wapendanao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Humu JF nimegundua kitu, wagombanao Jukwaani ndio wapendanao kule PM

    Hii ndiyo kusema kuwa, usipendelee kuchukua upanda na kuanza kurusha makombora ukiona bibie na babue wanazozana kwenye jukwaa. Hao ni wapendanao kule piem. Red black, ShesRise_1, na Seran njoo tuulinde huu uzi kwa wivu wa kupindukia, maana una mafunzo ndani yake.
  2. Kwa nini watu huachana hata wakiwa bado wanapendana?

    Watu wawili wanaweza kupendana kwa dhati, kujali hisia za kila mmoja na kuwa na kumbukumbu nyingi nzuri, lakini bado wakaamua kuachana. Je, ni kweli kwamba upendo pekee hautoshi kuifanya mahusiano yadumu. Ni nini hasa kinawafanya watu kuachana wakati bado wana hisia kwa wenza wao? Je, ni...
  3. Ndani ya bustani ya wapendanao

    Mke huchanua kwa mapenzi. Mume huchanua kwa ukaribu. Wapendwa, water her heart. Lady share the honey. Hivyo ndivyo bustani ya ndoa inavyostawi. Stawisha ndoa yako kila siku.
  4. Uzi maalumu wa picha za wapendanao

    Tupia picha ikionesha watu,wanyama au chochote katika Hali ya upendo Ni eidha upendo wa baba na mAma,baba na mtoto,mamaa na mtoto,familia,jamii au popote pale
  5. Wine gani ni nzuri kwa wapendanao?

    JAmani naombeni msaada wakujua ni wine gani nzuri kwa wapenzi . Ambayo mtu na mtu wake wataenjoy
  6. M

    Ushauri kwa Wapendanao hawa!

    Angalia video hii kwa makini ,weka maoni yako
  7. MAKINIKIA: Hekaya fupi ya kaburi la wanapendanao lililopo katika jiji kongwe la Tanga ambalo linasemwa kuwa ndiyo kitovu cha mapenzi

    #MAKINIKIA: HEKAYA FUPI YA KABURI LA WAPENDANAO LILILOPO KATIKA JIJI KONGWE LA TANGA AMBALO LINASEMWA KUWA NDIO KITOVU CHA MAPENZI Jijini Tanga, katika kata ya Usagara karibu na uwanja wa hockey, kuna makaburi ya zamani yenye sehemu ya Kikristo na sehemu nyingine ya kijeshi ya Vita ya Kwanza ya...
  8. Jamaa kafanya kituko kamtongoza mdogo wa ex-wake unamshaurije?

    Ni rafiki yangu anafanya biashara zake mikoa fulani alikuwa na mpenzi wake wakaachana mazoea yalipoanza na mdogo wa ex- wake alikua ananiomba ushauri sana anamkataeje dogo maana dogo alikua anatimba adi ghetto kwa jamaa kupiga story. Sasa siku jamaa kayatwika kaamua kumrushia vocal mdogo wa ex-...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…