wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waendesha mashtaka mnapaswa kushikamana na haki, usibadili msimamo hata kama watu wengi wanakupinga

    Shikamana imara na msimamo na usibadilishe msimamo kwa kuwa watu wengi wanakushambulia, au wanakasirishwa na maneno yako. Maadam uko kwenye Haki, basi shikamana nayo na kuwa na msimamo, kwani Haki haishindwi (Na Baatwil). Kwa hiyo, pigania (Haki) hata katika hali ya udhaifu (uko peke yako)...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini wana Yanga SC wengi baada ya Msudani kuwafanya kitu mbaya wameangukia katika kauli hii ili kujifariji?

    "Sawa tumetolewa rasmi Klabu Bingwa, ila Jumapili ijayo tarehe 23 Oktoba 2022 Simba SC watatukoma kwa Mkapa" mashabiki wa Yanga SC. Nami GENTAMYCINE nawauliza wana Yanga SC je, mkiikamia hivi Simba SC na kuifunga hiyo tarehe 23 Oktoba, 2022 ndiyo mnatinga hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa (CAFCL...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wananchi Geita wajitokeza kumpokea Rais Samia kwa wingi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisalimiana na wananchi waliojikusanya barabarani wakati wa ziara yake Mkoani Geita. Wananchi wa mkoa wa Geita wamejitokeza kumpokea Rais Samia Suluhu kwa wingi hii inathibitisha kua watu wananchi wanakubali kazi kubwa ya Rais Samia Suluhu. Rais Samia...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi hawataki kutambulika kama 'Wife Material' siku hizi, wanajihami kwa kukosa sifa hizo?

    "A good woman is not one size, women say" "Unahitaji kukaa vizuri kama mwanamke!" "Nani atakuoa ikiwa hujui kupika?" Haya ni baadhi tu ya maagizo ambayo wasichana hupigwa navyo wanapokua. Wasichana wanakumbushwa kwamba sifa inayotamaniwa zaidi na wanaume ni aina ya 'wifey material'...
  5. JamiiForums Tanzania Waraibu wengi ni wanaume

    Rais Samia akizungumzia juu ya uraibu wa dawa za kulevya imebainika kuwa wanaume wengi ni waraibu ukilinganisha na wanawake. Amesema mwaka 2018 waraibu 1600 walisajiriwa. Na hali ilivyo hivi sasa waraibu wanaohudumiwa ni zaidi ya 2000 ambapo wanawake ni hawazidi 150 na wanaume ni zaidi ya 2000...
  6. JamiiForums Tanzania Bata ana nini jamani? Nimeenda kwa waganga wengi sana, sijaona anayeagiza bata

    Mshana Jr mzee wa bata siku 5460, naomba jawabu lako. Damu ya bata ina nini kiasi kwamba haitakiwi na waganga, haitakiwi kwenye tambiko na wala haitakiwi kwenye zindiko?
  7. JamiiForums Tanzania Wakristo wengi huhofia mali kugawanywa pasu kwa pasu ndio maana hawaachani hata wakifumania wake zao

    Kwa waislam wengi mambo ya kuvunja ndoa yanamalizwa kimya kimya bila hata mahakama kuhusika, wapo wanawake wanaoenda mahakamani kudai haki za mali lakini ni wachache. Kwenye ukristo shughuli ipo tofauti, ndoa hadi inavunjika hapo ni kwamba mahakama imehusika na imeshatoa hati ya ndoa...
  8. JamiiForums Tanzania Daktari: Mirembe kuna Wagonjwa wengi Wanaume kuliko Wanawake

    Imeelezwa Hospitali ya Mirembe ambayo ni Hospitali ya Taifa ya Magonjwa ya Afya ya Akili iliyopo Dodoma kitakwimu ina idadi kubwa ya wagonjwa wa aina hiyo Wanaume kuliko Wanawake. Bila kubainisha namba, Daktari wa Mirembe, Veronica Lyimo amesema takwimu za umri zinaonesha wanapokea zaidi vijana...
  9. JamiiForums Tanzania Siyo kweli kwamba wanawake tunapenda sana pesa, hatupendi umasikini

    Habari zenu wana nzengo? Wanaume wa leo wanatimiza miaka 50 wanakaa kwa baba na mama Wanaume wa leo hawatunzi wazee wao, wazee wanatunzwa na mabinti Wanaume wa leo hawatunzi nyumba zao, badala yake wako busy na kuhudumia michepuko. Wanaume wa leo wengi hawasomeshi watoto, watoto wanasomeshwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Wahalifu wengi wakubwa duniani hujificha kwenye kivuli cha dini na siasa

    Halafu wengi wakubwa hujificha kwenye kivuli cha eidha dini ama siasa, na wahalifu wengine konki hujificha kotekote. Hufanya hivyo hivyo ili kuuhadaa umma usihangaike na kuuchunguza upande wao wa pili wa shilingi. Pia kwa kufanya hivyo huwapa ukaribu wa kukutana na viongozi mbalimbali wa...
  11. JamiiForums Tanzania Watu wengi wa Dar huwa wanajua huku Mwanza ukiwa na buku unapata ndoo ya samaki

    Watu wengi hapo mjini Dar huwa wanadhani huku Mwanza samaki ni bei rahisi, yaani wanafikiri ukiwa na buku unabeba mzigo wa kutosha kumbe wapi. Mtu akisikia unaenda Dar ukitokea Mwanza kila mtu utasikia anasema niletee samaki. Jitahidini kabla ya kuagiza kuletewa samaki mtume na hela ya...
  12. JamiiForums Tanzania Tapeli anayewaliza wengi kwamba anatibu Ukimwi akamatwe

    Tunaomba Mamlaka zinazoshughulika na masuala ya Tiba asili mshughulike na huyu jamaa anayejiita Dk Maiko anasema kazi zake na Ofisi ziko jijini Dar. Huyu kijana amekuwa akijitambulisha sehemu mbalimbali kwamba Anatibu Ukimwi kwa sh elfu 30 tu na anatapeli pesa za watu maeneo mbalimbali watu...
  13. JamiiForums Tanzania Msishangae Wakristo Wengi kumtukana Mungu

    Msishangae wakristo asilimia ya wengi humu kumtukana Mungu, kwani mtume wao Paulo alishawafundisha zamani. Kitu chochote chenye upumbavu maana yake hakina hekima ndani yake. Sifa ya udhaifu hawezi kuwa nayo Mungu bali viumbe wake. Msiwashangae wanavyotoa povu kwani kitabu chao kimewafundisha...
  14. JamiiForums Tanzania WanaCHADEMA wengi hatupendi namna Mbowe alivyolamba asali ila hatuna namna maana hatuna maamuzi

    Wengi tunataka kuwa na msimamo thabiti na madhubuti kupinga maovu, ufifisadi na kutetea wananchi wawe na maisha bora. Leo hii hali ni ngumu sana maana raia wanalia juu ya ugumu wa maisha. Raia wanalia juu ya kupanda bei nafaka na vyakula vikuu vinavyohitajika hapa nchini. Mbowe amecollude na...
  15. JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa kikristo huchelewa kuoa ama hawaoi ni ushahidi tosha kwamba ndoa za kikristo ni gereza

    Ni kawaida sana kukuta vijana wa kikristo hasa huku mijini na kwenye majiji wanaoa hadi wafike 33. Wengine wanaishi na wanawake majumbani na wana watoto lakini hawana ndoa. Kwa vijana wengi wa kiislam ninkawaida kukuta ashaoa akiwa na 23 hadi 25. Huu ni usbhahidi tosha kwamba ndoa za kikristo...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi hatupo huru kuonyesha hisia zetu hadharani?

    Ni kama vile hisia zetu zimefungwa gerezani kwasababu ya hadhara, na pake mtu anapokuwa huru kuonyesha hisia zake maswali yanaanza kwamba ni kichaa ama kalewa. - Muziki unapigwa unaoupenda lakini unajizuia kuufatisha au kucheza huku miguu imedinda inataka kuruka ruka. -Kitu kimekuchekesha...
  17. JamiiForums Tanzania Ujasusi ni funguo waliyoipoteza vijana wengi. Sio ajabu wakahangaika

    UJASUSI NI FUNGUO WALIYOIPOTEZA VIJANA WENGI. SIO AJABU WAKAHANGAIKA. Anaandika, Robert Heriel Jasusi Huwezi ukafanikiwa kwenye Jambo lolote bila ya kuwa Jasusi. Never ever! Ujasusi ni maarifa na uwezo wa kutafuta na kukusanya taarifa kisha kuzichakata, kuzichambua na kuziweka katika mafungu...
  18. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi hawataki kuitwa mama, kwanini?

    By Kelvin Kagambo Siku moja niliona mwanamke mmoja mashuhuri anagombana na watu mtandaoni kwa sababu ya kwanini watu wanamuita Rais Samia Suluhu Hassan ‘mama’. Hoja zake zikiwa, kumuita Samia Suluhu mama ni kama vile kumpunguzia majukumu makubwa ya urais aliyonayo, pia ni sawa na kumletea...
  19. JamiiForums Tanzania Gloomy Sunday: Wimbo uliosababisha watu zaidi ya 100 kujiua

    Gloomy Sunday (Jumapili ya Huzuni) ni wimbo uliotungwa na Rezso Seress (Rudi Spitzer), msanii kutoka nchini Hungary mwaka 1933. Reszo alitunga maneno ya wimbo huo na kupiga mwenyewe ala ya huzuni ya wimbo huo, baada ya kuachwa na mpenzi wake. Inaelezwa kwamba kitendo cha kuachwa na mwanamke...
  20. JamiiForums Tanzania Kusah: Diamond sio msanii / Ruby ana mabwana wengi / ep yangu imetumia milioni 10

    Baada ya kuachia EP yake Kusa kasema haya
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…