wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwahiyo John Heche ameitisha Press ili kumjibu Mzee Butiku, CHADEMA ina wahuni wengi sana

    Nani asiyejua kuwa chadema wanapokea Hela za mabeberu ili kuhujumu ustawi wa Tanzania na Bara la Africa? Heche kumjibu Mzee Butiku ni kumkosea heshima Mzee wetu. ni vema akakiri wazi kuwa wanapokea Hela kutoka kwa mabebeb na mm naweka USHAHIDI hapa wa chadema kupokea Hela kutoka kwa mabeberu
  2. M

    Humphrey Polepole alisisitiza kwamba Samia na Kikwete lazima watashitakiwa na kunyongwa. Unabii utatimia wengi tukiwa hai

    Utawala wa Samia umefanya makosa makubwa ya kimkakati (strategic mistakes) yaliyoweka fursa ya kushitakiwa na kunyongwa. Kosa la kwanza ni "Coup D'etat" mtu yoyote anayejua siasa na sheria anafahamu October 29 Samia na Washirika wake walifanya mapinduzi dhidi ya maamuzi ya kiraia (Katiba...
  3. T

    Nchi hii ina viongozi maprofesa na madokta wengi kabisa mbona sioni maajabu wanayofanya yanayoakisi uprofesa na udokta wao!?

    Kila nikijaribu kuangalia changamoto tunazokutana nazo hasa unaposhughulika na mambo ya kiserikali unagundua kwamba kila siku kero zinaongezeka. Sasa nini faida ya hawa maprofesa na madokta waliojazana kwenye uongozi? Tija Yao ni nini hasa tofauti na wasio kuwa na level hizo.!?
  4. Watanzania Walio Wengi Ni Wanafiki

    Kipindi Nchimbi anazungumzia suala la wananchi kupambania katiba mpya wadau wengi humu walidai ni tamthilia chama tawala kinafanya na EN ni muigizaji tu... Wakasema wakitaka waamini kama kweli ana maanisha asemacho ajiuzulu... Kama vile EN aliwasikia, kajiuzulu, wadau wamerudi tena povu...
  5. A

    DOKEZO Bodaboda wengi hawajui matumizi ya taa za ‘dabo hazadi’, waelimishwe

    Naomba bodaboda wapewe elimu ya matumizi ya Double hazard lights, asilimia kubwa wanazitumia kama fasheni lakini ndiyo chanzo kikubwa cha ajali. Mfano amewasha hazard halafu yupo mbele na aliyepo nyuma yake hawezi kujua uelekeo wake, ghafla anakunja kushoto wakati huo hajazima hazard, kwa...
  6. M

    Hivi kwanini watu wengi wenye vigugumizi ni wanaume tu?

    Kama kichwa cha maada hapo juu kisemavyo. Ni kwanini wanawake hawana vigugumizi kama wanaume na hata kama atakua nacho basi hakiwi kikubwa kama cha mwanaume lakini pia hata hao wenye nacho ni wachache sana kulinganisha na wanaume?
  7. Mstaafu mmoja anarudi tena kazini, wengi mtashangaa

    Kutoka kwenye korido za siasa huko teeth, Mstaafu mmoja aliyependwa sana awamu ya 5 tayari amedokezwa ajiandae kula kiapo siku chache zijazo kama Makamu wa Rais mpya.
  8. Mfiwa aanguka kwa mshituko baada ya mdada kuja na watoto wawili msibani na Lawyer akionesha WILL kuwa mdada na watoto hao wamegawiwa ardhi na nyumba

    Mahusiano ni jambo zito sana ila ndoa ni nuclear ya mambo mazito mnoo. Wengi wapo na wenzi wao physically kwa sababu inambidi tu kutokana labda ndoa au watoto wanao share pamoja ila kihisia yupo na mtu mwingine kabisa mwanamke inamuuma kuwa walivitafuta pamoja na mmewe na hata kuna kipindi...
  9. Nini kinawafanya Watanzania wengi waishi kwa matumaini makubwa sana kuhusu nchi yao ?

    Ukiwasikiliza watu wengi wa Tanzania wanaotamani mabadiliko wako na matumaini makubwa sana, wengi wanaamini kwa dhati kabisa ipo siku moja watesi wao watashindwa na kuanguka na nchi yao itakuwa yenye demokrasia pana na maendeleo tele. Ni nadra kukuta wenye mtazamo mbadala kwamba Tanzania...
  10. Zamani nilikuwa najua wakuoa hawa wenye makalio makubwa ila hao sio kabsa wa kuwasogelea

    Wengi wao hawana akili hata kidogo, wanafikiri matako yao ndio kila kitu kumbe kuna cha zaidi kushinda makalio Na dzain ya wengi wenye makalio ni kama wanajitegesha hivi kama wapo kazini kwa kufikiria wanaume wengi tunapenda makalio makubwa, wapo kama wanajiiuza hivi umsifie ana makalio...
  11. Je, hii kauli aliyotamka mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ni sahihi kwa taifa?

    Shalom shalom watanzania! Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja. Hivi ni sahihi kwa mkuu wa mkoa wa mji mkubwa wa Dar es salaamu tena uliojaa matukio ya watu kutekwa, kupotezwa Hadi kuuliwa kutoa kauli hiyo mbele ya kadamnasi ya umma? Hivi hii kauli angeitoa kiongozi yeyote wa upinzani...
  12. Kufuatia sakata la stendi ya mabasi ni wazi kuwa watanzania wengi bado hatupo tayari kwa utawala wa sheria na tunajicha kwenye "busara itumike"

    Kwanza kabisa niwatake radhi kwa kuchelewa kuandika huu uzi ambao ndo pia utatumika kama msimamo wa JF kwenye hili sakata la stendi ya mabasi Dar Es Salaam. Huko PM kumefurika messages nyingi sana za wanaJF wakitaka nitoe neno kwenye hii ishu. Bila kujali itikadi members wengi wamenisihi. Kuna...
  13. Hii kitu ya mabasi yote kuhamia stendi ya Magufuli imeumiza wengi

    Kwanza ni usumbufu, mtu kama unakaa zako geza kigamboni, mwanzo ilikua unatoka na gari geza mpaka mkoani kwako, kwasasa itabidi uanze kutoka geza uitafute magufuli. Tunarudi enzi za miaka ya nyuma za abiria Kuanza kupoteza mizigo, mfano mtu una mizigo Yako umeipakia kwenye bus kutoka rombo...
  14. Asiaminike sana, system wengi huwa hawastaafu

    Na anajitahidi kuweka imani aaminike, System inaweza kukufunga hata gerezani miaka kadhaa uchunguze mtu fulan mfungwa au tukio fulan ndani, Na ika ku harass sana huku nyuma ya mlango ikikupoza kiaina, Wanaoona karibu wakakuamini na kukuweka kwenye Taasisi zao , Au mwanachama anayesumbua...
  15. Magonjwa haya 10 yanasumbua watanzania wengi, Jifunze kutibu tatizo mojawapo husaidie jamii na kujipatia kipato

    1.UTI 2. PID 3.Vidonda vya tumbo 4.Bawasiri 5.Presha 6.Kisukari 7.Maumivu ya viungo na ganzi 8.Ngozi ya mafuta na chunusi 9.Ngozi kavu na mikunjo 10.Nywele kukatika au kutorefuka Tuma ujumbe whatsapp 0713 039 875 kuungwa kwa darasa BURE
  16. Wauza magari wa bongo, wengi hawapaswi kuwa car dealers hawayajui magari kabisa

    Kuna mtu kaposti gari namuuliza hii ina injini gani? Ananijibu huoni nimeandika injini cc 2000 boss 🤣🤣🤣. Nikaona sio kesi nikamwelewehaa mfano toyota kuna 1GD kuna 1HZ na zinginezo. Sasa hii BMW unayouza ina engine gani N47 au B47. Hapo sasa akanivunja mbavu, akasema boss gari imenyooka injini...
  17. Kesi ya lisu kwann mashahidi wote ni wanaume na wengi ni mapolisi??

    Wanajamvi habar kwenu? Nimetafakari kwa mujibu wa ufuatiliaji wangu dhidi ya kesi hii ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama Cha demokrasia na maendeleo chadema. Nilichogundua wote waliokwisha kutoa ushahidi wote ni mapolisi na bodaboda na bajaji? Pia hakuna mwanamke yeyote mpaka Sasa...
  18. 10th dimension ni kielelezo cha Mungu yupo

    Dunia tunayoiishi kwa muundo wa 3d ni umetengenezwa na kiumbe kilichopo level ya 10d yaani 10th dimension. Kila kitu kinachoeendelea kimepangwa, kuanzia mwezi, nyota na sayari nyingine. Mtu ukifa basi unaingia katika 4th dimension moja kwa moja. 10th dimension ni uhalisia wa uwepo wa Mungu .
  19. G

    UPDATE kesi ya Lisu inampa umaarufu zaidi na kuonyesha udhaifu mkubwa wa mihimili yetu wakiwemo WATUMISHI wengi vilaza turudi TU kwenye maridhiano

    #UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 241 Mhe. Lissu anaendelea kumdodosa Shahidi wa kificho wa Jamhuri. Mhe Lissu: Ulisema mlikuwa na Camera ya Sony NX, Kweli si kweli ? Shahidi wa kificho P: Kweli Mhe Lissu: Kwenye kielelezo mlikuwa na camera tatu, sasa kuna mashahidi wamekuja hapa Mahakamani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…