“G55 haimaanishi tupo 55 tu, imetumika kama alama ya kuwakilisha kundi hili ambalo liliundwa baada ya Katibu Mkuu kualika wagombea wa mwaka 2020 na waliotia nia mwaka huu, baadaye tuliunda kundi la WhatsApp na hivyo ndivyo kundi hili lilivyoundwa , na kwenye kundi letu la G55 tuna wajumbe wengi...