wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Imani zinazowafanya wanaume wengi waamini watapata na kudumisha mapenzi kirahisi lakini sio kweli

    Asilimia kubwa ya wanaume hufikiri hivyo, hata mimi kuna kipindi nilikua naamini hivyo lakini sikupata matokeo ninayotaka. Japo vingine ni muhimu lakini ili kudumisha mahusiano, usivitegemee hivyo pekee. Kama unaamini hivyo, na matokeo unayopata kwenye mahusiano yako hayakuridhishi, badilisha...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nimeacha CHADEMA vijana wengi imara, vyama sita vimeniomba nijiunge nao

    Dr Slaa siku ya leo jioni akiwa Club house amesema yeye ataendelea kutetea sera nzuri za chama cha CDM kwa kuwa ana uzoefu nao na amekijenga kutoka zero mpaka hapa kinapewa heshima. Kwa upande mwingine amesema yeye sio tena mwanachama hai wa chadema na hata hivyo vyama sita vimemuomba ajiunge...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ambacho watu wengi hawakijui?

    (1) Kujifanya uko busy na simu yako ndiyo njia rahisi kwa watu wengi kuepuka hali au mtu mbaya (2) Huko Italia, sio kosa kuiba chakula ikiwa una njaa. (3) Kulingana na uchunguzi wa zaidi ya ndoa 3000, kadiri unavyotumia pesa nyingi kwenye pete ya uchumba, ndivyo uwezekano wa kuachwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Je! Tanzania tunahitaji wasomi wengi au Hustler wengi?

    Tatizo la Afrika kwa mawazo yangu sio kutokuwa na wasomi wa kutosha bali tuna matatizo makubwa matatu 1. Kutokuwa ma maarifa 2. Utamaduni wa kupuuza -Sheria, wezi, rushwa.... 3. Ubinafsi- Mfano Rushwa Wasomi wetu wengi ambao ndiyo viongozi wamekuwa wabinafsi kiasi kwamba wanaweka upendeleo kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Waislam wengi hawana majina ya kiasili?

    Utakuta mtu anaitwa Juma Mohamed Said. Yaani hata kutumia jina la babu ambalo ni la kiutamaduni hamna, why? Au wenzetu koo zenu zinatokea mashariki ya kati? Afrika Magharibi Waislamu wengi tu wanaitwa kwa majina ya asili yao tofauti na huku Afrika Mashariki Afadhali Wakristo utakuta mtu ana...
  6. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hukosa wapenzi kwa kufanya makosa haya wanapokutana mara ya kwanza (first date)

    Umekutana na mwanamke ukapata namba yake na mkapanga mkutane mara ya kwanza mahali ili muongee/ mle/ mpate kinywaji. Kuna muda hili jambo linatia mawazo sana. Unajiuliza utafanyaje ili umpate kabisa umuweke ndani Kukutana na mwanamke mara ya kwanza huwa ni kwa ajili ya kujuana zaidi. Sio kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa nini wahudumu wa bar na madada poa wengi wanatumia mtandao wa airtel

    Legends mnasemaje, au mimi nnaangukiwa sana na wanaotumia Airtel vp? Sababu asilimia 90 ya barmaid au pisi nlonao kwenye simu yangu namba zao ni za Airtel, leo nmekutana na kisu mmoja tena hapa ile kunipa namba naona ni Airtel. Wadau inakuaje hii?
  8. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wameharibu mahusiano yao bila kujua kwa kufanya makosa haya

    Ni muhimu kujua makosa ili usiyarudie/usiyafanye. Ukishaondoa makosa, kinachobaki ni vitu vizuri. Pia kuna makosa yatakayomfanya mwanamke wako kupoteza mvuto kwako. Ataanza kujitenga nawe. Nawe utaanza kulazimisha penzi mwisho wa siku anakublock, anakunyima penzi au anakuchunia kabisa. Hivyo...
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Raila Odinga anawezaje kupata wafuasi wengi hivi Kenya? Amewaloga Wakenya na uchawi gani?

    Wakuu kwema? Habari hapo kwa majirani ni mzee Odinga anadai alishinda uchaguzi na anasema ataitisha maandamano makubwa ya kwenda kumtoa Ruto Ikulu Uchaguzi ulikuwa wa wazi na matokeo yote yaliyotoka vituoni na kusainiwa na mawakala wa pande zote yote yalikuwa uploaded online Na kama kuna wizi...
  10. JamiiForums Tanzania Mjadala: Zipi Faida au Hasara za kuzaa watoto wengi?

    Faida ni ipi na hasara ni ipi? Karibu kwa mjadala kwa ajili ya kuwasaidia vijana wanaotegemea kujenga familia.
  11. JamiiForums Tanzania WanaJamiiForums msiwe kama watu wa Twitter, wengi ni wajinga

    Ukichunguza sana watu wengi wanaotumia mtandao wa Twitter wengi ni wajinga tena sana. Kujifanya mjuaji ni moja ya sifa ya kuwa wewe ni mjinga. Sasa naona na huku JamiiForums kuna watu wanajifanya wajuaji na kuleta mambo ya Twitter kuyaleta huku please tuko uku kwa lengo moja kupata elimu sio...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Tuache kudanganyana, Ajira zina afadhali zaidi kuliko kujiajiri, watu wengi waliojiajiri ndio wapo kwenye utumwa

    Najua kwa haraka haraka mtafikiria kunijibu kwamba "Mwajiri hawezi fikia mafanikio ya Mo ai Bakhresa" ....vuta pumzi tulia!! Hao kina Mo watoe akilini mwako maana wapo kundi tofauti kabisa ni wafanyabiashara waliofikia mafanikio ya biashara zao kujiendesha hata wakiwa wamelala. Mtu mwenye ajira...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi dini ya kiyahudi (Judaism) inaruhusu kuoa wake wengi?

    Wakuu hii dini ya wayahudi inaruhusu kuoa wake wengi?
  14. JamiiForums Tanzania Kosa hili la Kiroho limewafanya wakristo wengi kuishi maisha magumu

    Habari, Ukisikiliza nyimbo nyingi za Injili, ukisikiliza maombi ya wakristo wengi au ukisikiliza ibada za shukrani hukosi kusikia neno "Sikustahili." Mtu kapata division one anatoa sadaka huku akilia anasema hakustahili, akiolewa, akioa, akinunua hata pikipiki au gari used mtu husema...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wenye pesa hawadumu kwenye ndoa? Wengi wao ni single mothers

    Habari wanajukwaa, Moja kwa moja kwenye mada. Wanawake wenye mafanikio kiuchumi huwa hawadumu kwenye ndoa na wengine huwa hawaolewi kabisa japo wanapenda kudate na wanaume (vijana) wasio na pesa nyingi wakiwahudumia kwa kila kitu na wakizingua wanawatimua. Hasa watumishi ndiyo wanaongoza kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Waajiriwa wengi ni wapigaji

    Ukweli usemwe. Kila ninachosema nina ushaidi nacho kwenye familia kuna watu wamejiajiri na wengine wameajiriwa. Siku nikamcheki aliyeajiriwa ili anikopeshe kiasi fulani akaanza kunambia mambo magumu labda ngoja mwisho wa mwezi sema na hapo mademu mengi. Dukani wananidai kama 100k kwa daah...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Sababu gani watumishi wengi hutaka mabosi wanaume maeneo ya kazi?

    Naomba tujadili hii mada. Ni kwasababu gani watumishi wengi hupenda kuongozwa na mabosi wanaume kuliko mabosi wanawake katika maeneo ya kazi?
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Askari Magereza wengi wanaishi maisha magumu?

    Jeshi la Magereza ni kama limesahaulika hivi au ndio mimi sijui? Askari magereza wengi hasa wa vyeo vya chini maisha yao ni duni sana kwanzia kazini mpaka huku uraiani tunapoishi nao. Kwanza wengi wao uniform zao ni zimechakaa na kupauka tofauti sana na majeshi mengine. Pili makazi yao duni...
  19. JamiiForums Tanzania Utafiti waonesha Wanaume Wengi Wasio na Kisomo Wanamiliki Nyumba Kuliko Waliohitimu

    Utafiti wa KNBS umeonesha kua asilimia 46.7 ya wanaume ambao wana nyumba hawana ELIMU rasmi, ikilinganishwa na asilimia 32.2 ambao wamepita shule ya upili..... Kulingana na utafiti huo Hilo linatokana na kwamba wasomi wengi huishia mijini kusaka ajira na kuishi nyumba za kupanga huku wenzao...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Haka 'Kakirusi' naona kameshaanza kukubalika ndani ya Watanzania wengi

    1. Ili upate Ajira Serikalini Kipaumbele uwe mwana CCM. 2. Ili upate Uteuzi wa Kiutendaji (katika Mashirika) lazima uwe mwana CCM. 3. Mkiwa Vyuo Vikuu pakitokea tatizo kuhusu Pesa za Bodi ya Mikopo mkisema tu nyie pia ni wana CCM mnashughulikiwa haraka. 4. Ili upate Ajira TISS (narudia tena...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…