wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Nani anamashabiki wengi, Simba au Yanga?

    Simba na Yanga ni timu kongwe zenye mashabiki na wafuasi wengi hapa nchini na hata nje ya nchi. Kila timu hutamba kwa upande wake kuwa ni Bora kuliko timu nyingine. Unadhani kwa sasa timu gani Ina mashabiki wengi?
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanateswa na wanawake wa aina hii lakini wanaumia ndani kwa ndani matokeo yake kupelekea maafa

    Tuna miaka 8 tunaishi pamoja tuna mtoto mmoja wakike. Hatujafunga ndoa kutokana na changamoto za kiuchumi na kutokubaliana Kwa ndugu wa pande zote mbili kiumeni na kikeni hataivyo mpango tulionao sasa ni kufunga ndoa ya kimya kimya bila kuhusisha ndugu maana wanakuwa kikwazo katika hili. Licha...
  3. JamiiForums Tanzania Faida za mtoto wa shule za msingi kusoma kwenye shule yenye wanafunzi wengi sana

    " siwezi kumpeleka mtoto wangu kwenye shule ya Kayumba kwa sababu shule za Kayumba zina wanafunzi wengi mno!!!" The most ignorant statement I have ever read. Hakuna zawadi nzuri kwa mtoto wako mdogo kama kumpeleka kwenye shule yenye watoto wengi. Zipo FAIDA nyingi sana kumpeleka mtoto wako...
  4. JamiiForums Tanzania Rasmi nimeacha wivu kwenye mapenzi wanawake ni wengi options ni nyingi

    Imechukua muda sana kukubali kuwa sharing is giving and receiving, pia kuna kupata na kukosa na kupata tena na kukosa tena, game on. Baada kipindi kurefu cha ujinga wa wivu kwenye mapenzi na mahusiano na wanawake sasa nimeachana na uzuzu na upumbavu wa kuwa na wivu. Wanawake ni wengi na...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi na mfupa uliowalemea wengi

    Walisema waungwana "mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni." Kama ilivyo kokote hatuwezi kulingana katika yote. Mpaji ni Mola. Aliyekupa wewe ndiye aliyeninyima mimi. "Hali kadhalika, kukiri mapungufu si dalili ya unyonge." Hii ni dibaji tu: "Yaani mwanzo wa ngoma .." Kwamba kama ni mvua...
  6. JamiiForums Tanzania Chakuwahata kwanini hawapambani kujikusanyia wanagama wengi.

    Kuna mvitano mkali kati ya Cwt na wanachama wake. Walimu asilimia mia hawakihitaji hiki chama. Ni kwa sabab ipi chaku hamuendelei kukusanya wanachama?? Maafisa utumishi pamoja na ded wanapambania serikali Ili ipate sehem ya kujipatia maokoto haramu ya pesa za walimu wetu
  7. JamiiForums Tanzania Wanasimba wengi wanajaribu kumtisha Yanga dhidi ya Al Ahyl wakihofia akishinda nyuso zao wataziweka wapi

    Huyu Al Ahyl Hana maajabu yeyote ya maana Na siku zote Ili uwe bora na lazima upambane na aliye bora Ili kupitia yeye na wewe upande chati. Simba hazingumziwi sana kwenye haya mashindano kwakuwa ni kawaida yake kuishia robo,hana kipya Yanga ndiye anayetrend kwakuwa ni first time kuingia...
  8. JamiiForums Tanzania Udhalimu kwenye huduma za Afya, watoa huduma wengi Matapeli // Sakata la Mwakinyo

    Nina mada mbili leo acha niziseme tu maana binafsi zinanikwaza sana na kunifanya nione dunia imejaa maadui na watu wabaya. Tumekuwa na kawaida ya kutoa lawama na kashfa kwa serikali, lakini Watanzania naomba tukumbuke kuwa waliokaa kwenye uwongozi ni sisi hao hao Watanzania Tamaa ya fedha...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Nchi kumi za Afrika zinazoongoza kwa mitara (ndoa za wake wengi)

    Wanaume wa western Africa pengine ni wanaume zaidi ya wale wa southern, northern na eastern Africa kwani kwenye hii list 1-10 ya wenye mitara wanatoka nchi za Africa magharibi. 1. Burkina Faso: 36% 2. Mali: 34% 3. Gambia: 30% 4. Niger: 29% 5. Nigeria: 28% 6. Guinea:26% 7. Guinea-Bissau:23% 8...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Jinsi kauli ya hauna connection na GPA haina maana inavyosababisha wanafunzi wengi wa vyuo vikuu kuwa na matokeo duni vyuoni

    Habari wanajamvi, Inabidi tuzungumze uhalisia wanajamvi matokeo ya wanafunzi wengi wa vyuo wa miaka ya hivi karibuni yamekua duni ukilinganisha na vizazi vilivyopita vya miaka 90s,80s,70s, GPA kuanzia 3.8 ni za kutafuta na tochi vyuoni haswa haswa vyuo vya umma Moja ya sababu ni kumekua na...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Ukiacha kusikia sauti za watu wengi zikikupigia kelele za mwizi huku zikikujia na hatimaye ukakimbia, kituko gani kingine bangi imewahi kukufanyia?

    Ilikuwa 2000 hiyo. Nimetoka shule kama kawaida, baada ya kubadilisha tu sare na kupata msosi, nikaelekea kijiweni tulikokuwa tunacheza mpira kukiwakilisha kitaa timu yetu ya mtaa. Hapo tulikuwa na kocha wetu na timu ilikuwa na mchanganyiko wa watu mbalimbali; wavuvi, wa vijiweni tu na siye...
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake kuua ndoto za Vijana wengi

    Unaweza kuwa na ndoto zako, greatest ones, ukazipangilia lakini mwanamke akakufanya usizifikie hizo ndoto. Bro! Kama haupo sahihi na mwanamke unayetaka kumuoa, acha, usioe. Kuwa alone kama mimi, piga zako Puchu maisha yasonge. Mwanamke ndiye mtu anayeongoza kuua ndoto za watu hapa duniani...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini 'Keyboard Warriors' wengi hasa wa hapa JamiiForums ukikutana nao hutoamini kuwa ndiyo Wao kwa jinsi walivyo?

    Kuna Wawili nimekutana nao ( ID's zao nazihifadhi ) hapa JamiiForums ni Machachari hakuna Mfano ila kumbe ni Watu Wapole, Wakarimu na Wastaarabu kiasi kwamba najua hata Siku mkitajiwa hizo ID's zao hapa Wote mtakataa na hamtoamini. Kwahiyo usimchukulie kila 'Keyboard Warrior' hapa JamiiForums...
  14. JamiiForums Tanzania Ripoti: Uchunguzi wabaini Wachezaji wengi vijana Gabon inadaiwa wananyanyasika kingono

    Uchunguzi uliofanywa na Kituo cha BBC wakizungumza na zaidi ya Waathirika 30, umebaini kuwa kuna mtandao mkubwa unaohusika na matukio ya unyanyasaji kwa wachezaji wa mpira wa miguu wenye umri mdogo kwa zaidi ya miaka 30. Kupitia Kipindi cha BBC Africa Eye waathirika wamenukuliwa wakisema...
  15. JamiiForums Tanzania Ni rahisi sana Kiranga kuurithi uzima wa milele kuliko Wakristo na Waisilamu wengi walio wanafiki

    Ukihitaji salamu suburi kwanza nilewe, tofauti na hapo utaambulia chuya! Kiranga ana asilimia kubwa kuurithi uzima wa milele kuliko watu wengi wanafiki!. Narudia tena "Kiranga anazo asilimia kubwa za kuurithi uzima wa milele kuliko wanafiki walio wengi" Kiranga ni nani? Huyu ni jamaa ambaye...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu Mstaafu wa Kenya: Bunge lina Watu wengi mno, Viti Maalumu Vipunguzwe

    Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Kenya, Githu Muigai amesema hayo wakati akitoa maoni mbele ya Kamati ya Kitaifa ya Maridhiano na kueleza kuwa baadhi ya nafasi za Ksiasa zinapaswa kupunguzwa ikiwemo idadi ya Kaunti ambazo zinaongeza mzigo wa gharama Serikalini. Muigai amesema Mapendekezo ya...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa Press Release ya TANESCO ya jana ilivyo na Pumba nyingi nimeamini Tanzania ina Wasomi wengi ila wasio na Akili

    GENTAMYCINE namuomba huyo Mtu wao wa PR / Communication aachie Ngazi kwa Taarifa ile ya Kipuuzi yenye Pumba nyingi na iliyotuachia Maswali mengi Sisi Great Thinkers wa Kutukuka.
  18. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wengi siku hizi hawatoi risiti

    Shida ni nini kila napoingia maduka makubwa makubwa nanunua bidhaa mbalimbali lakini naona sipewi risiti pia wanunuzi wengine nao waona naona hawapewi risiti Nikiagiza bidhaa hapo kariakoo bidhaa zinakuja mikoani bila risiti Haya makusanyo wanayoyatangaza TRA kua wanakusanya Tillion 2 kila...
  19. JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa Kiafrika wanakubaliana na Demokrasia kama njia bora ya Uongozi

    Vijana wa Afrika wanazidi kupaza sauti zao, na ujumbe wao ni wazi: demokrasia ni mfumo bora wa serikali ambao nchi zao zinapaswa kuufuata. Utafiti wa African Youth Survey wa mwaka 2022 unaonesha idadi kubwa ya vijana wa Kiafrika, kutoka katika nchi mbalimbali za bara hilo, wanaunga mkono...
  20. JamiiForums Tanzania Maisha ya kijijini na Maisha ya Sehemu au mitaa ya kijijini hayana utofauti wowote.

    Personally ukiyatazama Maisha ya uswahilini huwezi yatofautisha na Maisha ya kijijini. Mfano Tandika Bidhaa zipo bei Rahisi Sana Kuanzia soko la sterio na masoko mengine. Mzunguko wa hela , uswahilini pesa haizunguki Sana labda bidhaa za chakula. Warembo wa huku ni wale ambao hawana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…