wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. Naona watu wengi wana share sana hints za kujua mwanamke au mwanaume wa kutomletea majanga mbeleni. Nipende kuwaambia hamjui "HUMAN NATURE"

    Matukio ya mauaji baina ya wenza hivi karibuni yamezua mijadala na mihemuko Hata masikini wanaekeana sumu kwenye chakula na hakuna chochote atakachokirithi kama mume huyo akifariki. tabia njema na sura ya upole sio njia ya mke au mume mwema. MAbadiriko ni njia ya mwanadamu, haujui wife...
  2. Wengi wanaingia kwenye biashara ya Agrobusiness wakiamini kilimo kina pesa, lakini wachache ndio wanaojua jinsi ya kuzipata

    Kuna mfanyabiashara mmoja alianza biashara ya mazao ya kilimo akiwa na mtaji mdogo. Alikuwa akinunua mahindi kutoka kwa wakulima na kuyauza sokoni. Mwaka wa kwanza alipata hasara kubwa, si kwa sababu hakukuwa na wateja, bali kwa sababu hakujua wakati sahihi wa kununua, namna ya kuhifadhi mazao...
  3. Leo nimegundua kuwa watanzania wengi ni bendera fuata upepo.

    Wakuu habari ya Jumapili, Leo asubuhi nilikuwa kanisani kwenye ibada. Mchungaji alikuwa anahubiri, alikuwa anahubiri kwa kuchanganya maneno ya kiswahili na kiingereza. Si mnawajua wachungaji wetu walivyo wajuaji! Mimi kama kawaida yangu popote ninakokuwa huwa nakuja kuchungulia humu JF Ili...
  4. Mazao/Mifugo Under rated inaweza kuwa na faida kuliko yale Over rated ambayo wengi hukimbilia

    Asilimia kubwa ya wakulima lazima utukute kwenye mazao yale Over rated yanayo zalishwa na kila mtu. mazao ya jamii kama Mahindi, Mahargwe, Mazao kama Vitunguu, Nyanya, Tikitiki maji, Maembe na kadhalika. Huko utatukuta kwa wingi sana Utatukuta kwenye mifugo kama Kuku labda na nguruwe na Ng'ombe...
  5. M

    Zingatia hili " rafiki zako wengi hawatamani kuona unafanikiwa kuwashinda✍️ Malenga wa Kiha

    Wanatamani kuona mafanikio yako ila sio ya kuwazidi na hii ni hulka ya binadamu karibu wote hivyo ili kutoboa hapo ni kuwa MSIRI washitukie tu uko juu yao . #Malenga wa Kiha #Mwanasayansi Kalivubha #Fikia ndoto zako
  6. CCM bado inahitajika Tanzania, hata kama watu wengi wameichoka

    CCM ni old version kwa ajili ya old version people. Watanzania bado sana kuingia kwenye Dunia mpya. Nina mashaka kwamba hawa wahitimu wa masomo ya uhandisi na famasia ambao walipaswa wawe wavumbuzi hawatagundua kitu chochote kipya. Si kwamba hawana akili ila akili zao wamezikabidbi kwa Mitandao...
  7. Watu wengi wanakula ila hawalimi.

    Hellow wana JF. Ukitazama kwa umakini katika hii Dunia ya sasa watu wengi wanakula ila hawalimi. Hata wasomi wengi walio somea kilimo wanataka kukaa maofisini kwenye kiyoyozi na feni zenye upepo mzuri hawataki kabisa kujihusisha na kilimo. Ukizunguka kwenye mashule na mavyuo mbalimbali...
  8. Watu wengi katika mitaa wanajifanya vichaa! Vichaa halisi ni wachache sana, wengi wanajifanya.

    Vichaa mitaani ni wachache mno, hawa wanaotembea na kuokota makopo, sijui kuomba msosi sio vichaa. Mtu mchana unamuana kichaa, lakini usiku alishakula na kushiba anapiga story hadi unashangaa. Wengine usiku wanageuka kuwa wapiga roba za mbao! Chunga sana!
  9. M

    Watanzania wengi tuna Reactive mindset; tunangoja tatizo litokee ndipo tuchukue hatua, tulifundishwa kutii kwa hofu kuliko kuchukua hatua mapema

    Na ndio sababu tuna visingizio na lawama nyingi !! Ukiangalia maisha yetu kwa karibu, utaona hii tabia ipo kwenye maeneo mengi. Deadline ikikaribia ndio kazi inaanza. Mtihani ukikaribia ndio kusoma kunaanza. Mgonjwa akizidi ndio tunakimbilia hospitali. Gari likiharibika kabisa ndio tunakumbuka...
  10. Hakika, tunahitaji kina Kweka wengi kwenye ndoa

    Pole nyingi ziwaendee wafiwa. Ukiangalia kwa umakini zaidi hili tukio, utagundua ndugu KWEKA ni shujaa, amepeleka ujumbe mzito kwa wanawake wenye tamaa na wababaishaji kwenye taasisi ya ndoa. Msingi wa ndoa ni kuishi pamoja mpaka mwisho wa maisha yenu. Dini ya kikristu ya hao waliokuwa...
  11. Huenda viongozi wengi zaidi wa CHADEMA wa kanda, mikoa na wilaya mbalimbali nchini wakajuzulu kabla na mara tu baada ya hukumu ya Mwenyekiti wao Taifa

    My friends, ladies and gentleman, Kuna gharika ya viongozi wa chadema kuachia ngazi inaendelea... In fact, sote ni mashahidi wa wimbi hilo la viongozi wa chadema wa kanda mbalimbali, mikoa na wilaya mbalimbali nchini, wakistaafu siasa, kuomba kupumzika uongozi wa chadema na wengine wakijiuzulu...
  12. F

    Kanda ya Kaskazini ndio yenye Mabilionea wengi Watanzania wenye utajiri zaidi ya bilioni 100+

    Wafanyabiashara wenye utajiri mkubwa Kanda ya Kaskazini Familia ya Mengi IPP Group Utajiri: Zaidi ya USD milioni 200 Ridhuan Mringo Derm Group Mwanga Hakika Bank Utajiri: Zaidi ya USD milioni 100 Silvestery Koka SF Group Utajiri: Zaidi ya USD milioni 80 Ernest Massawe Erncon Holding Tol...
  13. Dini imeharibu "critical thinking ya vijana wengi wa kiafrica na kiarabu. Wameipa nafasi kuu kama chanzo cha maarifa yao na muamuzi wa maisha yao

    Free will zenu zimemezwa na mafundisho ambayo alieandika mwenyewe alikuwa ana timiza uhuru wa maoni yake, je wewe maoni yako yako wapi, iko wapi mantic yako?, uko wapi utashi wako?
  14. Ziwa victoria ukanda wa musoma na visiwa vya ukurewe kumetupwa vifungo vya maisha ya watu wengi. Chezea pote ila sio uchawi wa ziwani

    Inachukulia hatma yako alafu inafungwa kisawa sawa na kunenewa na inatupwa ziwani. Kinachofatia ni wewe kuona cha mtema kuni maisha yako yote. Nafikiri wakazi wa majita na ukerewe wanaelewa nachokimaanisha na kina uzito gani. NIWATAKIE MEMA KATIKA NJIA ZENU.
  15. L

    Bila Rais Samia Kuingia Madarakani Vijana wengi sana wangeacha kwenda vyuo Vikuu na wengine Wangekuwa wanaishia kidato cha 4 Tu. Tunamshukuru Mama

    Ndugu zangu Watanzania, Ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa Rais Samia ametoa ajira nyingi sana katika historia ya Taifa letu ndani ya kipindi kifupi cha Uongozi wake. Ni ukweli ulio wa wazi kabisa Kuwa Rais wetu Mpendwa kainua Matumaini ya vijana wengi sana kupenda shule na kuendelea na masomo...
  16. M

    Millennials wengi walipuuza wazee, enzi za ujana walioa Hardcopy kuzidi Softcopy. Leo, wengi wanajutia, Gen Z, msirudie history ya millenials.

    Kwa wakati wa Millennials wakiwa vijana, ilikuwa ni enzi ya taiti, vitop, mini na vivazi vilivyoacha Hardcopy ikionekana wazi. Wengi walipagawa. Hata muziki ukabadilika nyimbo zikaanza kusifia mashepu, makalio, mapaja na uzuri uliokuwa ukionekana kila kona. Millennials wengi wakaingia kwenye...
  17. Ushauri wanaopewa vibali vya kumiliki silaha wapimwe akili kila mwaka pls..else tutazika wengi kwa hali hii..pls n pls

    KUTOKANA NA MAMBO YANAYOENDELEA KILA SIKU MARA MUME.KAMUUA.MKE NA SILAHA MARA MKE KAMUUA MWENZIE NA SILAHA TUNASHAURI HAWA WATU MNAOWAPA SILAHA WAMILIKI WAPEWE MITIHANI YA KUANGALIAA AKILI ZAO KILA MWAKA TAFADHALI MKUMBUKE MNAVYOWAPA WENGINE WANAKUWA NA FURAHA KWENYE NDOA ZAO LAKIJI...
  18. S

    Wabongo wengi kulazimisha wengine kufanana nao kwenye burudani (hususani mziki)

    Wadau wa jf nimeona nitoe ya moyoni mwangu. Mimi ni mshabiki wa muziki wa dancehall toka utotoni na ninapenda zile dancehall ngumu zinazoelezea maisha halisi ya mtaani mfano ugumu wa maisha, violence, Babylon system inavyotreat watu. Yaani ukiingia getoni kwangu, ni mwendo wa gangsta tracks za...
  19. S

    Wanawake wengi wapo kimaslahi katika ndoa.

    Wanawake naombeni mbadilike.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…