weledi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. RC Zainabu Telack: Kasimamieni kwa weledi miradi ya maendeleo

    RC ZAINABU TELACK: KASIMAMIENI KWA WELEDI MIRADI YA MAENDELEO Na, Hilarry Shuma OR-TAMISEMI Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Zainabu Telack, amewahimiza Maafisa tarafa na watendaji wa kata nchini kuhakikisha wanasimamia miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwenye maeneo yao Akifunga Mafunzo kwa...
  2. W

    Umewahi kublokiwa na akaunti ya kiongozi yupi Mtandaoni?

    Wakuu! Kuna tabia inashamiri kwa kasi ya akaunti za Viongozi wa umma kublock, mute na kufungia comments Sasa wananchi wanatoaje mawazo yao? Kama hutaki comments unapost kwanini? Watu wawe na uvumilivu, tusinyamazishane! Umeweka post subiri comments! Viongozi wakumbuke watu hawafanani na...
  3. W

    Mhandisi Kamando: Fanyeni ukaguzi kwa weledi bila ya kumwonea mchimbaji yoyote

    WAKAGUZI wa Migodi ya Madini na Baruti wametakiwa kufanya kazi kwa weledi, kuongeza ufanisi na kufuata taratibu na sheria za nchi katika utoaji wa huduma. Hayo yamesemwa leo Mei 29, 2025 na Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Migodi na Mazingira, Mhandisi Hamisi Kamando jijini Mwanza wakati akifunga...
  4. Serikali sikivu ya CCM inawatumikia watanzania kwa bidii, weledi na uaminifu mkubwa bila kujali matusi ya majirani, wanaharakati au wapinzani uchwara

    Serikali Sikivu ya CCM inawajibu wa kuilinda amani, umoja na usalama wa waTanzania waTanzania wote na kuhakikisha wananchi wote waTanzania wanafurahia matunda ya maendeleo, yanayotokana na utekelezaji makini wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2020-2025 kwa usawa wakiwa huko huko wanapoishi mijini na...
  5. H

    Mbunge Aliyewaita Watanzania ni KENGE, Kuanzia Leo Watanzania Tumwite Yeye MBUNGE KENGE

    Jana, kupitia mitandao mbalimbali, tumemsikia mbunge wa Zanzibar akiwaita wananchi ni Kenge. Yaani mtu ambaye upeo wake ni duni, elimu yake ya kubabaisha, mtu mwongo aliyelidanganya bunge kuwa ana diploma, kumbe hata form 4 tu aliimaliza kwa shida, anawaita watanzania Kenge. Hana uelewa wala...
  6. Bakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa weledi mkubwa Maaskofu

    Bakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa ufanisi mkubwa Maaskofu . Juzi katika baraza la Eid mlikuwa mnaimba na kuongelea Amani Ila mnashindwa kugusia haki.
  7. Kiuhalisia, Trump anashindana na utapeli ambao utapelekea nchi yake kudondoka siku zijazo ila watu wasio weledi katika current affairs wanakurupuka tu

    Kama ni tarrifs nchi yake imewekwa kitimoto muda mrefu na hata wale aliowekeana makubaliano sasa hivi wana lean kwa adui zake huku wakiendelea kumuumiza kikodi. Jeshi la Marekani liligeuka uwanja wa kuruhusu mashoga kuongoza nafasi nyeti. Vyuo vya marekani viligeuka chombo cha iran kutuma pesa...
  8. Balile na Pascal Mayalla je wanamtumikia nani , mbona hawana weledi katika kazi zao ?

    Balile na pascal Mayalla hawana weledi katika uandishi wa habari. Naomba waendelee na siasa za kusifu na sio habari.
  9. Polisi Morogoro mjini fanyeni kazi kwa weledi na uzalendo, si uonevu

    Habari wakuu,hii inchi ikienda ivi raia watashindwa kutoa ushirikiano Kwa majeshi yetu,yaan Hasa Hawa askari wetu wanao tembea rod na kukakamata vyombo vya usafiri, Kuna askari jina kapuni uyu amekatama chombo cha moto kikiwa kimepaki na kimekamilika kila kitu na kutoa sababu kibao dk ya...
  10. Makala mengi kuhusu Freemason yanatofautiana sana. Naamini hakuna mwenye concrete info juu yao. Hii ni ishara jinsi gani FM walivyo na weledi mkubwa.

    Tena unaweza kuta hata hawajiiti Freemason 😂 Yani sisi tuendelee na wale freemason wetu wa "kujiunga freemason 5000" 😂 Anyway, Kujua info ya mtu ni kummudu, namaanisha kama hawa jamaa wangejulikana kwa kina kuhusu utendaji wao basi ingekuwa rahisi wao kuwa infiltrated na kuwa dis-organized...
  11. PSSSF yampa pole Mdau aliyelalamikia huduma yao, yatoa ufafanuzi na kusisitiza inazingatia Maadili, Uaminifu, Weledi na Uwazi

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com anayetambulika kwa jina la Mkumbwa Jr kulalamikia huduma ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) upande wa Dodoma kuwa siyo nzuri, mamlaka hiyo imetoa taarifa ya ufafanuzi. Kusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ PSSSF Dodoma tofautisheni...
  12. M

    Yericko nyerere hana sifa hata moja ya kuhoji weledi wa Tundu Lissu ni kijana anaeishi kwa uchawa na ujanja ujanja

    Yericko alizaliwa huko Iringa miaka ya 1984 akiwa ni mtoto pacha na mwenzake. Yericko ni miongoni mwa watoto 7 wa mzee MKANA kutoka huko kwao.Kijijini Maduma Iringa! Baada ya kumaliza shule ya msingi huko maduma alijiunga na secondary (jina kapuni) huko mtwara! Baada ya kumaliza secondary na...
  13. Hospitali ya Muhimbili izingatie weledi katika kutoa taarifa wakati wa Majanga!

    Nasikitika kuona "kiherehere" cha hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika kutoa Taarifa zinazohusu majanga bila kuzingatia chain of command. Sio afya kwa hospitali hii as an entity kukimbilia kwenye media na kutoa taarifa bila kuzingatia taratibu za uhabarishaji umma wakati wa tukio la majanga...
  14. Polisi watoa tamko tukio la jaribio la utekaji Kiluvya, wasema uchunguzi umeanza toka aliporipoti Novemba 11, 2024

    Wakuu, Baada ya video kutoka ndio tunajuzwa tukio lilitokea juzi! Bila video kuja kitaa wananchi tujakua lililotokea uchunguzi ungefanyika kweli au ndio lingeisha kimyakimya, pengine na kaka wa watu kwenda kuchukuliwa tena mara hii wakiwa wamwjipanga? Halafu mbona wanaremba maneno hivyo "watu...
  15. Kwanini Mwalimu Nyerere, pamoja kupewa PhD 23, tuzo lukuki, usomi na weledi vyake hakuwahi wala kupenda kuitwa daktari? Je, aliogopa au hakujua?

    Kwa walioishi wakati wa utawala wa baba yenu wa taifa ambaye ni kaka yangu, wanakumbuka alivyokuwa msomi, mbobezi na mwanafalsa wa aina yake. Pamoja na hayo na kutuzwa shahada za uzamivu 23, hakuwahi kuitwa au kujiita daktari. Je hakujua ujiko wake? Aliogopa nini na kwanini? Je hili...
  16. U

    Jeshi la IDF ladai kumuua Muhammad Kamei Naim, kamanda wa kikosi cha askari wa Hezbollah kinachosimamia makombora ya kulipua vifaru

    Wadau hamjamboni nyote? IDF inaendelea na majukumu yake bila kupoa MUHAMMAD KAMEI NAIM Kamanda Mkuu kitengo cha makombora ya kulipua vifaru cha Hezbollah ameliwa kichwa muda mfupi uliopita Mungu ibariki Israel ========= IDF says it killed head of elite Hezbollah anti-tank missile array...
  17. R

    Ni kitengo / role gani ambayo kazini/ofisini kwenu mnahangaika sana au mlihangaika kumpata mtu wa kuijaza ambaye ana weledi wa kutenda kazi???

    Sisi ofisini kwetu tulihangaika sana kumpata IT aliyebobea ,kila aliyekua anakuja aligundulika kuwa kiazi. Wewe/nyie je???
  18. Mauaji ya Ally Mohamed Kibao hayajafanywa na taasisi zenye weledi, ni genge la watu tu ambao ni wahuni

    Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu. Nadhani ni kagenge ka...
  19. U

    UTEUZI Jenerali Aziz ateuliwa kuwa Waziri wa ulinzi Iran, rubani wa ndege za kijeshi F-14 Tomcat, aliongoza kikosi cha anga miaka 4

    Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Kiislamu ya Iran imeamua kujipanga kisawasawa Imefanya uteuzi wa kihistoria Jenerali Aziz amekabidhiwa rasmi kuongoza wizara ya ulinzi ya nchini humo. Ni rubani mzoefu mwenye weledi mkubwa na aliongoza kikosi cha anga cha Jeshi la Iran Kwa miaka minne...
  20. Naibu Waziri Katimba Awataka Viongozi Halmashauri Kusimamia Miradi ya Elimu kwa Weledi

    NAIBU WAZIRI KATIMBA AWATAKA VIONGOZI HALMASHAURI KUSIMAMIA MIRADI YA ELIMU KWA WELEDI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu), Mhe. Zainab Katimba amezielekeza halmashauri zote nchini zinazotekeleza miradi ya ujenzi wa shule mpya maalum za wasichana za mkoa kuhakikisha wanaongeza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…