waume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Usawa wa mwanamke na mwanaume kwenye ndoa za kikristo ndio huwapa viburi wanawake kuanza kuwashushia vipigo waume zao

    Vitendo vya unyanyasaji kwa wanaume wa kikristo kupigwa na wake zao vimeshamiri kiasi kwamba wanaume wameamua kuweka aibu pembeni na kuililia serikali ifungue dawati la unyanyasaji kwa wanaume, licha ya hivi bado msaada unakuwa mdogo maana wakikimbilia polisi ama ustawi wa jamii wanachekwa. Si...
  2. JamiiForums Tanzania Ndoa ya wake wengi iruhusiwe kwenye ukristo kuokoa kizazi cha wanawake ambao wanazeeka makanisani bila waume

    Ndoa ya wake wengi inahusu zaidi kumsitiri mwanamke awe na ndoa ajulikane ni mke wa fulani kuzidi mwanaume kuwa na wake wengi. Leo hii wanawake wengi wa kikristo ni kawaida kuwakuta wanazeekea makanisani huku wakiomba wapata waume kitu ambacho ni kigumu kwasababu wanaume tupo wachache na wenye...
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake tuelezeni sababu zinazowafanya mtubambikizie waume zenu watoto wasio wetu!

    Wanawake mnatupasua sana kichwa mara matumizi mara kasheshe na vituko kibao lakini kubwa zaidi mmetubambikizia watoto wasio wetu, wengine ndio kwanza mpo kwenye huo mpango wa kuwabambikizia wenzi wenu. Mimi nipo kwenye tatizo la mke wangu kuwa na matumizi makubwa nikajua labda mimi ndiye nina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…