wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mfiwa aanguka kwa mshituko baada ya mdada kuja na watoto wawili msibani na Lawyer akionesha WILL kuwa mdada na watoto hao wamegawiwa ardhi na nyumba

    Mahusiano ni jambo zito sana ila ndoa ni nuclear ya mambo mazito mnoo. Wengi wapo na wenzi wao physically kwa sababu inambidi tu kutokana labda ndoa au watoto wanao share pamoja ila kihisia yupo na mtu mwingine kabisa mwanamke inamuuma kuwa walivitafuta pamoja na mmewe na hata kuna kipindi...
  2. JamiiForums Tanzania Nini kinawafanya Watanzania wengi waishi kwa matumaini makubwa sana kuhusu nchi yao ?

    Ukiwasikiliza watu wengi wa Tanzania wanaotamani mabadiliko wako na matumaini makubwa sana, wengi wanaamini kwa dhati kabisa ipo siku moja watesi wao watashindwa na kuanguka na nchi yao itakuwa yenye demokrasia pana na maendeleo tele. Ni nadra kukuta wenye mtazamo mbadala kwamba Tanzania...
  3. JamiiForums Tanzania Zamani nilikuwa najua wakuoa hawa wenye makalio makubwa ila hao sio kabsa wa kuwasogelea

    Wengi wao hawana akili hata kidogo, wanafikiri matako yao ndio kila kitu kumbe kuna cha zaidi kushinda makalio Na dzain ya wengi wenye makalio ni kama wanajitegesha hivi kama wapo kazini kwa kufikiria wanaume wengi tunapenda makalio makubwa, wapo kama wanajiiuza hivi umsifie ana makalio...
  4. JamiiForums Tanzania Je, hii kauli aliyotamka mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ni sahihi kwa taifa?

    Shalom shalom watanzania! Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja. Hivi ni sahihi kwa mkuu wa mkoa wa mji mkubwa wa Dar es salaamu tena uliojaa matukio ya watu kutekwa, kupotezwa Hadi kuuliwa kutoa kauli hiyo mbele ya kadamnasi ya umma? Hivi hii kauli angeitoa kiongozi yeyote wa upinzani...
  5. JamiiForums Tanzania Kufuatia sakata la stendi ya mabasi ni wazi kuwa watanzania wengi bado hatupo tayari kwa utawala wa sheria na tunajicha kwenye "busara itumike"

    Kwanza kabisa niwatake radhi kwa kuchelewa kuandika huu uzi ambao ndo pia utatumika kama msimamo wa JF kwenye hili sakata la stendi ya mabasi Dar Es Salaam. Huko PM kumefurika messages nyingi sana za wanaJF wakitaka nitoe neno kwenye hii ishu. Bila kujali itikadi members wengi wamenisihi. Kuna...
  6. JamiiForums Tanzania Hii kitu ya mabasi yote kuhamia stendi ya Magufuli imeumiza wengi

    Kwanza ni usumbufu, mtu kama unakaa zako geza kigamboni, mwanzo ilikua unatoka na gari geza mpaka mkoani kwako, kwasasa itabidi uanze kutoka geza uitafute magufuli. Tunarudi enzi za miaka ya nyuma za abiria Kuanza kupoteza mizigo, mfano mtu una mizigo Yako umeipakia kwenye bus kutoka rombo...
  7. JamiiForums Tanzania Asiaminike sana, system wengi huwa hawastaafu

    Na anajitahidi kuweka imani aaminike, System inaweza kukufunga hata gerezani miaka kadhaa uchunguze mtu fulan mfungwa au tukio fulan ndani, Na ika ku harass sana huku nyuma ya mlango ikikupoza kiaina, Wanaoona karibu wakakuamini na kukuweka kwenye Taasisi zao , Au mwanachama anayesumbua...
  8. JamiiForums Tanzania Magonjwa haya 10 yanasumbua watanzania wengi, Jifunze kutibu tatizo mojawapo husaidie jamii na kujipatia kipato

    1.UTI 2. PID 3.Vidonda vya tumbo 4.Bawasiri 5.Presha 6.Kisukari 7.Maumivu ya viungo na ganzi 8.Ngozi ya mafuta na chunusi 9.Ngozi kavu na mikunjo 10.Nywele kukatika au kutorefuka Tuma ujumbe whatsapp 0713 039 875 kuungwa kwa darasa BURE
  9. JamiiForums Tanzania Wauza magari wa bongo, wengi hawapaswi kuwa car dealers hawayajui magari kabisa

    Kuna mtu kaposti gari namuuliza hii ina injini gani? Ananijibu huoni nimeandika injini cc 2000 boss 🤣🤣🤣. Nikaona sio kesi nikamwelewehaa mfano toyota kuna 1GD kuna 1HZ na zinginezo. Sasa hii BMW unayouza ina engine gani N47 au B47. Hapo sasa akanivunja mbavu, akasema boss gari imenyooka injini...
  10. JamiiForums Tanzania Siasa za kutafuta kiki na public sympathy zimedumaza fikra hasa za vijana katika kujenga na kutetea hoja zinazohusu mustakabali wao.

    Wanasiasa wengine hivi sasa, hasa vijana hawana tena muamko wenye kuibua mawazo mapya wala fikra mbadala na bora zaidi za kutatua changamoto zao, wala hawana tena uwezo wa kujitetea wenyewe kwa hoja, bali sasa wengi wao wanasubiri, na in fact wamemezwa na siasa za matukio au vihoja vya kutafuta...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wenye biashara za hotspot mnapoteza wateja na pesa kwa kununua vifaa feki au kuwapa kazi kina fundi Maiko, Hii wifi ya 3 nakutana na shida ile ile

  12. JamiiForums Tanzania Kesi ya lisu kwann mashahidi wote ni wanaume na wengi ni mapolisi??

    Wanajamvi habar kwenu? Nimetafakari kwa mujibu wa ufuatiliaji wangu dhidi ya kesi hii ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama Cha demokrasia na maendeleo chadema. Nilichogundua wote waliokwisha kutoa ushahidi wote ni mapolisi na bodaboda na bajaji? Pia hakuna mwanamke yeyote mpaka Sasa...
  13. JamiiForums Tanzania 10th dimension ni kielelezo cha Mungu yupo

    Dunia tunayoiishi kwa muundo wa 3d ni umetengenezwa na kiumbe kilichopo level ya 10d yaani 10th dimension. Kila kitu kinachoeendelea kimepangwa, kuanzia mwezi, nyota na sayari nyingine. Mtu ukifa basi unaingia katika 4th dimension moja kwa moja. 10th dimension ni uhalisia wa uwepo wa Mungu .
  14. G

    JamiiForums Tanzania UPDATE kesi ya Lisu inampa umaarufu zaidi na kuonyesha udhaifu mkubwa wa mihimili yetu wakiwemo WATUMISHI wengi vilaza turudi TU kwenye maridhiano

    #UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 241 Mhe. Lissu anaendelea kumdodosa Shahidi wa kificho wa Jamhuri. Mhe Lissu: Ulisema mlikuwa na Camera ya Sony NX, Kweli si kweli ? Shahidi wa kificho P: Kweli Mhe Lissu: Kwenye kielelezo mlikuwa na camera tatu, sasa kuna mashahidi wamekuja hapa Mahakamani...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wafanya biashara wengi wa dala dala wamepaki gari zao? Je, hii biashara hailipi?

    Ukipita hapa mjini na ukiangalia maeneo ya kupaki magari na vituo vya mafuta utakuta dala dala nyingi ziko hoi. Wengi wamepaki na zimeharibika. Tatizo ni nini???
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wengi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi hatupati stahiki zetu, pia kuna mazingira ya upendeleo

    Nimeona bora suala hili lifike kwenye mikono ya umma, kwani kuendelea kubaki kimya inamaanisha hali itakuwa ngumu na mazingira magumu ya kazi kwetu. Watumishi wengi wa umma Moshi tunafanya kazi kwa kujituma lakini linapokuja suala la kupata stahiki zetu za kisheria kama posho, malipo ya muda wa...
  17. JamiiForums Tanzania Zijue sababu zinazowafanya wagonjwa wengi wa bawasiri kutumia dawa nyingi bila mafanikio

    ZIJUE SABABU ZINAZOWAFANYA WAGONJWA WENGI WA BAWASIRI KUTUMIA DAWA NYINGI BILA MAFANIKIO. Pandex(+255 743 549 126) Pandex Herbal Clinic Dar es salaam ILALA BOMA. PANGANI & UTETE STREET Kwanza Mgonjwa wa Bawasiri anatakiwa kufahamu ya kwamba,matibabu si dawa pekee.Watu wengi wanaamin kwamba...
  18. JamiiForums Tanzania Usiingilie ugomvi wa Wakubwa! Ndicho kinachoenda kuliza wengi

    Hallelujah! Bado nakusanya ripoti. Bado najifunza na nitaendelea kuwafundisha. Kuna msemo maarufu usemao, usiingilie ugomvi wa wazazi, msemo huo upo kwenye level ya kifamilia. Watoto wengi wanaoingilia ugomvi wa Baba na Mama hujikuta katika maisha magumu hapo baadaye kwa namna waijuayo au...
  19. JamiiForums Tanzania Watu wengi wanachanganya haya maneno mawili: best & favorite

    Moja ya vitu vinavyoleta mkanganyiko mkubwa kwenye mijadala ya watu ni matumizi ya maneno mawili “Best” na “Favorite.” Unapaswa kuelewa kwamba kitu kinaweza kuwa Best kwa maana kwamba unakikubali kuwa ndicho bora zaidi, lakini kisiwe Favorite chako. Vivyo hivyo, kitu kinaweza kuwa Best na...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kati ya kuishi Dar es Salaam na kukaa Dar es salaam. Wengi wetu tunakaa Dar es salaam

    Umeshtuka usiku unasikia kiu, sasa lile wenge la usingizi unasahau dumu ambalo lina maji ya kunywa unachanganya na ndoo yenye maji uliosuuzia vyombo vichafu usiku unayochota na kunywa, 🤮
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…