wapumbavu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Huyu kiongozi bado anatuona watanzania wote ni wapumbavu kama hiyo mikatuni iliyomzunguka?yaani maccm?hizo barua Lissu alikuwa alimwandikia baba yake?

    Nachukia sana ninapo ona jitu kama kiongosi limezungukwa na misitu,iliyojifunika minguo ya ccm wakisubiri uongo. Yaani leo hio kiongosi unawadanganya hayo maccm yakuwa Tundu Lissu aliandika barua za kuomba msamaha kabisa?ili jitu likoJe na mikengeza hiyo litakuwa pia ni kiziwi? halisikiii wala...
  2. Mawazo ya me na ke wapumbavu

    Mawazo ya mwanaume mpumbavu anafikiri kila mwanamke mzuri anafaa kuwa mke na mawazo ya ke mpumbavu anafikiri kila mwanaume tajiri anafaa kuwa mume
  3. Walikufa kwa ajili ya watu. Lakini walisalitiwa. Mungu wa Tibeli awasamehe makosa yao kwa gharama ya Waliowaua. MO29.

    WALIKUFA KWA AJILI YA WATU. LAKINI WALISALITIWA. MUNGU WA Tibeli AWASAMEHE MAKOSA YAO KWA GHARAMA YA WALIOWAUA. MO29. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuhani katika Hekalu Jeusi. Haya nayo yaliniumiza sana. Sikuwahi kuumizwa katika maisha yangu kama siku zile. Hata mapenzi hayakuwahi...
  4. Usimtoe mpumbavu katika upumbavu wake

    Kuna watu ni wapumbavu hawafundishiki yaani kujaribu kuwafundisha ni sawa na kuzungumza na upepo. Mpumbavu anaweza akajua njia sahihi ya kufanya jambo fulani lakini yeye akafanya kwa kuongozwa na hisia zake . Mpumbavu hushikilia alicho kiamini kwa akili zake . Bila kuwa na evidence kutoka...
  5. Walimu waliweka tiki Oktoba 29, wamepigwa pini madaraja wanatoa milio

    Huenda kada ya walimu ni kada yenye laana, masikini na isiyo jielewa, hii ndio kada pekee inayo tumiwa na CCM kuwekwa madarakani, Oktoba 29 wao pia walichangia kwa asilimia kubwa sana, vipande vya laki na 40,140000 walivyo pewa wakaona ndio posho ya maana, sasa hivi wanalia mtaani wamegomewa...
  6. Q

    Wanaodaiwa kuwa Watanzania wakamatwa nchini Kenya wakijaribu kumteka Mwanaharakati Mshabaha Hamza

    Law Society of Kenya na Amnesty International Kenya wametoa taarifa kuhusu kuokolewa kwa mwanaharakati wa Tanzania, Mshabaha Mshabaha Hamza, aliyedaiwa kutekwa nchini Kenya. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Hamza aliokolewa Februari 22, 2026 baada ya polisi kuingilia kati. Watu watatu walikamatwa...
  7. Nchi imekuwa ya wapumbavu sana hii najua hali wanayopitia watanzania wazalendo simu za vitisho haziishi

    Nchi imekuwa ya wapumbavu sana hii najua hali wanayopitia watanzania wazalendo simu za vitisho haziishi kuna watu wameajiriwa kutuma hizo simu. Lazima tujiulize hivi sisi ni malofa na majimga kiasi gani ni kwanini tunakuwa mabichwa bungo hivi ? yote haya ni kwaajili ya kumfurahisha mtu mmoja...
  8. Ludovick Rwezaura: Sheria ya kanisa Katoliki inakataza kuwaita waumini malofa na wapumbavu

    Aliyejitambulisha kama muumini wa kanisa katoliki aliyebatizwa na anayepokea sakrament, Ludovick Joseph, aeleza vifungu vya sheria vinavyowabana viongozi kuwafokea waumini kwa lugha kali.
  9. Nawakumbusha viongozi wa Vyombo vya Dola: Utekaji unaoendelea baada ya kiini macho cha uchaguzi siyo afya kwa jamii, mnachochea moto

    Mimi najiuliza hivi ni kweli IGP wambura hana washauli wazuri wakumshauli namna bora ya utendaji kazi wa jeshi la polisi katika kutekeleza majukumu yake zaidi ya haya mambo yanayoendele ya utekaji baada ya kiini macho cha uchaguzi yaliyofanyika october29. ? Hawa viongozi hawajui kama kuendelea...
  10. Katika wapumbavu mia angalau muweni welevu wawili wenye kuendeshwa na utashi na tafakuri binafsi bila mihemuko na trend

  11. Wameua maelfu, wameseka ndani na kuteka watanzania wazuri halafu unawasikia wanasema eti siasa zetu changa kujifanya hawajui wanafikiri sisi wapumbavu

    Wameua maelfu, wameseka ndani na kuteka watanzania wazuri halafu unawasikia wanasema eti siasa zetu changa kujifanya hawajui wanafikiri sisi wapumbavu Mauaji utekaji sio siasa, wewe unapaswa kwenda jela.
  12. Tuache upotoshaji dhidi ya wapumbavu, hakuna kibali cha maandamano na huwezi kumuomba kibali mtu namba moja unayempinga

    Tuache upotoshaji dhidi ya wapumbavu hakuna kibali cha maandamano na huwezi kumuomba kubali mtu namba moja unaye mpinga. Sasa kibali cha nini kwenye maandamano waulizeni vizuri hicho kibali ni chanini kwenye maandamano na ni kwa matakwa yao wanatoa au sheria imesema ?
  13. Dkt. Mollel: Samia amefanya makubwa halafu kuna Wapumbavu wanasema hakuna alichofanya na wanahamasisha maandamano!

    Aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel akizungumza na Wananchi Mkoani Kilimanjaro amesema hakuna Rais aliyefanya makubwa ndani ya miaka minne kama alivyofanya Rais Samia. Upande wa Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba, amesema Dkt. Mollel ambaye alikuwa Mbunge wa Jimbo la Siha...
  14. ICC iharakishe hiyo kesi ili hawa wapumbavu tuwatimue

    ICC iharakishe hiyo kesi ili hawa wapumbavu tuwatimue
  15. Waandishi acheni kuwapa airtime Mashekhe ni wazi wananunuliwa

    Mange Kimambi anampiga Rais haramu, je Mange Ni TEC? Ally Kibao aliuawa kihuni, je alikuwa TEC Nifa kakaa mahabusu mwezi, je alikuwa TEC? Shehe ponda kaongea, je yeye ni TEC? Zitto Kabwe kaibiwa uchaguzi halafu kawekwa ndani siku 6, yeye ni TEC? Waliokamatwa na makesi ya uhaini kwenye...
  16. Mwigulu ukome kabisa kutufanya Watanganyika Wapumbavu

    Kwa taarifa yako hakuna Propaganda mtakayotuuzia Watanganyika safari hii na kufanikiwa kuturubuni. KIla Mtanzania anajua Watanganyika waliouliwa waliuliwa kwa amri na maelekezo ya muuaji Samia na Wakuu wake wa vyombo vya Ulinzi na Usalama. Kila Mtanganyika ameona Samia ameingiza vikosi kutoka...
  17. Serikali ya samia inateka na kuuwa ndugu zetu wengi sana kila siku unafikiri tutawafanya nini hawa polisi wapumbavu #D9

    Serikali ya samia inateka na kuuwa ndugu zetu wengi sana kila siku unafikiri tutawafanya nini hawa polisi wapumbavu #D9.
  18. Dalili za awali wa anguko la CCM

    Sasa sio siri tena, watanzania tumechoshwa na uonguzi uliokebehi uonevu, ufisadi na an oppressive one. Mungu isaidie tanzania. Mungu tuongoze. Revolution is a process, itachukua muda ila ikianza hakutokuwa na solution hadi tutapofikia matakwa yetu ya uongozi thabiti. Kwa haya yanayoendelea...
  19. Hamas watakuwa Wapumbavu kama watakubali mpango wa Donald Trump kumaliza mgogoro wa Israel na Palestina

    Nimesoma huo mpango wa point 21 wa kuleta amani Palestina naona ni kama mtego kuwaachia mateka na kujisalimisha rasmi katika utawala wa kimabavu wa Israel. Eti Baraza la amani la mpito la Palestina litaongozwa na Trump na Tony Blair. Wapiganaji wa Hamas waweke silaha chini na kuwaachia mateka...
  20. Dunia imejaa Smart People wenye Mashaka na Wapumbavu wenye Confidence.

    Kuna usemi "Dunia imejaa Werevu wenye Mashaka na Wapumbavu wenye kujiamini sana" Uzoefu unaonyesha kwamba watu wenye akili nyingi mara nyingi wana shaka, wakati wasio na maarifa mengi huwa na imani kubwa na uthubutu. Maarufu kama "Dunning-Kruger Effect," ambapo wapumbavu huamini sana bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…