa ya bomani zipo za aina mbili, ya kwanza ni...
  20. Uuzaji wa vidole vya miguu Zimbabwe

    Taarifa hiyo kwamba raia wa Zimbabwe wanauza vidole vyao vya miguuni ili kukabiliana na umasikini imesambaa sana nchini Nigeria. Mwanablogu mmoja wa Zimbabwe amedai kwamba biashara hiyo inafanyika katika kituo kimoja cha maduka katika mji mkuu Harare. Inanukuua ujumbe wa WhatsApp ukiwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…