wazee

Wazee Lake is a lake east of Black River Falls, Wisconsin, in the town of Brockway, Jackson County, Wisconsin, United States. The name "Wazee" means "tall pine" in the Ho-Chunk language. The artificial lake is the deepest lake within the state of Wisconsin, with a maximum depth of approximately 355 feet (108 m). The man-made lake was formed after the site was used as a quarry for taconite mining between the mid-1960s through April 1983. The quarry produced about 850,000 tons of taconite pellets each year. The mine closed in 1983 as a result of a crash of the domestic steel markets in the United States. When the mine was in operation, pumps removed about 800 US gallons (3,000 L; 670 imp gal) of water per minute from the quarry. Once these pumps were shut down, the quarry began filling with water.
The lake is now part of a county park known as Wazee Lake Recreation Area. The lake is a prime scuba diving destination because of its deep, clear water. Visibility averages between 30 feet (9.1 m) and 40 feet (12 m) during the summer months. There are also visible remains of mining operations underwater, such as roadways used for hauling equipment. Some features have been added to the lake, such as underwater platforms for training divers and fish cribs to improve habitat for the fish. Fish species within the lake include rainbow, brook, and brown trout, bluegills, suckers, catfish, walleye, warmouth, and smallmouth bass.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wazee wa Toyota easy to maintain. Mmeona kiwanda chenu vingunguti? Spare fake kibao

    Wananzengo habari, Jana mkuu wa mkoa wa DSM alikuwa kwenye magodauni vingunguti ambapo wamekuta viwanda vya kutengeneza spare za TOYOTA na NISSAN. Ina maana ukienda kariakoo au mitaani spare zinatoka pale na mafundi wanawaambia hii original. Navyojua hakuna spare original bei rahisi. Endeleeni...
  2. JamiiForums Tanzania Tunawezaje kuandamana kwaajili ya kuleta mabadiliko? Zipi mbinu bora kwenye kukamilisha hili?

    Iwe isiwe Tanzania viongozi hawatotusikiliza bila sisi kuingia barabarani na kuwawajibisha na hii ndio njia pekee kiongozi wa Africa anakusikiliza. Ila mpaka sasa hatuna mbinu za kufanikisha hili. Huu mwaka tusikubali uishe kizembe aisee Kama sio Leo Ni lini. No Reforms, No Election.
  3. JamiiForums Tanzania Wazee wa CCM tumewachoka Sasa! Rudisheni nchi yetu kwa Vijana

    Matatizo yote ya Taifa letu mmesababisha nyie wazee. Mlisoma bure mpaka chuo kikuu Leo mnawanyima vijana mikopo. Mlipewa ajira bure bila interview au pesa Leo mnawanyima ajira vijana na kuwapa ajira kwa rushwa. Mmewageuza vijana machawa kwa ulafi wenu wa madaraka. Vijana ndio waanga wa...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wazee wanaoanzia miaka 55 kuendelea

    USHAURI KWA WAZEE WANAOANZIA MIAKA 55 KUENDELEA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kwa heshima na uangalifu Mkubwa nianze kwa kuwapa Shikamoo. Kwenu nitakuwa muangalifu wa kutupa maneno yangu huku kwa sehemu kubwa nikiacha akiba kubwa ya maneno. Niwapongeze kwa Mafanikio makubwa ya kufikisha...
  5. JamiiForums Tanzania Wazee wa Yanga wapiga marufuku Vyombo vya Habari na Viongozi kufanya promotion mechi ya Juni 15, wasema wakinyang'anywa points siku hiyo ligi itaisha

    Wazee wa Yanga SC wameomba isitokee chombo cha Habari chochote kikatangaza ama kufanya promotion ya mchezo wa Juni 15 na kuitaja Yanga SC. Wazee pia wamesema isitokee Kiongozi wao akapeleka kwani akipeleka timu uwanjani juni 15 ataondoka yeye milango ipo wazi. "Tarehe 15 ndio itatoa taswira ya...
  6. JamiiForums Tanzania Inadaiwa Burkinabe wazee wote umeme na maji bure

    Ouagadougou, Burkina Faso – Serikali ya Burkina Faso Chini ya Rais Ibrahim Traore imetangaza kuwa wazee hawatalazimika tena kulipia huduma za umeme na maji. Tangazo hilo limetolewa na Kiongozi wa mpito wa nchi hiyo, Ibrahim Traore, ambaye amesema kuwa huduma hizo zitakuwa bure kwa wazee wote...
  7. JamiiForums Tanzania Nimemeliza ligi hivi ..Kwa wazee wa mikeka ....

    Kwa kuomba Kipindi Cha pili ya lipatikane goli na yasivuke matatu.... Woooi .... Angali mechi ya Marseille ..alipata 3 ... Nakaza mbupu ..mechi ya Lugodorets..mechi ya Rakow ...mechi ya Marseille mechi 27 ..nimeomba kipindi Cha pili lipatikane goli lakini yasivuke matatu.. mechi ya le Havre...
  8. JamiiForums Tanzania Integensia za wazee wetu zilizokuwa zikisaidia familia na jamii zetu hapo kale!

    Mama zetu walikuwa atleast kila wiki lazima watulishe makande, yaliyowekwa magadi ya kienyeji, wakiyaombea kwa siri yaende kuwaondoshea wanawe mokosi, kijicho na bahati mbaya, na ilibidi wapike chakula kigumu, chenye kuhitaji magadi ya kienyeji kwa makusudi, #Tutiririshe intelegensia mbali...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuepuka Huu Mtego Unaozidi Kutafuna HELA za Vijana Wengi .... Hadi Mafao ya Wazee Wetu Hayajasalimika Kwenye huu Mtego

    Mtego Huu Si Mwingine ni Huu Hapa Chini . Ni uwekezaji wa kitapeli (Ponzi schemes) . Ponzi scheme Nini utauliza?? . Well, Ponzi scheme ni mfumo wa kitapeli ambapo watu wanaahidiwa faida kubwa, ya uhakika (guaranteed) na risk yake ni ndogo, . hali hii inayowafanya wengi kuvutiwa na kuweka fedha...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wale wazee "tutashitakiwa MIGA" walipotelea wapi?

    Huko bungeni Ulaya leo kutawaka moto. Kitini hawatakuwapo Tulia wa Zungu, wala mama yake na taarifa. Wapenda haki wameshafanya vitu vyao: Siyo Bora tungeshtakiwa MIGA? Hivi wale wazee wa kushtakiwa MIGA waliishia wapi? Tuwakumbuke wazee wa kushtakiwa MIGA: Etwege Elitwege Chillah Maswa...
  11. JamiiForums Tanzania Wazee, tuvae viatu vizuri tukitoka. Nimeangaliwa kwa dharau sana leo.

    Nimejimix nikasimamisha mdada jioni hii Mlimani City hapa nje ya Pizza Hut. Tatizo chini nilichovaa sasa. Huyo mdada kaniangalia kwa jicho baya sana.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Padre Ngowi awaitisha wananchi likiwamo jeshi lao kuilinda nchi

    Haya ni aliyoyasema Padre Ngowi: https://m.youtube.com/watch?v=ciDVwS2EKj0&pp=ygUtUGFkcmUgbmdvd2kgaGF0YSBuaWtpZmEgbGVvIHNpbmEgY2hhIGt1cG90ZXph "Kwamba umoja wetu ndiyo iliyo ngao yetu na tujue kuzisoma alama za nyakati."
  13. JamiiForums Tanzania Wazee wa madini hii ni ruby au?

    Namtu kanitumia jamaa yangu toka congo kabla sijaingia sokoni nijue nini macho yangu yanaona malaya garnet au rhodolite japo yeye anasema ruby
  14. JamiiForums Tanzania Wazee na wajomba wameacha kulima, wamegeukia kwenye mahari

    Licha ya kuwepo kwa maeneo mengi ya kilimo, ardhi yenye rutuba, na mvua nyingi za kila mwaka lakini wazee na wajomba wa sikuhizi wameacha kulima badala yake ndoto zao wamezitega kwenye mahari za mabinti zao. Sikuhizi kijana akijichanganya tu anakutana na mkeka wa maana. Asishangae kukutana na...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali Kuja na Mpango wa Kulipa Posho Wazee

    SERIKALI KUJA NA MPANGO WA KUWALIPA POSHO WAZEE Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi amesema Serikali inaangalia uwezekano wa kuwanusuru wazee na lindi la umasikini kwa kuanza kuwalipa posho kila mwezi endapo hali ya uchumi...
  16. JamiiForums Tanzania Kipi kilikusuma kuondoka , kijijini, mkoani na kukimbilia mjini, au nyumbani kwenda kupanga ghetto wazee wakujilipua tubushane

    Hii mahususi kwa watu wangu hasa kizazi Cha miaka ya 70, mpaka 80 hivi enzi hizo nchi Tanzania mikoa mingi bado mapori, watu wakimaliza darasa la saba kama wapo wanafunzi 200 wanachaguliwa kwenda kidato Cha kwanza ni watu wawili au mmoja mnaobakia kama mzazi uwezo hana wakukupeleka shule...
  17. JamiiForums Tanzania Wazee wa no reform no election tusaidieni kutengeneza picha ya serikali yenu ili tujue tunawaunga mkono au vipi

    PICHA YA SERIKALI YA CHADEMA Rais: Tundu Lissu Makamu wa Rais: John Mnyika Waziri Mkuu: Heche Waziri wa Michezo: Sugu Naibu Waziri wa Michezo: ( ) Mkurugenzi wa Wizara ya Michezo: (. ) Waziri wa Mambo ya Ndani: Boni Yai Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani: ( ) Mkurugenzi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Nyumba ya chumba, sebule, jiko, choo inaingia bati mita ngapi?

    Naombeni Kwa mlliojenga au mafundi mnaojua chumba sebule jiko choo inaingia bati mita ngapi maana nimeuliza bati naona kichwa kinawaka moto aisee mwenye kujua anisaidie nimeuliza alafu mita 1 Bei 27000 kwahiyo bati Moja Lina mita 3 sawa na 81000 jumla hii ni hatari aisee
  19. JamiiForums Tanzania Wazee wa private room karibuni

    Kwa wale ambao mnaotoka sehemu ya private unaweza kuwasiliana na mimi room kama unavyoiona bei yake 60k kwa siku usalama upo wa kutosha kwa mawasiliano wanaweza ukani ni dm ila location ipo makumbusho
  20. E

    JamiiForums Tanzania Fursa: Nafasi 700 za Kazi za Kuangalia Wazee New Zealand

    Fursa: Nafasi 700 za Kazi za Kuangalia Wazee New Zealand (Kupitia Danvast Career Search) Habari wanajamii, Nimekutana na tangazo la kazi ambalo naona linaweza kuwasaidia baadhi yetu humu. Kuna nafasi 700 za kazi za kuangalia wazee (Caregiver Jobs) katika nyumba za kulelea wazee New Zealand...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…