wataalamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wataalamu wa IT, nini kinachowazuia kuanzisha freelancing website's

    Experts wa IT, mthubutu kuanzisha freelancing websites hapa bongo ili tutengeneze character ya kufanya kazi na kulipwa kwa masaa kazi inapokamilika. Kuna watu wana kazi ndogondogo na nyingine zinahitaji special skills ambazo kwenye ofisi yake labda hana expert wa kukamilisha hiyo task. Kuondoa...
  2. H

    Ilemela, Mwanza: Afisa mtendaji kata ya Pasiyansi alalamikiwa na wataalamu

    Kuna malalamiko kutoka kwa wataalamu wa kata ya Pasiyansi Ilemela Mwanza,kuhusu afisa mtendaji kata anaitwa Betty,alihamishwa kutoka kata ya Nyamanoro kuja Pasiyansi. Alikotoka wataalamu wote chini yake walikuwa wanawake na alipohamishiwa(Pasiansi)pia wataalamu wote ni wanawake. Hakuna gender...
  3. A

    Wataalamu wa kutafsri ndoto

    Nimekuwa nikiota ndoto za kuokota pesa tena sarafu zikiwa kwenye mstari mara kwa mara ingawa Jana nikiwa na piga story za jamaa zangu nao wamesimulia ndoto hiyo nini maana yake?
  4. Wataalamu wa macho huu ugonjwa gani?

    Wataalamu huu ni ugonjwa gani mhusika anasema ahisi maumivu yoyote.
  5. Msaada wa wataalamu jinsi ya kuondoa hiki katika simu

    Msaada
  6. 6174: 'Kaprekar's Constant' uvumbuzi uliowatatiza wataalamu wa hesabu kwa zaidi ya miongo 7

    6174: Kwanini takwimu hii imewatatiza wataalamu wa hesabu kwa zaidi ya miongo 7? Itazame takwimu hii: 6174. Kwa mtazamo wa kwanza, huenda sio kitu kikubwa - lakini imewatatiza wataalamu wa hesabu tangu mwaka 1949. Kwanini? Haya ni mambo ya kustaajabisha na unayostahili kuyafahamu mwenyewe...
  7. Msaada wataalamu wa skimming

    Nikiwa naeleke kufanya maandalizi kwa ajili ya hii kazi wajuzi naomba msaada wenu.... Fundi wa kwanza: Ameshauri itumike white cement then binder alafu rangi na kanipa makadirio yake Fundi wa pili: Yeye kashauri itumike pva then binder alafu rangi..... Fundi wa tatu: Kashauri itumie wall...
  8. Wataalamu wa Sayansi tujuzeni hili

    Kuna radi kali sana imemulika hapa mjini Morogoro muda huu, ikafuatiwa na mlio mkali wenye kushitua kama bomu, sauti hiyo kali imetikisa madirisha makabati nk. Swali: Mawimbi ya sauti yanawezaje kusababisha vibrations kali kiasi hicho cha vioo kujibamiza?
  9. G

    Wataalamu wanisaidie gharama ya vifaa vifuatavyo vya ujenzi

    Mbao ndefu futi 20. 2 X 4 = 150Pcs 2 X 2 = 130Pcs 1 X 8 = 18Pcs 1 x 10 = 12Pcs BATI = 130 Pcs upana 87 cm (ALAF gage 28 au 30) Kofia = 30 Valley 15 Misumari ya nnchi 4 = 50kg misumari ya nnchi 2.5 = 4kg Misumaru ya Bati =30 packet kenchi wire = 6
  10. Wataalamu wa UN: Korea Kaskazini yaiba mamilioni ya dola kupitia udukuzi mitandaoni

    Wataalam wa Umoja wa Mataifa wamesema kwenye ripoti yao kwamba Korea ya Kaskazini inaendelea kuiba mamilioni ya dola kutoka katika taasisi za kifedha na makampuni yanayojihusisha na sarafu za mitandao na ubadilishanaji fedha. Wataalamu hao waliowanukuu wataalamu wa masuala ya mitandao kwenye...
  11. Wataalamu wa madini, naweza kununua haya mawe kwa shilingi ngapi na kupata faida?

    Wadau wanaojua vizuri mawe naombeni Msaada wa makadilio haya mawe naweza kununua kwa wastani wa bei gani ili nikapate faida sokoni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…