wapo

The Washington Post (also known as the Post and, informally, WaPo) is an American daily newspaper published in Washington, D.C. It is the most-widely circulated newspaper within the Washington metropolitan area, and has a large national audience. Daily broadsheet editions are printed for D.C., Maryland, and Virginia.
The newspaper has won 69 Pulitzer Prizes, the second-most of any publication (after The New York Times). Post journalists have also received 18 Nieman Fellowships and 368 White House News Photographers Association awards. The paper is well known for its political reporting and is one of the few remaining American newspapers to operate foreign bureaus.
The Post was founded in 1877. In its early years, it went through several owners and struggled both financially and editorially. Financier Eugene Meyer purchased it out of bankruptcy in 1933 and revived its health and reputation, work continued by his successors Katherine and Phil Graham (Meyer's daughter and son-in-law), who bought out several rival publications. The Post's 1971 printing of the Pentagon Papers helped spur opposition to the Vietnam War. Subsequently, in the best-known episode in the newspaper's history, reporters Bob Woodward and Carl Bernstein led the American press's investigation into what became known as the Watergate scandal, which resulted in the 1974 resignation of President Richard Nixon. The advent of the internet expanded the Post's national and international reach. In October 2013, the Graham family sold the newspaper to Nash Holdings, a holding company established by Jeff Bezos, for $250 million.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kwanini mapadri, maaskofu wapo kimya katika tukio la ushoga liliotokea?

    Mbona wapo kimya? Licha ya masheikh kukemea, upande wa pili wa dini wapo kimya kama hamna kilichotokea? Tulitegemea angalau mahubiri ya leo Jumapili tungalisikia kukemea yaliotendeka nchini.
  2. Uchumi wa PPPs anao ujenga Kafulila sio wa kuutegemea, ni sawa na paracetamol kutibu malaria, wawekezaji ni wapangaji leo wapo kesho wanaondoka.

    Private public parteship (PPPs) ni uchumi dhaifu na sio wa kuutegemea ktk kujenga taifa letu kwa karne hii. Muwekezaji ni sawa na mpangaji, leo yupo kesho anaondoka muda wowote, kujaribu kuutegemea uchumi wa namna hii ni kuua future ya mtanzania. Ni sawa na mgonjwa wa Malaria aliyemeza...
  3. Wanasiasa wa vyama vyote wapo kimaslahi binafsi

    Tusidanganyane et oh sjui Nan akiwa rais mambo yatabadilika mara oh upinzan ukichukua nchi mambo yatabadilika ,mambo kubadilika hii n asili tu ya maumbile ya kidunia lakin ukwel n kwamba hata chama gan kiingie asili ya mwanadamu ipo pale pale atadhulumu,ataua,atateka hata awe Nan? Hata Hawa...
  4. L

    Usalama wa Taifa, JWTZ na Polisi mnatukosea sana Watanzania

    Ninaposema Usalama wa Taifa, Jeshi na Polisi hapa namaanisha nyinyi wakubwa viongozi wa Vyombo hivi, mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu. Hata hivyo bila kusahau hata ma junior wa Vyombo hivi, mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu. Mnatukosea kwa sababu tumekua tunaongea miaka nenda...
  5. M

    MAJAJI WAPO WA AINA 3. UNAWAJUA?

    Mtume ﷺ amesema: الْقُضَاةُ ثَلَاثَةٌ: وَاحِدٌ فِي الْجَنَّةِ وَاثْنَانِ فِي النَّارِ Maana yake: Majaji ni aina tatu: mmoja yuko Peponi na wawili wako Motoni. Akaeleza kuwa jaji anayejua haki na kuhukumu kwa haki ndiye atakayekuwa Peponi; anayejua haki lakini akapindisha hukumu, na anayehukumu...
  6. Kwanini wanaume wenye ngosi nyeusi wapo obsessed na wanawake wanene. Ni fetish ambayo imerithishwa na kupokelewa vizazi na vizazi

    Yaani ni makebo makubwa juu ya makebo makubwa haijalishi mtu mweusi anaishi wapi
  7. Wanawake bikra bado wapo!

    Wanawake na wasicha walio tolewa bikra zao chini ya miaka 20 huwa wanajitetea hakuna mwanamke bikra mwenye umri zaidi ya miaka 15. Sasa , wasichana na wanawake wanaojitunza, jiheshimu na kumjua Mungu wapo, ndio hawa unawaona kwenye ndoa!
  8. F

    PostGE2025 Majeruhi wengi wa Oktoba 29, 2025 waliopelekwa hospitali za Wakatoliki wapo hai, tusirudie makosa

    Hili liwe fundisho, Ukijeruhiwa Kwa dhulma za hawa vibaka wanaojiita walinda amani, kamwe usiende au usipeleke ndugu yako hospitali hizi wanazodai zao, Siku Ile mbaya, ndugu zetu wengi walipojeruhiwa, tulipowafikisha hospitali hizo, tuliamini watakuwa salama, cha kusikitisha hata miili Yao...
  9. K

    Wapo Wapi Machawa wa Awamu ya Tano? Tahadhari na Somo la Bure kwa Machawa wa Awamu ya Sita

    Katika ulimwengu wa siasa za Tanzania, dhana ya kusifu, kuabudu na kulinda viongozi kwa macho makavu haijaanza leo. Hata hivyo, utamaduni huu ulifikia kilele chake cha kimkakati wakati wa Serikali ya Awamu ya Tano chini ya hayati Rais John Pombe Magufuli, na sasa unaendelea kwa kasi ya ajabu...
  10. Ni taifa la kutekana tu. Wafuasi wa CHADEMA walitekwa na mpaka sasa wapo Magerezani

    Tumefikia pabaya sana. Watu wanatekwa kama tupo Syria au Yemeni kwa Wahouthi👇
  11. Responded Diwani wa Ilemi, Baraka Zambi: Vijana wote ambao wapo tayari kuacha uhalifu, ofisi ya Kata ipo tayari kuwapokea

    Wakazi wa Kata ya Ilemi Jijini Mbeya wakizungumzia hoja ya kuzorota kwa hali ya ulinzi na usalama katika eneo hilo. Diwani wa Kata ya Ilemi, Baraka Zambi pamoja na viongozi wa serikali za mitaa wamesema kuwa licha ya kuwahi kutokea kwa baadhi ya matukio ya uhalifu, hali ya usalama imeendelea...
  12. A

    KERO Waajiriwa wa Julai 2026 katika Halmashauri ya Namtumbo hatujalipwa fedha za kujikimu, Wilaya nyingine wamelipwa

    Watumishi walioajiriwa Julai 2026 katika Wilaya ya Namtumbo hawajapewa fedha za kujikimu. Wachache wamepewa Shilingi 750,000 pekee, badala ya kiasi kilichoainishwa kwenye barua zao za kuripoti kazini, huku wengine hawajapokea fedha hizo kabisa. Viongozi hawatoi majibu wanapoulizwa kuhusu hatua...
  13. kuna watu wanajiona wakamilifu kama wao wapo zaidi ya wengine.

    Hii tabia nimeona sana kwa watu hawa. Mtumiaji wa soda ni hakimu wa mtumiaji wa pombe. Mwenye imani tofauti na mwenzake ni adui yake. Maskini ni adui wa tajiri na tajiri ni adui wa maskini.
  14. R

    Ni wanaume wachache sana, kama wapo anyway, wenye hela ambao siyo WOMANIZER , tena notorious WOMANIZER

    This is my casual observation. Uzoefu wangu wa miaka zaidi ya 50 ya kuwa duniani, umenithibitishia hivyo. Wewe unasemaje?
  15. M

    Watanzania wengi tuna Reactive mindset; tunangoja tatizo litokee ndipo tuchukue hatua, tulifundishwa kutii kwa hofu kuliko kuchukua hatua mapema

    Na ndio sababu tuna visingizio na lawama nyingi !! Ukiangalia maisha yetu kwa karibu, utaona hii tabia ipo kwenye maeneo mengi. Deadline ikikaribia ndio kazi inaanza. Mtihani ukikaribia ndio kusoma kunaanza. Mgonjwa akizidi ndio tunakimbilia hospitali. Gari likiharibika kabisa ndio tunakumbuka...
  16. Wapare huenda ndo wapo imara sioni wakisemwa.

    Kuna muda unajikuta unafanya kitu, halafu baadae unaanza kujishangaa mwenyewe. 😂 Leo nimepika chapati na kakipande ka kuku, wakati nakula gafla nikaskia mtu anagonga nikajikuta nakimbiza chakula chumbani. Baadae nikajiuliza, Kwanini nimeficha chakula maana ilikua ni kitendo kilifanyika bila...
  17. Si kila Mwanamke hapa duniani ni wa kuolewa na kuzaa, wengine wapo ili kukidhi haja za Mwanaume

    That's why hata idadi ya wanawake Kwa mwanaume ni ratio ya 4 Kwa 1 , I mean wanawake wanne Kwa mwanaume mmoja . Wanawake wengine si wa kuoa na KUZAA .
  18. U

    Kwanini Wachaga Kila ofisi kubwa wapo, na position nyeti wapo?

    Hii nchi bwana, Wachaga sijui kwanini Kila taasisi au sehemu nyeti serikalini wapo wamejaa kibao, unaweza sema wanapendelewa na mfumo, lakini hii si kweli, Wachaga wamejaa kwenye maofisi ya serikalini, na binafsi , ila vyeo vikuu vya kisasa hawapati. Huwezi kukuta mchaga Raisi, Mchaga Waziri...
  19. S

    Wanawake wengi wapo kimaslahi katika ndoa.

    Wanawake naombeni mbadilike.
  20. Wanangu wa CODE!!+ Kuna habari kubwa sana, itatokea nchini hivi punde, zingatia neno habari kubwa sana!!! Watu wapo kwenye feature!!

    Wanangu wa CODE!!+ Kuna habari kubwa sana, itatokea nchini hivi punde, zingatia neno habari kubwa sana!!! Watu wapo kwenye feature!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…