Sioni sababu yoyote ya Polisi kuzuia hayo màndamano. Kamanda wa Polisi Temeke awaruhusu hawa vijana kufanya hayo maandamano. Hili ni swala ambalo ingawa serikalini wamemaliza mjadala,lakini wananchi wengine bado wanalijadili.
Hili swala la maandamano halikatazwi Kikatiba siyo sawa kwa Polisi...