Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ameliagiza Jeshi la Polisi kuendelea kuchukua hatua stahiki dhidi ya watu wanaotumia mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kulichafua jeshi hilo pamoja na Serikali kwa ujumla, kwa lengo la kusababisha uchochezi na kuvuruga amani na utulivu...