wasichana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Heche asifia sherehe za Tohara bila ganzi kuonyesha ushujaa, kwanini yupo kimya katika sherehe zinazoendelea za kuketa wasichana ?

    Tohara kwa wasichana zimekatili wasichana wengi sana, Wasichana wengi wakikeketwa wanachowaza ni kuletewa ngombe na kuelewa tu, ndoto za elimu huzima Ukimya wa Heche ni kusapoti haya ?
  2. Tunaelekea Wapi: Wasichana wanamaliza shule na mindset za "Ficheni Mabwana Zenu", Wavulana wao wako na "Muhindi Jiandae"

    Kama taifa inabidi tubadili aina ya malezi ASAP. Hatuwezi kuwa na taifa la wanawake wadangaji na wanaume wacheza kamari.
  3. K

    Mikoa inayoongoza kwa mimba za wasichana wadogo kwa mujibu wa shirika la UN

    Taarifa kwa mujibu shirika la umoja wa mataifa la idadi ya watu UNFPA limefanya utafiti kutambua mikoa ya Tanzania inayoongoza kwa mimba za wasichana wadogo kuanzia miaka 15 mpaka miaka 19 Na haya ndio matokeo kulingana na mikoa ya Tanzania Na pia imetoa utafiti wa mikoa ilikuwa na viwango vya...
  4. Wasichana na bar wanaangalia nini. Leo wamenikwepa kisa siwapi tip

    Jamani wakuu Hapa ni chakali nimelewa. Ila nipo kistaarabu. Watoto hawanishobokei najua kwanini. Sitoi tip. Hapana sina mrembo hata mmoja. Tukiendeleankusikiliza Mwimbo wa Monika aliye Zambia. Nawaza kuna Fair kweli? ? Sijapoa Nasubiria.
  5. Dudubaya aende huko Pakistan kuna masoko maalum ya kwenda kujipatia wavulana walio jipamba kama wasichana kwa ajili ya burudani

    *dudubaya Huko bannu khyber pakhtunkhwa nchini Pakistani kuna soko ambapo wavulana hupigwa mnada hadharani
  6. Prof. Tibaijuka mpe sapoti Rais Samia kwaajili ya wasichana wa shule yako.

    Professor umefanya kazi nzuri sana kuonyesha mfano kuwa wanawake wanaweza kama wakipewa nafasi. Shule yako ya wasichana ni miongoni mwa shule bora hapa nchini. Najua hizo ni jitihada za kufanya women empowerment kwa vitendo. Mwanamke kuwa Rais wa nchi ndiyo empowerment kubwa kupita zote kwa...
  7. Pasipo shaka shule za vipaji maalum za wasichana zipo

    Ila je bado wasichana wenye vipaji bado wapo???? Wanafunzi kumi bora ni wavulana mwaka huu 2026? Wadau ,
  8. Report ya ubakaji nchini UK ilitoka na kuonesha wasichana 250,000 kama wahanga huku watuhumiwa wakuu ni wahamiaji kutoka pakistan na uarabuni

    RAPE GANG INQUIRY:https://t.co/EuKgGWBRhS Uingereza walijifanya sana kuwa na ubinadamu kuzidi watu wengine, wakawapokea wahamiaji kiholela kutoka nchi za kikobazi, kilichofatia ni UK kuwa kitovu cha magenge ya ubakaj na grooming barani ulaya.
  9. Changamoto za Msingi Zinazohitaji Kufanyiwa Kazi Haraka katika Shule ya Wasichana Jokate Mwegelo Sekondari, Kisarawe

    Shule ya Jokate Mwegelo Girls Sekondari iliyopo Kisarawe ni miongoni mwa shule zinazofanya vizuri kitaaluma, jambo linalotokana na juhudi na kujituma kwa walimu pamoja na wanafunzi wake. Hata hivyo, shule inakabiliwa na changamoto kadhaa za msingi zinazohitaji kushughulikiwa ili kuimarisha...
  10. Kuna presha nyingi ambazo jamii huziona kwa Wasichana na kusahau Wavulana wanabeba mizigo mizito moyoni

    PRESHA WAVULANA WENGI WANAPAMBANA KIMYA KIMYA. Kuna presha nyingi ambazo jamii huziona kwa wasichana… lakini mara nyingi husahau kwamba hata wavulana wanabeba mizigo mizito moyoni. Tofauti ni kwamba wavulana wengi wamefundishwa kuficha maumivu yao. Wamefundishwa: “vumilia.” “kuwa mwanaume.”...
  11. Dudubaya: Umiss ni umalaya; wasichana wa vyuoni ni machangudoa

    Msanii nguli mstaafu, Dudubaya Mamba 24, ameanika ukweli uliojificha nyuma ya sanaa ya umiss na urembo. Ni ufuska mtupu! Aidha, amesema kuwa wasichana wengi wa vyuoni ni machangudoa na malaya wa kutupwa! Katika kusisitiza hilo, amesema wasichana wanaingia kwenye urembo wakiwa hawana kitu na...
  12. F

    Kilichonikuta kwa wasichana wa bar

    Nilimpata mwanadada kwa baa .kabla nikae naye niliongea na mlinzi anijulishe kama huyu dada ataweka dawa kwa kinywaji changu nikiondoka. Nilimwita mwanadada huyo nikamnunulia bia pia mimi nikachukua bia tulizungumza mda mfupi ,alafu nikaondoka nikajifanya niko msalani.nikamuuliza mlinzi...
  13. Kwanini kumekuwa na wimbi kubwa la wasichana kuonesha tupu zao mitandaoni?

    Utakuta huko TikTok wanafunua mapaja na kufunga Kwa haraka Facebook hivyohivyo kwanini?! Ni stress au ndio ajira mpya ya watengeneza content?
  14. S

    Hapa Tanzania 50% ya wavulana wenye miaka 20 hawajahi kufanya mapenzi, lakini kwa wasichana wenye umri huo ni 1% tu

    Tafiti iliyofanywa na Taasisi ya Mahusiano na Unyumba imebaini kuwa ni 1% tu ya wasichana hufika miaka 20 wakiwa bado hawajawahi kufanya mapenzi. Sababu zikidaiwa kuwa ni :- 1. Kushindwa kuhimili vishawishi. Mtoto wa kike huanza kutamaniwa na kuanza kushawishiwa kufanya ngono mara tu anapoanza...
  15. Hivi wasichana inakuwaje mnatoa ahadi kuwa unakuja kutoa utelezi halafu dakika ya 90 mnakula kona?

    Habari wakuu . Weekend ya leo iko poa sana twende kwenye lengo la thread hii. Unakuta msichana mnapangana kabisa kesho anakuja kutoa utelezi alafu ikifika mida ya kuja text ajibu call apokei inakuaje si bora umpange mtu mapema kama ato kuja just imagine jana mida ya night naona namba ngeni...
  16. Wanaume wa kikristo walipieni wasichana mahari na siyo kuwalipia wanawake mahari kama mnavyofanya sasa

    Ndugu zangu. Mahari iliwekwa kwaajili ya kulipia wasichana na siyo kulipia wanawake pindi unapotaka kuoa. Ila cha kushangaza utakuta wanaume wengi wa kikristo wanakomaa kulipia wanawake mahari badala ya kulipia wasicha(binti) huku wazazi wa wanawake hao wanakaza kichwa na kutamka mapesa makubwa...
  17. Wadau wa Elimu naomba kujua shule nzuri ya wasichana iliyopo Arusha

    Iwe na sifa hizi. -Ada nafuu -Elimu Bora -Isiyo na makuu -Iliyotulia -Watoto wa hali zote -kidato cha 1-6 Nk My take. Hizi shule tunazopeleka watoto zinachangamoto nyingi, ukute shule walimu hawajitumi. Lkn kuna shule walimu wanafanyakaz ya Mungu. Hizi shule zenye walimu wa aina hii kumtumikia...
  18. L

    Wakirusha mateke juu, wasichana wa Kitanzania wapata nguvu katika kung fu ya Kichina

    Mariam Saidi Mfaume amekaza ngumi kwenye mkono wake mdogo, akashusha pumzi ndefu na kufyatua teke juu lililopita kwenye hewa yenye ukungu. Matone ya mvua yalidondoka kwa upole kwenye majani yaliyo juu, lakini hakuna kilichoweza kumzuia mtoto huyo mwenye miaka sita kufuata ndoto zake za kung fu...
  19. Kamati ya Bunge: Ukaguzi ufanyike Shule ya Wasichana Morogoro, ujenzi hauendani na Tsh. 700M zilizotolewa

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Halima Mdee imeielekeza Ofisi ya mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalum katika mradi wa ujenzi wa shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa mkoa wa Morogoro. Mdee ameyasema hayo mara baada ya ziara ya...
  20. Wasichana wa elimu ya juu miaka ya 1960, na leo utasikia watoto wa siku hizi!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…