waziri kombo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waziri Kombo akutana na Rais wa shirikisho la mpira wa miguu la Kosovo

    WAZIRI KOMBO AKUTANA NA RAIS WA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU LA KOSOVO Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amekutana na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Kosovo, Bw. Agim Ademi pembezoni mwa Mkutano wa Tatu wa Kimataifa kuhusu...
  2. Waziri Kombo akutana kwa mazungumzo na Rais wa Kosovo

    Rais wa Jamhuri ya Kosovo, Mhe. Dkt. Vjosa Osmani Sadriu amekutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo alipomtembelea Ikulu jijini Prishtina, Kosovo tarehe 1 Juni 2025. Mazungumzo ya viongozi hao yalijikita katika...
  3. Waziri Kombo awasili Kosovo kwa ziara rasmi

    WAZIRI KOMBO AWASILI KOSOVO KWA ZIARA RASMI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasili jijini Prishtina nchini Kosovo kwa ajili ya kuanza ziara rasmi pamoja na kushiriki Mkutano wa Tatu wa Kimataifa kuhusu Wanawake, Amani na Usalama...
  4. Waziri Kombo awasisitiza machifu kushirikiana na serikali

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasisitiza Machifu wa Kanda ya Vita ya Majimaji Kusini mwa Tanzania kuendelea kushirikiana na Serikali wakati wakitekeleza majukumu yao ya kimila katika jamii. Hayo yamejiri wakati Waziri Kombo...
  5. Waziri Kombo awasili Geneva kusaka kura za Profesa Janabi nafasi ya Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO)

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amewasili Geneva katika kampeni ya kusaka kura za mgombea wa Tanzania Prof. Mohammed Janabi katika nafasi ya Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO). Uwepo wake mjini hapo ni...
  6. Waziri Kombo awasilisha ujumbe wa Rais Samia kwa Museveni

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasilisha ujumbe Malumu kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Gen. Yoweri Kaguta Museveni Entebbe, Uganda. Tarehe 13 Mei...
  7. Waziri Kombo: Diaspora ni Tanzania ambaye ameukana Uraia wake, kama hajaukana huyo ni Mtanzania tu

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amechanganua Mtu ambaye anastahili kutambulika kuwa ni Diaspora kwa mujibu wa Sheria za Tanzania. Amesema Mtanzania yeyote ambaye yupo nje ya mipaka akiwa na Passport huyo ni Mtanzania kama wengine lakini...
  8. WAZIRI KOMBO AWASILI KAMPALA

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mjumbe maalum, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili jijini Kampala Uganda na kupokelewa na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uganda, Mhe. Meja Jenerali Paul Simuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe...
  9. Wekeni mbele maslahi ya taifa - Waziri Kombo

    WEKENI MBELE MASLAHI YA TAIFA - WAZIRI KOMBO Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amefungua Kikao cha Kwanza cha Baraza la Wafanyakazi la Wizara na kuwasihi wafanyakazi wa Wizara kuweka mbele maslahi ya Taifa. Mhe. Waziri Kombo...
  10. Waziri Kombo asaini kitabu cha maombolezo cha hayati Cleopa Msuya

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), akisaini kitabu cha Maombolezo alipowasili nyumbani kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
  11. Waziri Kombo akutana na Wahariri kueleza mwelekeo mpya wa sera ya nje

    WAZIRI KOMBO AKUTANA NA WAHARIRI KUELEZA MWELEKEO MPYA WA SERA YA NJE Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefanya mkutano maalum na wamiliki pamoja na wahariri wa vyombo vya habari kwa lengo la kueleza mwelekeo mpya wa Wizara pamoja na...
  12. Waziri Kombo ashiriki maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya Viet Nam

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameshiriki maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya miaka 50 ya Muungano wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Viet Nam kama mgeni maalumu kufuatia mwaliko wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Taifa hilo, Bui Thanh Son...
  13. Waziri Kombo afanya mazungumzo na Uongozi wa Kampuni ya Viettel

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amefanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Viettel, ambayo ni kampuni tanzu ya Kampuni ya Mawasiliano ya Haotel Tanzania Kanali Dao Xuan Vu, katika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Hanoi, Vietnam...
  14. Waziri Kombo awasili nchini Vietnam kwa ziara ya kikazi

    WAZIRI KOMBO AWASILI NCHINI VIETNAM KWA ZIARA YA KIKAZI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili jijini Hanoi, Vietnam kwa ziara ya kikazi ya siku tatu kuanzia Aprili 27 hadi 30, 2025. Akiwasili nchini humo Aprili 27, 2025...
  15. Waziri Kombo ampokea Makamu wa Rais Dkt. Mpango Jijini Roma

    WAZIRI KOMBO AMPOKEA MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO JIJINI ROMA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amempokea Makama wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango jijini Roma, Italia ambapo atamwakilisha Rais wa Jamhuri ya...
  16. Waziri Kombo asaini Kitabu cha Maombelezo Ubalozi wa Vatican Nchini

    Waziri Kombo asaini Kitabu cha Maombelezo Ubalozi wa Vatican Nchini Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesaini kitabu cha maombelezo katika Ofisi za Ubalozi wa Vatican nchini zilizopo Oysterbay jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Kiongozi...
  17. Waziri Kombo ahimiza ushirikiano wa kiuchumi na umoja wa Ulaya

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameendelea na juhudi za kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya (EU), katika ziara yake ya kikazi inayoendelea mjini Brussels, Ubelgiji. Akifanya mazungumzo kwa...
  18. Waziri Kombo afanya mazungumzo na katibu mkuu wa shirika la forodha duniani

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo, alifanya mazungumzo ya kina na Katibu Mkuu wa Shirika la Forodha Duniani (WCO), Dkt. Kunio Mikuriya, katika makao makuu ya WCO yaliyopo Brussels, Ubelgiji. Mazungumzo hayo yalijikita katika...
  19. Waziri Kombo ahitimisha ziara nchini Uturuki

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amehitimisha ziara yake nchini Uturuki. Katika ziara hiyo ameshiriki Mkutano wa 4 wa Diplomasia wa Antalya (Antalya Diplomacy Forum - ADF2025) na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu Serikalini...
  20. Waziri Kombo: Hatma ya maendeleo Afrika inategemea zaidi umoja wetu

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) ameeleza kuwa hatma ya maendeleo ya kiuchumi Barani Afrika inategemea umoja ulio imara wa bara hilo. Waziri Kombo ameeleza hayo alipochangia mjadala kuhusu “Kukua kwa Nafasi ya Afrika katika Siasa za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…