wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mtu anajua kusoma Quran ila lugha ya kiarabu haijui?

    Naomba kueleweshwa, binafsi huwa naona Quran ni maandishi ya kiarabu. Sasa kuna maustadhi kama wanne hivi kwa nyakati tofauti nimewahi kuwapa gazeti lenye maandishi ya Kiarabu wanisomee na kunitafsiria ila cha ajabu wameshindwa. Je, kuna tofauti ya lugha iliyotumika kuandika Quran na lugha ya...
  2. JamiiForums Tanzania Mrejesho wa tangazo la kuhitaji vijana wa kazi nimeamini vijana wengi waliopo JF hawajui umuhimu wa Jamii Forums

    Nikili yakuwa lile tangazo nililoliweka jukwaa ili limenipatia picha Kamili ya vijana waliomo humu wengi yakuwa hawajui maana ya matumizi ya mitandao. Nitaeleza vyema naomba mnielewe na msome andiko hili na mwelewe vyema sio Kila mtu anae weka tangazo humu anakuwa anataka akuchunguze na kukujua...
  3. JamiiForums Tanzania Tukubali mvinyo kwa wachache au maji kwa wengi?

    TUKUBALI MVINYO KWA WACHACHE AU MAJI KWA WENGI!? Leo 14:40hrs 20/08/2022 Wanachama wenzangu wa CCM na wadogo zangu wa Uvccm tukiwa busy kupongeza muda wote kwa kufanya matukio ya hamasa huku mitaani kuna kizazi kilichopevuka kinachohoji mambo ya msingi ambayo sisi hatuyaoni au tunayaletea...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanapoteza wanaume wa kuwaoa kwa sababu hii

    Habari wakuu! Kwanza nakiri kuwa mapenzi hayana mtaalamu ila lazima tubadilishane udhoefu ilitujiimarishe zaidi na haya mambo kwa sababu mapenzi ndio maisha yenyewe,kipindi natafuta mke wa kuoa nilipata tabu sana kwa sababu nilikuwa sijui kuwa wanawake wengi wana ugonjwa huu wa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wananchi wengi wanaunga mkono tozo, maneno ya maadui na vibaraka wa mabeberu yapuuzwe

    Baada ya kuona nchi inapiga hatua kwa kasi chini ya Rais mpendwa wa awamu ya sita, madaui wa taifa kupitia vibaraka wao wameibuka kwa kasi sana Mama hata halali kabisa akiwaza jinsi ya kuwaletea maendeleo hili lilithibitishwa na Gerson Msigwa lakini bado kuna wajinga wanalalamika tu Tozo...
  6. JamiiForums Tanzania Wamama wengi wa Afrika huwafundisha watoto kuwachukia ndugu wa upande wa baba. Mashangazi ni wachawi, bibi mzaa baba anaturoga ila MJOMBA NI MAMA

    Familia nyingi sana za ki Afrika zina mpasuko mkubwa. Ndugu wa mume wakitembelea familia hufanyiwa vitimbi na vibweka vya kila aina. Wakija dada wa baba wa mwenye nyumba watasimangwa kwa maneno mbalimbali kwamba wamekuja kuvunja ndoa, wameleta uchawi na mbaya zaidi inafikia wanakataliwa hata...
  7. JamiiForums Tanzania Hali ni mbaya, Watanzania wengi wamekuwa masikini zaidi awamu hii ya sita

    Ukweli tuuseme tu, jahazi limeanza kumshinda mama. Sio kwa ugumu wa maisha huu! Yaani Watanzania wanatozwa tozo ambazo hata mkoloni na roho yake mbaya asingethubutu kuwatendea namna hiyo. Wengi wetu vipato vyetu ni vilevile, lakini gharama za maisha zimepata mara dufu! Kwa lugha rahisi...
  8. JamiiForums Tanzania Mashabiki wengi wa Simba ni mbumbumbu na hawana akili

    Mtu anajiita shabiki baada ya mechi moja tu kufungwa na Yanga anataka kocha afukuzwe, wengine wanatoa povu CEO Barbara aondolewe, wengine wanataka Mangungu aachie ngazi, ngoja kwanza nicheke😁😁😁 Mchezo wa mpira ni mchezo wa makosa, ni muda wa kuwaachia benchi la ufundi lifanye masahihisho ya...
  9. JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wa Tanzania hawajawahi kufanikiwa chochote maishani, hata tu ufaulu wa mitihani

    Tanzania haifati meritocracy, hivyo viongozi wengi kuanzia chini mpaka Juu hawajawahi achieve chochote maishani ukiachia labda kuoa na kuanzisha familia, hilo nalo unaweza kulijadili pia kama hata kwenye Familia wamefanikiwa. Ukingalia nchi nyingi utaona viongozi wanafika juu kwa merit, unaweza...
  10. JamiiForums Tanzania Wanaomchukia Manara wanaumia zaidi kuliko Manara mwenyewe anavyoumia kuchukiwa na wengi

    Majeneza fc labda nikusaidieni juu ya jambo hili huenda mkapoza nyoyo zenu kidogo. Huyu Manara ni kisu mlichokitengeneza wenyewe Leo kinawakata. Hivi alivyo Manara ndivyo alivyo tokea zamani enzi hizo anakabiliana na Jerry Muro mheshimiwa Sasa hivi. Jerry Muro alikuwa msemaji wa mpira pekee...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kama Watanzania wengi hawana uwezo wa kumudu matibabu, basi yawe bure

    Mwanafunzi ahaha kulipa deni la Sh9 milioni Mloganzila Rombo. Mwanafunzi wa Chuo cha Serikali za Mitaa (LGTI), Hombolo mkoani Dodoma, Lightness Shirima (22) amesema anahangaika kulipa deni la matibabu la Sh9 milioni aliloliacha baba yake aliyefariki dunia Hospitali ya Mloganzila ili apatiwe...
  12. JamiiForums Tanzania SoC02 Maboresho ya Sera za Bima ili kufikia lengo la serikali la kuwafikia wananchi walio wengi zaidi

    Bima ni nini? Bima ni njia ya ulinzi wa kiuchumi dhidi ya hasara ya kifedha au hata dhidi ya kifo ambayo watu au kampuni wanafuata kwa kulipa kiasi fulani kwa shirika la bima kadiri ya mkataba maalumu, hivi kwamba shida ikitokea shirika litoe fidia. Zipo aina mbalimbali za bima kama vile bima...
  13. JamiiForums Tanzania Kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta, wengi wameamua kutegemea usafiri wa baiskeli katika mizunguko. Barabara zetu ni salama kwa watumia baiskeli?

    Usafiri wa baiskeli kwa wengi ni kwa kuimarisha afya kwani unapotumia baiskeli unafanya mazoezi. Kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta wengi wameamua kutumia usafiri huu kuwafikisha kutoka hatua A kwenda B. Barabara zetu ni salama kwa atumiaji wa baiskeli? Bila tahadhari hii kutakua na vifo...
  14. JamiiForums Tanzania Wengi wetu, hatujui wanaowakwamisha viongozi wa juu ni hawa wa chini

    Nimesoma taarifa Leo Rwanda walimu kupata salary increase 88% . Kwa Tanzania wachawi ni wasaidizi wa Rais. Wanampotosha Sana. Unamuongezea MTU 23.3 Kwa kima Cha chini halafu ndio inakuaje. Ni akili ndogo kudanganya akili kubwa. Nyongeza hiyo imetokana na nini? Kama ni ugumu wa maisha...
  15. JamiiForums Tanzania Kudata kwao ndiyo utawakuta wamejazana tele katika Makanisa ya Mwamposa na Mwacha

    VIKOBA, Utitiri wa madeni vimeelezwa kuwa chanzo cha ugonjwa wa afya ya akili nchini, huku wanawake wakitajwa kuwa wahanga wakubwa. Hayo yamesemwa na Daktari bingwa wa Magonjwa ya akili kutoka Hospitali ya Mirembe mkoani Dodoma, Suluma Aslan akizungumza na Waandishi wa Habari leo Agosti 3, 2022...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Kero: Wasafirishaji wa mizigo kupakilia mizigo kwenye makazi ya watu Kariakoo

    Msingi wa shida zote ni serikali za mitaa, na hizi karibu zote zilipita bila kupingwa, Sasa hapa Kariakoo misheni kota yaani utafikiri uko sijui kwenye viwanda vya kutengezea malori, yaani mitaa yote kuanzia Ndanda hadi Muheza, Narun'gombe, Magira, Masasi na Aggrey street hapajulikani ni jiji...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanawake wengi huwa wapole sana pale wanapoihitaji ndoa ila wakishaipata wanakuwa wakorofi

    Maisha ni safari na msafiri ni mimi na wewe, katika Maisha kuna kuzaliwa, kukua then kufa, wale wenye bahati kama sio walio imara huoa na kupata chance ya kuproduce their offsprings , hii ni KWA kila kiumbe japo huko mwituni huwa hatuiti ndoa. Mwanzoni huba huwa la kushanta kama siyo kuzidi...
  18. JamiiForums Tanzania Bondia Mandoka achapika, Kidunda ashinda, Mapambano ya ndondi Uwanja wa Majimaji - Songea, Julai 30, 2022

    Tayari mapambano yameshaanza ulingoni ndani ya Uwanja wa Majimaji Mjini Songea, leo Jumamosi Julai 30, 2022: Ndunguru ashinda Bondia Usungu Ndunguru amefanikiwa kupata ushindi dhidi ya Bernard Chitepete katika pambano la awali. Wamepigana uzito wa Super Light, raundi 6. Mtu kachapika TKO...
  19. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tutoe elimu ya kupinga mbwa kabla hawajawa wengi

    MAANA YA MBWA KIBIBLIA. Katika maandiko matakatifu neno Mbwa limetumika likiwa na maana mbalimbali, kama Mbwa mmnyama(marko 7;28) na Mbwa binadamu (ufunuo 22:15) na kadhalika. Neno la mungu linatuambia tujihadhari na mbwa! Wafilipi 3:2 . Je Mbwa ni watu gani kwa mujibu wa maandiko...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Kinana, trafiki wengi wako barabarani kwa vile kuna pesa zisizo na jasho. Nini kifanyike?

    Logic ya trafiki wengi barabarani iko hivi: (something like a syllogism) 1. Kuwa barabarani ni pesa 2. Kitengo cha Trafiki ni wengi sana (kila mmoja mwenye upenyo amampeleka mwanae/nduguye utrafiki 3. Automatically ili kila mmoja lazima apate pesa, 4. Lazima kuwe na vituo vingi vya kusimamisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…