wao

Yōka Wao (和央 ようか, Wao Yōka, born 15 February 1968) is a Japanese performing artist and a former member of the Takarazuka Revue, where she specialized in playing male characters (Otokoyaku). She joined the revue in 1988 and resigned in 2006.
Her nicknames are Takako (from her real name: Takako Ōkawa (大川 貴子 Ōkawa Takako) and Wao.
She is the only Otokoyaku to be top in her class as well as the last otokoyaku top star to have joined the company during the Shōwa era.
She was born and raised in Osaka (according to Takarazuka Graph 2003 April issue).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

    Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.
  2. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni wajinga, mtu anapokubali kuwa raia wa Tanzania halafu ana kipaji badala ya kufurahia wao wanachukia.

    Miaka 2 nyuma niliandika sana mitandaoni kuwa serikali impe uraia Mayele . Mayele ni hazina. Kuna wachezaji majuzi wamepewa uraia kuna watu wanakwazika. Hii ni roho ya kichawi. Tanzania ina mapori mengi hayana watu. Tukigawa kwa square meter bado kila Mtanzania ataweza kumiliki eneo kubwa la...
  3. JamiiForums Tanzania Nataka niwatupie roho mchafu, pepo wa mafarakano kwenye chama fulani, wavurugane mpaka mgombea wao asuse hatua za mwisho Lissu apite kiurahisi

    Nadhani wengi mtasema Mimi ni mchawi. Hapana Mtu wa Mungu anaweza kutumia malaika kuwapa mission (kazi) na wakaifanya vizuri. Pia mtu wa Mungu anaweza kuwaamuru mapepo waende ndani ya mtu au ndani ya kikundi cha watu na kwenda kufanya vurugu au jambo lolote. Mungu ametupa mamlaka juu ya vitu...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Hamas huwa wanakimbilia mahandakini na kuwaacha raia wakati jeshi la Israel huwapa kwanza usalama raia kwenye mahandaki

    Wakati makombora yanarushwa kutoka Gaza kuelekea Israel, Jeshi la Israel huwa wanawaisha raia kwenda kwenye mahandaki. Hamas hali ipo tofauti, huwa wanakimbilia kwenye mahandaki na kuwaacha raia watajijua wenyewe WHY ???
  5. JamiiForums Tanzania Huu mtindo wa CCM wa kuwapa madaraka ya juu wazee wastaafu waliochoka ndio utamaduni wao!

    Kuna vitu vinashangaza mnoo katika siasa za CCM ambapo kile kinachoimbwa majukwaani (kuwawezesha vijana na wanawake) ni tofauti kabisa na kile kinachofanyika. Hili la wazee wastaafu waliochoka na kuchokwa kurejeshwa kinguvu kwenye ulingo wa kisiasa ni miongoni mwa maajabu ya siasa za CCM. Hizi...
  6. R

    JamiiForums Tanzania CCM wamepiga marufuku wanachama wao kuanza kampeni kabla ya muda, lakini wao kuchaguana kabla ya muda sawa......AUTHORITARIAN OF HIGHEST DEGREE

    Ukisikia hekaya za aAbunuwasi ndiyo hizi. Jana Samia amekataza watu kuanza kampeni kabla ya muda. Strange enough wao wamechaguana tayari kabla ya Jogoo kuwika. Ukisikia chama cha kishenzi ndiyo hiki! Total dictatorship/authoritarian = favouring or enforcing strict obedience to authority at...
  7. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa vijana ndo umauti wao

    UGONJWA WA VIJANA NDO UMAUTI WAO. Dhana mnayoiendekeza namnaiona ndo pepo yenu tambueni ndo umauti wenu pia maana hakuna kizuri kisicho kuwa na kasoro. Yes nawakumbusha Vijana 👇 Mashangazi hupenda vijana kwa sababu ya Pumzi na ni Wateke Wanakuna mpaka Pochi manyoya zao zinaitika na wanaipata...
  8. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA katika Uchaguzi wao huu wa ndani hasa ktk ngazi ya Taifa kimedhihirisha hakifundi Viongozi!

    Katika kinachoitwa uchaguzi wa CHADEMA kwa watu wenye akili zinasikika zaidi kelele kuliko hoja makini na zenye kufikirisha. Viongozi wa CHADEMA wamedhihirisha kuwa wengi ni watu wanaookotana tu kutokana na kuwa " victims of circumstances" na hawana maono, maadili na sifa za kupewa dhamana za...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Wakitoka hapa wanakubaliana na si mmoja wao kesho kusema sihusiki kama Lisu anavyosema kuhusu maridhiano

    Israel's Cabinet approves a deal for a ceasefire in Gaza and the release of dozens of hostages https://www.yahoo.com/news/israels-security-cabinet-convenes-approve-094746734.html
  10. JamiiForums Tanzania Je wazungu hawana wivu kwa washindani wao wa kibiashara? Hebu ona hii

    🗣️ "Hongera sana Jeff Besoz kwa kufanikiwa kufika katika orbit katika jaribio la kwanza kabisa la rocket ya New Glenn" Ameandika Elon Musk . — Mmiliki wa kampuni ya SpaceX amempatia Hongera zake mmliki wa kampuni ya Blue Origin mara baada ya kufanikiwa kurusha rocket yao na kufankiwa kufika...
  11. JamiiForums Tanzania Sekondari Mpya Kijijini Muhoji: Wazazi Waamua Kutoa Chakula cha Mchana kwa Watoto Wao

    SEKONDARI MPYA KIJIJINI MUHOJI: WAZAZI WAAMUA KUTOA CHAKULA CHA MCHANA KWA WATOTO WAO Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21, lina Sekondari za Kata 26 na 2 za Binafsi. Sekondari mpya 6 zimepagwa kufunguliwa mwaka huu. Matayarisho ya kuanza ujenzi wa sekondari nyingine sita (6) yamekamilika...
  12. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Chuo Kikuu cha SAUT ajibu madai ya mfumo wao wa Matokeo kuchezewa na baadhi ya watu, asema upo imara

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto kadhaa ndani ya mfumo wa Chuo Kikuu cha SAUT (Augustine University of Tanzania - SAUT), ufafanuzi umetolewa. Mwanachama huyo alidai kuna baadhi ya Watu ambao sio waaminifu wakiwemo baadhi ya Watumishi wa taasisi hiyo wamekuwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume wanapofanikiwa kiuchumi huwatelekeza wenza wao ambao walianzia maisha ya dhiki

    Kwanini wanawake wenye tabia njema za kujenga familia imara huwa wanatelekezwa na watoto baada ya mwanaume kufanikiwa kusimama vizuri kiuchumi? Kwanini mwanaume anakuwa mstaarabu sana kama hana fedha lakini akifanikiwa anageuka dikteta,anakuwa mkali kupitiliza,anakuwa msaliti wa mara kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Sallam SK: Yanga inajua ku-brand wachezaji wao, awachana managers wa wachezaji

    Sallam SK aka Mendez ambaye ni international manager wa Msanii namba moja Africa yani Diamond Platnumz ametoa pongezi jinsi Yanga inavyofanya vizuri kwenye kuwaongezea thamani kwenye chapa zao wachezaji wake au kwa lugha nyingine branding. Sallam SK ambaye pia ni mdau mkubwa wa soka ambaye...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa Kuwa CHADEMA haioneshI dalili ya kushika dola leo wala kesho, nafasi ndani ya chama ndo zimekuwa dili

    Mimi niko pale na popcorn zangu kama kawaida yangu, jina la Series silijui ila niliposoma majina ya actor na actress, director na producer nika_press play, Episode ya pili sasa.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Touch, Release, Attack. Kuna watu washaanza kumpigia hesabu kocha wao kumuangushia jumba bovu maana goli moja moja kwa mbinde inawatia wasi wasi!

    Huyu Ramovich ni kama anamchongea kocha mwenzake aliyetumia mechi 15 kufunga goli 31 wakati yeye mgeni katumia mechi 7 na kufunga goli 21. Gusa achia twende kwao imekuwa shubiri upande wa pili maana wanaona kama timu yao inatumia nguvu kubwa kupata ushindi kwa mbinde, wakati wananchi wanatoa...
  17. JamiiForums Tanzania KARIAKOO DERBY: Mechi baina ya Simba na Yanga, waamuzi watoke nje ya Tanzania kwa usalama wao pamoja na familia zao?

    Oya wadau wa kandaa, leo nimewaza tu kwa sauti kwa maana nimeona unazi wa Simba na Yanga unazidi kuongezeka kadri siku zinavyoenda hivyo kufanya usalama wa waamuzi pamoja na familia zao kuwa mashakani. Kama mtu anaweza kujiua kisa tu Simba kamfunga yangu au Yanga kamfunga Simba, wewe unafikiri...
  18. JamiiForums Tanzania Tunatamani uwepo wao lakini haiwezekani kuwa nao

    Tarehe kama ya Leo , Miaka 3 nyuma nilifanikiwa kumpata mwanangu wa kwanza (baby boy) lakini kwa kadari zake mungu hakuweza kuishi zaidi ya siku 1 pekee. Hakuna siku ambayo siyaacha kutamani uwepo wake lakini haiwezekani kuwa nae. Huwa nashangazwa na wanaotupa watoto ilihali Kuna wengine...
  19. JamiiForums Tanzania Watu waliozaliwa miaka ya 80s ndo hawa walikuwa wazinzi sana na leo watoto wao wanapita mule mule , karma is real.

    Niliwaambia miaka ile kuwa acheni uzinzi mkawa mnashupaza shingo. Mmchezea Sana watoto wa watu na kuwaharibia maisha n.k Sasa tazameni watoto wenu wa 15-18+ ni hatari Sana Hiyo ni karma hamna uchawi. Eti mtu Ana miaka 35 tayari Ana mjukuu ni hatari Sana MTU Ana 40 tayari Ana wajukuu watatu
  20. JamiiForums Tanzania Wenzetu huko Mbele huwa wanahamasisha mashabiki waende uwanjani au mashabiki wana mapenzi na timu zao hata zikishuka Daraja?

    Bongo uswahili ni mwingi sana, na bado sana hata kwenye ushabiki wa Mpira, tuna ushabiki mwingi wa mdomoni wa kubishana kwenye vijiwe vya kahawa na mitandao ya kijamii kama humu. Emegine kwamba mashabaki wenye timu yao lazima wahamasishwe, gari izunguke mtaani watu wakikata mauno kwenye gari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…